Linapokuja suala la mahusiano, wengi wetu tumeshawahi kutendwa, kusalitiwa, kupigwa kibuti, kuchunwa na kuachwa solemba na mengine yanayofanana na hayo. Katika kuishi kwangu, nimegundua hilo siyo...
For the duration of this time and day, the majority would argue if authentic love nevertheless exists. However ofcourse it nonetheless exist, yes it is rare however out of the complete world there...
Ila leo! Yaani katika pita pita zangu madada ambao nimekuwa nikikutana nao sehemu mbalimbali....
Wengi wao huwa ni wazuri Ila sasa katika kila wasichana 10 ambao nimewahi kuvutiwa nao 7 kati ya...
Jamani.
Nyie Wanaume Tunawapenda sana lakini kwanini Hamtupi attention.
Siku Utakaponichukulia basi nitaenda kwa rafiki yako hamna namna.
Mapenzi yanauma jamani.
Leo nimemigia simu kiumbe cha...
Wanawake ni waigizaji wazuri sana. Akitokea kiherehere akatangaza ndoa basi mwanamke atachofanya ni kuwatia block ma ex wake wote ili Jamaa amuamini kama kaokota dodo kumbe nyanya chungu...
Kuna jamaa kaninyandulia sana mke wangu, Mzee nilijifanya fala tu sijui kinachoendelea,kimya kimya nikaanza kupanga mikakati ya kumtafuta mke wake, haikuwa kazi rahisi kwasababu nilikuwa...
Habari, nina stori moja leo ambayo inaniumiza kichwa kabisa kuhusu mama wa mchumba wangu simuelewi hata kidgo ana nia gani na mimi.Juzi flani hivi nilikwenda kumsalimia alikuwa anaumwa nikafika...
Chupa limeamka na chai.
Kuna zile nyakati unataka kitonga tu, kosa kusikia mtoto anataja namba yake. Mfano anamtajia Wakala au mtu mwingine, unatega sikio kwa umahiri unaikariri.
Au unaikuta...
Jamani Leo ni weekend
Na hili jukwaa Wana MMU kila mmoja Ana haki ya kueleza yaliyo moyoni mwake sasa si kila tunaloleta shida zetu hasa sisi wanawake mkahisi tunashida ya kutongozwa sana au Malaya
Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya...
Siku ya Jumapili iliyopita nilileta mada kuomba ushauri jinsi navyoweza kupata PEP baada ya kuuza mechi.Sasa yule mwanamke nilimshawishi kwenda kupima akakubali na siku ya Jumatatu tukaenda kupima...
Yani zamani kipindi cha nyuma enzi za kina mb dog, dazz baba, qchillah ilikua ikitoka nyimbo kama ya mapenzi bas inakua ngoma kweli na inaverse na vina vya kueleweka kiasi kwamba ukisikiliza...
Ikatokea nimefariki Mali zangu nitamwachia mke wangu kwa ajili ya maslahi ya familia yangu.sitathubutu kumwachia ndugu awe msimamizi.kumwachia ndugu cash au assets Ni sawa umemwachia fisi butcher...
Hivi kwanini kabila na umri vinachangia kuzuia ndoa au kuruhusu ndoa? Mfano utaulizwa huyo mwanaume ana umri gani ukisema tupo sawa watu wana doubt, why?
Wanawake wa kiswahili bana mtu hata hamjajuana baada salamu swali la 2 unafanya kazi gani au unajishughulisha na nini? Hivi vitakusaidia nini ukijua au ndio tamaa au kujiuza dada zetu mtashindwa...
Heshima kwenu wanaume
Najaribu kutafuta busara za kiume, ni tabia gani ambayo ni kero na imekuwa sugu kutoka kwa wake zenu/marafiki wa kike, hata michepuko kama ipo?
Tukizingatia kwamba, hakuna...
Pale mke wako anapoweka kichwa chake kifuani na taratibu anauliza, ′′Mpenzi, je wewe * * una mwanamke yeyote katika maisha yako zaidi yangu?"* *
Kumbuka jibu lako sio muhimu kwa wakati huu, cha...
Kumpiga mwanamke wako vibao vya makalio tena vya nguvu?
Kwa kweli sipendi hi tabia, na sijui anakua anamaanisha Nini, last week nimepigwa vibao vya makalio vya nguvu Hadi nikatoa machozi wakati...
Salamu zenu wadada wenye tabia hii;
~Yaanike matiti yako kwenye mitandao wee, yabane vizuri na vaa vinguo vya ajabu ili yaonekane...
~Jaa kiburi wanavyokusifia wanaume wazinzi kuwa wewe ni mzuri...
Dah Siamini kabisa!
Nadhani ni moja ya mistake kubwa nilizozifanya kwenye maisha yangu.
Nimetoka kumuomba rafiki yangu kipenzi mno tuwe na mahusiano ya kimapenzi. Sijategemea kilichotokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.