Nipo na shemej yenu hapa huwez amin sina hisia nae kabisaaa yaani. Na ni bint mzuri tu mwenye umbo lake ila huwez amini amekuja kwangu toka alhamis..nilivyogusa siku ya kwanza ikawa basii yaani...
Habari wadau! Kuna chama kama hiki nimekikuta Somewhere. Hiki ni chama cha wanaume walioachana na wake zao au wachumba wao sasa wanaishi maisha yao. Hiki chama watu wanafarijiana kiasi kwamba hata...
Nimehongwa gari bila kadi lakini inanisaidia sana mjini hapa..kinachonifanya nije hapa ni kuwa aliyenihonga gar nikifanya naye mapenzi yaan sisikii ladha kabisa..navuta hisia kabisa nikiweka akili...
Naomba ushauri wenu juu ya hili
Japo stori ni ndefu lakini kiufupi ni hivi
Ni miezi sita ya ndoa sasa mke wangu amekumbwa na maradhi makubwa ya kuingia bleed siku tano mfululizo na kutoka damu...
Ndugu zangu nimebaki nimedua sielewi kwanini hili limetokea kipindi hiki. Rafiki yangu wa kike wa muda mrefu sana ameniletea zawadi ya shati na tai hii ina maana gani?
Wajuvi wa mambo naomba...
Ujue kumuaminisha ke/me kuwa unampenda kutoka moyoni naye akaridhia na akakupenda ni vema sana, ila ukimuaminisha kuwa unampenda kutoka moyoni huku ukiwa humaanishi ni UTAPELI hakuna ubishi...
Habari
Kwanza poleni kwa msiba wa taifa.
Niende kwenye mada
Kuna binti mmoja nimekutana nae mwaka mmoja uliopita nikampenda akazungusha zungusha mwisho akakubali kuwa na mimi.
Ila baada ya...
Habarini wadau,
Mimi nimebahatika kuwa na mwanamke wa kichaga nilimpenda sana sana hadi sio poa. Nimekuwa nikiongea naye mambo mengi sana ya kimaisha na maendeleo, ingawa mimi ninakazi yangu...
Unakuta umepata mchongo sehemu unahitaji mtu mwenye elimu unatafuta ndani ya familia au ukoo hata kabila lako umvute lakini huoni mtu.
Madogo wanaacha shule au form four kwake inatosha.Wanapata...
Wana,JF
Hii ni kwa vijana wenzangu nimeona niwaambie ukweli sio kila pisi(mwanamke) unayekutana naye iwe club, night part au wale wanao jaa wenyewe kwenye 18 ni wa kupita nao wengine wamebeba...
Hivi mlioaje maana mimi sielewi eti kuna woga mkubwa nahisi nikioa najiona kama nitakosa uhuru nikioa yani naona nikioa atakua kama hawa wake za watu ninavyo waona mh.
Au atanifanya kama yule...
Binafsi nina mazoea tu ya urafiki wa kawaida na msichana mmoja mtaani kwetu ambae tayari ana mtoto mmoja, lakini mwanaume ambae yuko nae kwenye mahusiano kwa sasa yupo mkoa mwingine kikazi...
Natumai hamjambo wananzengo.
Huu ni mwezi wa pili sasa nikiwa na sintofaham ya kufanya maamuz juu ya jambo hili, hivo nimeamua kuwashirikisha ili nipate maamuzi sahihi.
Ipo hivi kuna binti mmoja...
Igweeeeeeeeeeeèeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Nastaafu kuuza wake za watu part 3 IMENUNULIWA NA JIMAMA KWA 100,000. Sina hata bei mwenzenu. Kadai nilimuharibia sanaaa...
Ni long story ila kwa ufupi ni kwamba juzi kati zero nilikuwa kwenye harakati zangu za kutaka kuvuta jiko,
Kumuoa binti flani hivi niliyekuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka kadhaa,
Taratibu zote...
TUMESHUHUDIA Wachawi wakiwatesa watu wasio na hatia hata kuanzisha vita na waganga wa jadi ambao hujitolea kuwasaidia waliowaroga kuwaondolea mateso mazito kutokana na kutupiwa uchawi ambao...
Kusaidiana kupo na naamini kabisa wengine kutongoza kunawawia vigumu sana, kiasi wanakuwa wenye kusindikiza tu, zipo njia njingi sana ambazo ukizitumia unaweza kufanikiwa, pengine upo na mdada...
Majita eeh STUNTER nimeamua kuisaidia kambi yangu ya kiumeni manake wachuchu wanaishambulia sana, mara ooh Sku hizi wachezaji wamekuwa wachovu,
Mara wanasema eti hatufungi magoli ya uhakika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.