Urafiki wa kudumu: Ushawahi kugombana, kupigana na bifu na rafiki yako halafu leo hii nyie ndo maswahiba wa kushibana?
Hii ipo sana, unakuta watu wanagombana, wanapigana, mabifu ya kutoongea...
Utasikia yaani ninamuda mrefu sijaDo,Mara njoo unitembelee nyumbani,Mara kalikwenda kakarudi.
So mihemko yenu Ni day after kutuapproach?? Mbona sisi hatupropose huduma zenu masaa 24 tu baada ya...
Hivi hawa wasichana wa kitanzania wana matatizo gani. Akishajua una mpenda tu atafanya visa hata kama yeye anakupenda atakufanyia visa tu ndio furaha yake. Mimi najiuliza hivi viumbe vitabadilika...
Wanaume wengi wako tayari Kuwanunulia Wake zao ( Wapenzi wao ) Zawadi kama za Gari, Simu, Nguo, Nyumba na Viatu ila linapokuja suala la Kuwanunulia Chupi huwa unakuwa ni Mtihani mzito Kwao na...
Habari wana JF
Kichwa cha uzi chajieleza vyema sana hasa kwa sisi vijana ambao tupo katika kipindi kilichojaa majaribu na majeraha makubwa linapokuja suala la mahusiano kwa tuwapendao...
Leo nlikuwa na miadi na galfriend wangu mpya kuja home.nlimwambia ntamwandalia msosi mwenyewe.
Kaja mapema mtoto wa watu, tumeanza na stories na maandalizi ya chakula.nmekata kachumbali.huwa...
I was single once, but now i'm a wife and a mother. Nimekaa nikaona sio vibaya iwapo nta-share tips kadhaa zilizonisaidia kumuweka baba Ashrat sawa na mpaka leo hii sijawahi kuhisi wala kugundua...
Habarini za asubuhi mabibi na mabwana na wanafunzi na watoto bila kusahau viben10,
Usikimbilie ndoa ukajua Yale matabasamu wanayoonyesha watu kwenye picha wanazopost Facebook ukajua hata ndani...
1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo
Wanawake ambao hufika kilele (orgasm) angalau mara mbili kwa wiki kila wanapojamiana, wana uwezekano mdogo sana (30% tu) wa kupata maradhi ya moyo...
WANAWAKE wengi wanashindwa kujua wao wanatofautiana na wanaume kwa hisia na hata mawazo ya mapenzi. Wanaume wana mambo wanayoyapenda kutoka kwa wake zao hasa katika masuala ya mapenzi. Kwanza...
Wakuu najua wengi wetu kama siyo wote tulio kwenye ndoa tulishawahi kucheza ugenini, vipi ilkuaje ukaacha? 2007. Kuna binti nilimpenda sana lakini nilivyo mweleza hisia zangu alinikataa katakata...
Mambo ndo yamekua Safiiii
Sina stres za Leo sijui, nitakula nini wala nitavaa nini
Kitaa wananikubali Kiaina, kifupi full heshima
Tofauti na zamani, cku hizi naombwa namba ya simu na business...
Habari za leo wana-JF wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojielezea.
Mwaka jana niliwahi kuomba ushauri baada ya kufuma message nyingi kwenye Facebook account ya mke wangu, nikajipiga...
Habari za muda huu wakuu.
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mwanafunzi wa chuo kimoja huku mikoani ambaye nimepewa namba na jamaa yangu anayefundisha shule inayomilikiwa na chuo hicho...
Yani akigombana na mume wake au mpenzi wake anaona nyia ya kumaliza hasira ni kutembea na mwanaume mwingine, yani usipikua na huruma unaweza pata lawama, imagine mtu anakwambia anakuja...
Greetings.
Baada ya kuona vijana wengi wakilia katika mapenzi na kujiona hawana bahati kabisa ya mapenzi " Huku wakisumbuliwa na U.M.D- Ukosefu wa mapenzi ya dhati" basi nimekuja kuwaokoa na Uzi...
Wanawake kutokana na maswala ya uzazi tunapata bahati ya kupitia vipimo vingi sana. Mara nyingi hapa ndipo unagundua una magonjwa. Hapa tayari una ujauzito na unafahamu ulikua muaminfu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.