Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hivi inawezekanaj mwanamke anaekupenda na unamhudumia kwa baadhi ya Mambo cku akaja kukutembelea ghetto mkalala kitanda kimoja kwa siku nne asikupe papuchi bila sababu ya msingi
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Wasalam mama na dada zangu, Leo naomba niseme na nyie mawaridi ya ulimwengu huu. Huu ulimwengu ni bure bila nyie, Mungu baada ya kumuumba Adam baadae aliona Adam hakukamilika na alihitaji...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama mnavyojua kuwa ni muhimu kuwajali wa nyumbani kwako. Simu ya bebe imevunjika.. Baada ya kunililia shida mdau nimeona nijiongeze kwa kumpa hii ya kwangu. Kwa kuwa sikuwa na bajeti ya kununua...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Ni siku tatu tu baada ya Mchakato makini, huyu manzi akanipigia simu na kuniambia ana ujauzito wangu? Nilichomjibu ni kwamba anafikiri mimba kuingia ni kama kujambisha tairi kwa upepo yaani by...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Poleni na pilika pilika za maisha, Nichukue fursa hii kuwaomba wadada kuchukua walau dakika kadhaa kutaja sifa za wanaume weusi Naamini kupitia huu uzi utatusaidia sisi wanaume weusi both...
9 Reactions
90 Replies
10K Views
Habari za leo wakuu, Kwenu wanaume wote Tanzania, Wanaume wanaohitaji kujiunga na chama chetu cha UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA nitafute inbox ndan ya mkoa wa Arusha na Tanzania nzima njoo...
6 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wana JF , Nimejaribu kupotia nakala na majarida mbalimbali yanayozungumza juu ya swala hili ,nimepata data chache kdg ,Nimeona nirudi kwenu niulize hili ,Yaan kuna pisi everyday nikikutana...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Katika harakati zangu nimekutana na dem (mhaya) tupo kimahusiano wiki tatu hadi sasa, kaonyesha upendo wa hali ya juu sana na wivu Sana ulopitiliza. Na genye za kutosha ila akija geto anataka...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
Ku move on imekuwa neno maarufu sana na linalotumiwa na watu wote (hasa slay queens)hasa miaka ya hivi karibuni! Kwa msaada wa watu wa marekani (google)move on ni kuendelea! Sasa kwenye mapenzi...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu hamjambo na ka uchumi haka ka corona Mi nimekuwa na tabia moja ambayo bnafsi naona inaniweka salama kwa wadada wasumbufu Iko hivi mi nikitongoza mdada tukaanza kuchart na kukutana mara moja...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Kiukweli wanawake ni wanaroho nyepesi sana anaweza kukufumania na rafiki au hata dada yake mkifanya mapenzi still atakusamehe na maisha yataendelea. Kwa upande wa sisi wanaume ni hatuwezi kusamehe...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Kuna sehemu moja nimepata kibarua, kipindi naingia kuna binti mmoja pia kaajiriwa. Hii sehem kuna nyumba kama hostel huwa wanahost wageni wakija na hizi nyumba zimejengwa kwa mfumo ambao kila...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Huyu binti nilimjua kupitia kijana mmoja (huyu kijana ni mwanafunzi wangu zaman sana kabla sijaanza ualim na kuingia kwenye biashara). Alikuwa rafiki wa huyu kijana. Ila through huyu kijana...
12 Reactions
205 Replies
16K Views
1:Anaevaa sketi fupi alafu akifika mbele za watu anahangaika kuishusha huyo ni MPUMBAVU. 2:Anaeweka kucha bandia nywele bandia kope bandia na anaejichubua wote ni WAPUMBAVU. 3: Anaesaliti ndoa...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Sijui niiteje hii hali.... four years ago niliachana na this guy!!!! Damn I had to go through hell... niliumia mno I reached a point naongea mwenyewe ni kama nilikua half crazy au almost crazy...
13 Reactions
90 Replies
7K Views
Wana JF kwema! Kiufupi siku hizi wàpenzi wengi hukutana kupitia njia za shetani kuliko njia za muumba (sahihi). Mfano; msichana anapenda Mali, pesa n.k, toka kwa kijana na kijana nae anapenda...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari zenu wadada na wamama wa JF. Majuzi kati hapa ofisini kwetu nilikuta wamama 2 wa makamo (45+) wenye familia na wadada wa 2 (33+) ambao wote ni single mamy wafanyakazi wakibishana. Mada...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepata bahati ya kudate na pisi nyembamba mbili tatu hivi ,wadau ila huwa zinakuwa na wenge sanaa yaan wengi wao hawatulii yaan wasumbufu sana , mara anasusa mara cjui nn yaan najiuliza ni wote...
9 Reactions
86 Replies
11K Views
Ushawahi kutongoza mwanamke akakukataa? Ulijiuliza tatizo lilikuwa wapi? Labda ulitumia mbinu zote nzuri za kutongoza mwanamke lakini ukashindwa kumshawishi mwanamke. Je tatizo lilikuwa kwako...
1 Reactions
123 Replies
15K Views
Jamani Wana jf Wazima nyie. Tukiwa tunaendelea kupambana na haka kahoma ketu ka mapafu. Sasa Tuje kwa mada. Et Wanaume naona mmejaa Mapovu baada ya kuwaambia mkatafute hela. Kiukweli nimeamini...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom