Mimi ni kijana ambaye bado sijawa na familia. Ila nafanya kazi na naishi mwenyewe kwa kujitegemea.
Kuna dada nilikutana naye kabla hajaolewa. Nikawa nimempenda nikamuomba tuwe pamoja. Kwa bahati...
Habar za muda huu, ndugu zangu wana JF.
Kama tujuavyo tuliowengi ikifika mwishoni mwa mwaka...tunakwaida ya kujitathmini yale tuliyoyafanya kwa kipindi cha mwaka mzima. Katika nyanja ya...
Kwanza kabisa nipende kutoa shukurani zangu za dhati kwa mtandao pendwa wa Halotel kwa kuweza kunifanikishia zoezi hili la leo,
Huyu manzi Nilimpata kama utani hivi baada kukosea namba ya simu na...
Habari wakuu,
Kwa mara ya kwanza;
Nilikuwa mkoa wa Tanga, wilaya za lushoto, Korogwe, Mheza na Tanga mjini katika kazi fulani nilyo tumwa na serikali.
Nime maliza salama na nime rejea kituoni...
There ia a lot of whining and complaining when it comes to relationships.Much is said about what men want but we need to know more about what women desire from their men.When it comes to what...
Habarini waungwana.
Nina jirani yangu kila mara nakuwa anasumbuka sana kutafuta pesa kwa ajili ya kulipa malipo ya ada ya masomo ya mwanafunzi.
Juzi hapa Januari alikuwa anahaha sana kutafuta...
Hapa JF kuna mada zimepamba moto sana wanaume wanalia kila siku na kupeana mbinu za kututuliza wanawake tusitoke nnje eti, mara sijui mpe pesa mara kitandani sijui goli nyingi
Wanaume hao hao...
We imagine tu mtu anavyokikata kata lazima atoe machozi iwe ke au Me,
Ingekuaje kama kitunguu kingekuwa demu?
Angekuwa bonge moja la star , mzuri kuliko wanawake wote , penzi lake matata ndio...
Poleni na majukumu wana-Jf wenzangu.
Katika maisha ya kawaida tunazungukwa na majirani na marafiki katika mambo mbalimbali ya kijamii.
Maandiko matakatifu yanatuambia wazi tujihadhari na...
Wakuu, nimeona thread mbalimbali hapa jukwaani wanaume wakilalamika kupokea majibu ya ajabu kutoka kwa wanawake Mfano unakuta kuna demu mkali beki hazikabi umesota mbaya kabisa ukapata namba zake...
Habari JF,
Katika mzungumzo na baadhi ya wadada ikazuka hoja kuwa suala la sisi wanaume kutowapa hela au kuwapa 10,000 tu baada ya show ni ubahili.
Hili suala limenifanya niwaze sana kuwa kama...
What is Love? Love is when two people touch each other's soul! And love is a complex emotion that brings two people together, sometimes in a strange way.
Love is strange and unusual like most of...
Kuna sekeseke limetokea hapa limenihuzunisha sana, ipo hivi. Kuna jamaa yeye alikua anamchunga sana mke wake, haruhusiwi kutoka bila taarifa ikafikia akamnyang'anya simu kabisa kiasi kwamba...
Wakuu habar za jioni,
Poleni na majukumu ya kutafuta pesa,"tujadili haya maneno 2 MAPENZI na UPENDO
Nijambo ninalojiuliza kwa mda kidogo tofauti ya MAPENZI na UPENDO
MAPENZI ni matamanio ya...
Wapendwa wangu mmeamkaje.
Twende hii kwa kipindi kirefu nimekuwa si mtumiaji sana wa hii mitandao ya kijamii sasa niliporudi kwa nguvu zote nikasema nianze na Jf hasa jukwaa langu pendwa hili la...
Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua...
Kumekuwa na watu ambao hupenda fanya mapenzi majini hasa hasa baharini. Nliwahi shuhudia mmoja kunduchi wakati anafanya tendo hilo akabanwa na mshipa.
Alipiga kelele sana huku na mpenzi wake naye...
Salaam kwenu wanaume/vichwa vya familia.
Baada ya kukusanya maoni yenu nini hampendi toka wa wenza wenu (wake, girlfriends, michepuko etc.), nimecompile points za mheshimiwa Emiir kama...
Binafsi nakumbuka nlikuwa na girl friend ambae tulidumu, Nlizani nimepata kumbe nimepatikana (kwa sauti ya msanii 20% 😁).
Enzi hizo nlikuwa nasoma chuo cha uhasibu pale Arusha (I.A.A) mitaa ya...
Dear Ladies..
Mwanaume Asiye na Hela sio wa kuvumiliwa hata kidogo.
Ujasiri Huo mnaupata wapi!? Mtu unahitaji kadress kako kakendu kakali mara make up dress table ijae nywele zetu zile za elfu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.