Wasalam,
"Wanaume tumeubwa mateso kuhangaika walisema wahenga."
Tuachane na hayo kwanza Ila kilichonileta hapa leo ni kujua kama baadhi ya tabia wadada huwa wanazifanya kwa makusudi au ni...
Nisijisifie bandugu me ni miongoni mwa wanaume ambao siwezi kumuingilia mwanamke kwa kumshindikiza (kumlazimisha).
Nina tatizo hata kama nipo nae chumbani kwangu akionesha dalili za kutokuwa...
Wakuu kwanza kabisa msinishambulie, namimi ni binadamu, ingawa yalishapita na nimeyasahau,
Jamani uzinzi ni mbaya sana, Nilikuwa na tabia ya kuwapima ngoma mademu zangu nikiona wako safi naanza...
Kutokana na mabadiliko nchi yanayoendelea dunian kuna baadhi ya ndoa zitakuwa kwenye wakati mgumu sana kufwatana na janga hili la ugonjwa wa homa ya mapa.../inimonia
Tunapenda kuwakumbusha...
Wakuu!
Nadhani wote mu wazima.
Napenda niulete kwenu huu mjadala wenye kichwa 'Michango ya Diaspora wa Kitanzania kwa maendeleo ya Tanzania.'
Ni kama muendelezo, kwani siku za nyuma kidogo...
Ipo hivi nilikuwa penzini na demu fulani hivi lkn mwaka Jana katikati tuliachana kimyakimya baada ya kustukia mauzauza kwenye simu yake so kila mtu akajua mambo yake lkn tuliendelea kuwa friends...
Ifike kipindi ambacho ustawi wa jamii watenge kabisa maeneo husika watakaopatikana wanawake bikra kwa matumizi ya kuoa tu na si vinginevyo!
Sikudhani kama kupata mwanamke bikra imekuwa ngumu namna...
Tunawaomba TCRA iweze kuzuia message za mademu wanaomba pesa zisiwafikie wanaotumiwa litakuwa ni Jambo la busara Sana kama wanatasikia vilio vyetu .Maana vizinga vimezidi tunaomba serikali tukufu...
Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao.
Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro...
Wapendwa kwema,
Leo nimeletewa malalamiko kwenye ndoa yangu kuwa mke wangu anachonganisha watu hadi wamekosana.
Basi mimi sio wa maneno sana nikamuomba yaishe wamsameheane. Huyo mtu akawa...
Kama kawaida mwanaume ni kiumbe wa juu kiumbe mtiifu nami kwa kufaata utiifu wa bwana.
Nikaiga mienendo ya manabii Kama Ibrahim alikuwa na wake wawili, Suleyman ndyo kabisaa Jembe huyu wanawaje...
Hizi ni kalamu zenye uwezo wa kurekodi video na picha kwa mda mrefu.
Back to mkasa nilitega kalamu hizi moja sebuleni moja chumbani kilichotokea nikamuona rafiki wa mke wangu akiingia chumbani na...
Napenda tu kuwa taarifu wanaume wenzangu wale ambao wanategemea kuingia kwenye suala la ndoa Ni kwamba mama uchangia robo tatu ya tabia ya mtoto/mienendo/hulka na matendo
Hili linadhihirishwa na...
Habarini wana Jambi wa humu ndani.
Natumai mu wazima kabisa.
Leo nataka niwasanue (niwahabarishe) jambo wakuu jambo ambalo ukubali ukatae ila ukweli ndo nakupa (ndo huo).
Ukubali ukatae, wengi...
Habari wakuu.
Jana nililala na mtoto mmoja wa kike hapa kwangu, asubuhi kulivyokucha akaoga fresh ili awahi kazini kwake ila kilichonishangaza amejidai kusahau chupi yake bafuni, hajanijulisha...
Habari wana Jf naimani mko powa sana...
Niende kwenye mada mmoja kwa moja. Hii imetokea leo bi dada karudi nyumbani kutoka katika mishe zake.
Kakuta mtoto wake wa kike umri miaka 8 na mtoto wa...
Wakuu dunia imejaa misukosuko ya kila namna..
Mwezi iliopita nimekutana na mrembo wa maisha..yani mwanamke nlietamani niwe nae maishani mwangu ndo amekuja wakati ambao sio sahihi...
Wakuu, kuna mrembo moja humu!! Famous sema siku izi simwoni mwoni humu.
Nikiri sikumjulia Jf ila mazoea yangu na yeye yaliniwezesha kuinasa ID yake. Hata akijitokeza kwenye huu uzi sawa, siogopi...
Habarini wana jamvi. Natumai my wazima humu.
Kiukweli bila kupepesa macho, imebidi ty niliyotoe La moyoni. Mahusiano ambayo mwanaume anazidisha upole kwa kudhani ndo anakuwa romantic huwa ni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.