Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wanawake wawili walikuwa wakisimulia kilichotokea usiku baada ya waume zao kurejea nyumbani kutoka kazini. Mwanamke 1 Shoga yangu, jana ilikuwa siku mbaya kwangu mume aliporudi kutoka kazini...
2 Reactions
10 Replies
940 Views
Linapokuja swala la kuoa kila mwanaume huwa ana vigezo anavyoviangalia lakini hebu leo hii hebu tuangalie between strong woman and weak woman yupi anaweza kuwa mke bora. Strong woman ni yule...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
You know why? Because we know cheating is WRONG! We cheat for SEX, just to F**K But when the girl cheats she cheats for LOVE & AFFECTION. She cheats with a guy that can potentially replace...
7 Reactions
5 Replies
995 Views
Habarini wadau, Nitakuwa wazi sana na kwa anayeweza kunisaidia anisaidie ila kama mtu hajui/ hawezi kutoa msaada basi ni bora akaacha kuchangia kuliko kutusi/ kudhihaki. Nina kaka yangu kabisa...
2 Reactions
161 Replies
37K Views
Habari wana Jf, Nimekuwa nikifuatilia nukuu mbalimbali kwenye vitabu nk. Je kuna ukweli wowote juu ya hili, kwamba Wanawake ni vyema kuwaonyesha wanaume zenu kuwa mnawapenda sirini na sio...
0 Reactions
6 Replies
991 Views
Wapenzi Kuswaki kwa Miswaki ya Wapenzi wao ni Mahaba, Ushamba, Afya Njema au Uwendawazimu? Nahitaji Majibu yenu Ndugu manake....!!!
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni msichana wa miaka 21 mwenye mpenzi wa kiume mwenye miaka 32. Wapo mikoa tofauti jambo ambalo kuonana kwao inaweza kuwa ni mara moja kwa mwaka. Mara kadhaa msichana amegundua kuwa mwanaume si...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Huu mjadala nimekuwa nikiusikia sana kwa baadhi ya wanawake. Uzuri ni kwamba kuna wanaokataa na kuna wanaokubali ila asilimia kubwa ni kama wanaona ni halali. Yaani kila siku asubuhi mnatoka wote...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Tangu nije duniani na kuanza kuwajua wanawake na kuanza kuwagegeda sijaona sababu kuu ya kufikia hatua ya kumhonga mwanamke nyumba,gari,na vitu vingine vya thamani hasa yule mwanamke ambaye huna...
6 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari za jioni wanajf, Waungwana naandika Uzi huu nikiwa na uchungu mwingi sana, na nisijue chakufanya. Iko hivi; Nina mchepuko ambao tuna miezi kadhaa sasa ila sijawahi kumuonesha kwangu, kwa...
8 Reactions
123 Replies
12K Views
Nimekuwa na mawazo yasiyokoma tangu mwaka Jana 2020, furaha imepotea nimekuwa ni mtu wa kuwaza kukosa amani na huzuni moyoni mwangu. Ninasoma chuo fulani lakini maisha yangu ni stress na...
41 Reactions
310 Replies
24K Views
1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu...
15 Reactions
285 Replies
46K Views
Poleni sana kwa usumbufu niliowapatiena hasahasa wale mliokuwa na nia ya dhati kuchangia ili kufanikisha sherehe yetu ya ndoa kati yangu Nebuchadinezzar na Bi. (Jina Kapuni ili kulinda heshima...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Salaam kwenu wote watumizi wa JamiiForums. Kabla ya yote ningependa nifafanue Kichwa cha huu Uzi kinacho eleza zaidi upendo wa wanaume kwa wanawake, Kwa hali ya kawaida mwanaume huwa anapenda...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu, naomba mnipe tafsiri juu ya jambo hili. Kuna demu nilikuwa namtokea tokea bahati nzuri kiasi tukawa tunaenda vizuri ktk mawasiliano yetu ingawa kuna kipindi cha hapa mwisho mwisho...
3 Reactions
78 Replies
9K Views
Mwanaume anakutongoza leo Leo na hapo hapo unaanza kutangaza shida.Kuomba kwa mpenzi siyo mbaya, ila mmezidi sana. Utapewa unachotaka lakini hakuna kuweka kambi.Fanya uchunguzi mpaka vijijini...
10 Reactions
61 Replies
5K Views
Wadau nahitaji kufahamu mwanamke mwenye malengo kwako ni wa aina gani.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini za muda huu? Leo nimeamua kuja na hii kitu ambayo inatokea kila uchwao. Kila harusi niliyowahi kuhudhuria na hata zile ambazo sihudhurii bali nangalia kwenye kideo naonaga lazima bibi...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Huwa najiuliza sana mfano imetokea umekuwa na mahusiano na mwanamke halafu baada ya wiki akaja kwako kulala halafu asubuhi unamuamsha unataka uingie mishe mishe unashangaa haamki...
9 Reactions
108 Replies
11K Views
Back
Top Bottom