Ndugu wana Jamii, niliwahi kuleta thread hapa jukwaani yenye title mapenzi ni shida!!!!! Nilielezea yaliyojiri kati yangu na binti mmoja ambaye nilitokea kumpenda sana, ukiweza tafuta huo uzi upo...
Ni vile tunaendekeza njaa na dhiki inayoambatana na ufinyu wa fikra na roho mbaya kwa viumbe hivi, ila kumfanyia jambo lenye mlengo wa kuhonga kwa mwanamke kuna raha aisee, kwanza ukishampatia...
Nimekaa nikafikiria ila jibu linakuja halafu linakataa maana sina ushahidi wa 100% ila katika pitapita zangu sijaona kwa upande wangu kama nimekosea labda wenzangu nyie mnasemaje...
Hivi katika...
Kila mtu anakuwa na sababu zake pale anapocheat, wengine za ukweli, wengine za uongo.
Kwahiyo kwa wale ambao walishawai-cheat ni sababu gani ilikupeleka kufanya hivyo, if we are being honest?
Natoa tip kwa wale ambao hawajaoa au kuolewa usije fanya kosa hili kubwa kwenye maisha yako.
Mpende sana mtu wako na kumheshimu siku zote, love should always be unconditional and not conditional...
Haya ndio matatizo makubwa kwa mwanaume yoyote duniani.
1. Dushe kutosimama
2. Mke kuchepuka
3. Kudhauriwa na ndugu kwa kukosa mkwanja
4. Kuzaa toto shoga/ hanithi
5. Migogoro na vyombo vya...
Habari zenu wanajamviii
Nime-experience na kushangaa kitu cha ajabu saana kwa hawa wadada na mama wanaolea watoto bila mzazi wakiume/baba kuwa pamoja.
Yaani utakuta huenda kuna hitilafu imetokea...
Najua wengine mtaa jiuliza kwa nini,
Toka nimeoa ni mwaka sasa.mke alikuwa na tabia nzuri na ndo maana nilishawishika kumuoa,ni mpambanaji mzuri tu ,anajua kusimamia biashara vzr sana
Jumapili...
Mapenzi Ni mazuri Sana, unakutana na mtu mnapendana unaona kabisa yaani penzi Lina flow bila hata nguvu ya ziada.
Lakini tatizo Dini. Unaona kabisa Dini Ni kikwazo, Mimi katu Siwezi badili Dini...
Nilikuwa na mpenzi wangu nikiwa kidato cha nne nilipofika cha tano akaniacha nikaja sikia ana date na jamaa mwingine wakati huo amebahatika kupata kazi ya kuuza duka mimi nikiwa sina ramani ndo...
Kampuni ya Connections Ltd. inaandaa safari ya kwenda Nairobi mpaka Kampala kwa Singles& Divorced anaetaka kupata mwenza toka Nairobi na kampala. Safari imepangwa kuwa mwishoni mwa mwezi juni 2021...
Tujifunze.
Kuna huyu mdada alikuwa anafanya kazi ya kuuza mgahawa kwa mtu mshahara 60,000 kwa mwezi akaja akafukuzwa alihangaika sana mjini mpaka mwenye nyumba akamtimua.
Sasa katika mishe ya...
Dah leo nimekuwa na siku mbaya sana,kuna michepuko yangu nilikuwa ninaipenda sana,leo imenipiga chini bila huruma,yani nimevurugwa sina raha kabisa, wife alinikaribisha chakula nimemzingua sana...
Nimeamini uchawi wa mahusiano ni pesa.
Yaani ukiwa nazo, utabembelezwa kama mtoto mchanga; ila ukiishiwa usishangae mpenzi wako kukuita majina ya ajabu ajabu kama vile, wee mbuzi, mbwa, paka n.k...
Habari zenu wana jukwaa. Ni matumaini yangu weekend imeenda vizuri kwetu sote. Kwa wale ambao weekend haikuwa nzuri kwao kutokana na matatizo ya kiafya basi nawaombea Dua Mungu awaponye.
Nirudi...
Muda wowote toka sasa naweza kuamisha makazi yangu ya kudumu hapa Dodoma na kuelekea sehemu yoyote isiyojulikana,
Hii imekuja baada ya kupasua mchoro wa mke wa mjeda wa hapo Ihumwa , alafu jamaa...
Mambo vipi wadau.
Nimeulizwa hili swali DM na pisi zaidi ya 4 wiki hii. Ngoja nilijibu kwa kwa ujumla.
Wanaume ambao tunaruka ruka pasi na kutulia na pisi mmoja huwa tuna lengo la kuhakikisha...
Habari wakuu
Kuna binti nilikua nampenda sana na tumekua nae kwenye mahusiano kwa yapata mwaka mmoja
Badae alianza kubadilika hasa linapokuja suala la kunyanduana yani nikwa manati sana
kiufupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.