Hili tatizo linazidi kukua kwa kasi ya ajabu na wahanga ama wanapotoshwa tiba na kinga ama hawajui cha kufanya huku wengi wakifanya ni siri kubwa...na kati yao wapo wa makundi matatu hivi...
Wadau mnisaidie, niko katika umri ninaotakiwa kuoa. Lakini siku zote nimekuwa na ndoto ya kuoa mwanamke wa Kinyarwanda na hasa awe Mtutsi.
Navutiwa kwa urembo wao ila sijui tabia zao. Anayewajua...
Mabaharia
Ulizipokeaje taarifa za kuwa unatarajia kuwa mzazi kwa mara ya kwanza je, ulikuwa umejiandaa tayari? Au ulikuwa upo unahustle maisha hayajaeleweka bado? Uliwezaje kukabiliana na...
Habarini humu ndani.
Kuna vitu vinashangaza sana, hasa mtu anapokwambia tafuta pesa hutoteswa na mapenzi, Mara ooh six pack watoto watakukimbilia, Mara mdekezee tu ndo kitu wanapendagaa, hapo...
Namuona mke namtoto wangu wamelala, mke hana noma nimempigia amepokea na amenifungulia Geti muda huu Saa 6 usiku.good enough kaniandalia msosi na maji ya kuoga na hakuna mnuno ananiuliza vi[i...
Hakuna kitu kinaumiza kichwa kama kuuza mechi mana mawazo yanakuja mengi sana na kuogopesha haya mambo haya jamani tuyaache.
Nina msongo wa mawazo wa kutosha.
Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi Rose B Masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu Rose...
Habari zenu wakuu, Poleni na Majukumu ya kutafuta Mkate wa kila siku.
Haya maisha yana mambo mengi sana na watu tuko wengi sana yapata Bilioni 7 duniani nlivyotazama mara ya mwisho, Maisha...
Habari za muda huu wana JF!
Ni muda mrefu nimekuwa nikisikia hii habari/imani ya baadhi ya sisi wanaume na baadhi ya wavulana. Imani yenyewe ni kuwa Mwanaume aliyekubikiri halafu mkaachana ni...
Habari zenu wanajamvi.
Nawasalimu katika Jina Kuu la Bwana wetu Yesu Kristo lipitalo majina yote. Ni wakati mwingine tena ambao kwa upendeleo Mungu ametupa hapa duniani kuwepo na ni jambo la...
Natumaini hamjambo wale wagonjwa Mungu awaponye kwa uwezo wake, naandika hapa kwa uchungu jinsi nnavoona ndoa nyingi zinavyoteketea Hususan kwa vijana aged 25 to 40 niseme tu hili nalo ni janga...
Katika maisha yangu nilikuwa na furaha na Amani na nilikuwa single kabisa sio wote walio single wanastress.
Basi baana akatokea mtu from no where na Ahadi kem kem nakujifanya ananipenda Sana but...
Habari ya asubuhi watu wangu wa nguvu ni furaha yangu kusikia mko na afya na ni wazima. Tuliowapoteza wapendwa wetu Mungu azidi kututia nguvu peke yetu hatuwezi 😔😔
Ninazidi kutafakari hali hii ya...
Hello guys!
Hivi ni mambo gani yanaweza kufanywa na wenza wakiwa fungate ili wasiwe bored? Maana hii ya kunyanduana tuuu kwa two weeks naona kabisa ni mtihani.
Mimi kwa upande wangu naona ni mwanamke kutokana na maumbile yake na majukumu yake kama mama, ikiwa ni pamoja na kuzaa. Kuzaa watoto wengi hupelekea mama kuchoka mapema na kupoteza muonekano wake...
Habari wakuu.
Mke wangu ni muajiriwa kwenye moja ya entities hapa Tanzania, kipato chake kwa mwezi ni around 1.9m baada ya makato yote ya serikali.
Mimi kipato changu ni around 500k kwa mwezi na...
Siku moja jamaa mmoja alichinja ng'ombe mnono na akachoma vizuri, baadaye akamwambia mke wake: "NENDA NA KAWAALIKE MARAFIKI NA MAJIRANI ZETU WAJE TULE NYAMA."
Basi mke mtu akatoka nje na kuanza...
Hakika mahusiano ni cimplex sana!
Yamenikuta leo,nimeshindwa kufanya kazi,wakati wote nina mawazo mengi sanaa!
Nilikatazwa kuwa na mahusiano na single mother nikajifanya kichwa ngumu mimi!
Imani...
Nipo na mpenzi kwa muda sasa. Siku moja nikaiona nywila (password) ya simu yake na niliyoyakuta ndio niliyoyakuta. Ugomvi ukawa mwingi, sikumpiga bali niliminya si kidogo. Jamaa aliyekuwa...
BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.