Hiviii..Em ngoja kwanza..!!Unajua apa duniani Kunae maraia wanaushujaa wa kiduanzi kinyama...
Hivi una'date na Pisi ata haikutumii text kukuuliza Baby umekula?inamaana iyo pisi inajua ina'date na...
Juzi alikuja kijana mmoja mbaye tunafahaminiana sana alinikuta nikiwa nimepumzika karibu na ofisi yangu ya kazi alikuja akiwa na huzuni sana.
Nikamuuliza vipi mbona uko hivyo akanijibu kaka...
Habari Wakuu
Nimekuwa najiuliza sana hili, katika jamii zetu za kiafrika hasa Tanzania hivi kweli kuna uwezekano wa msichana na mvulana kuwa marafiki bila ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi...
Kuna Dada ( Binti ) Mmoja mwanzo nilikuwa nafurahia 'alivyokomeshwa' na Mwanamama aliyeibiwa nae 'Mumewe' ila si Siri kwa sasa Imani ya 'Huruma' imeniingia juu yake kwani huyu Binti (Dada) ambaye...
WANAUME MNAOOMBWA PESA BAADA NA KABLA YA KUTONGOZA KAZI KWENU,SURA NDIYO HIYO IMEKAA KIMALKIA.
Huwezi Amini Huyu ni Mwanaume Shoga Tajiri Huko Nigeria, Anaitwa Bobrisky
_
Shoga maarufu kutoka...
Habarin humu.!
Nisipoteze muda niende kwenye mada.
Aisee kuna vitu vinakata moto sana. Mtu umesota kupata namba yake, haya umembananisha ukapata namba yake, tena amekupa bila hiyana na bashasha...
Huwaondolea Wanawake hamu,mshawasha,shauku au nye ge za kufanya mapenzi.
Matumizi ya mbinu hizi za kuzuia mimba si nzuri na ni hatari mno kwa ndoa changa. Wanawake huishiwa hamu na wamezao...
Cómo están tus amigos.
Leo nimeona tujadiri hili suala lwa wanaume kumpigia magoti mwanamke kipindi ananvisha pete ya Uchumba au Ndoa.
Mara zote nimekuwa nikiamini kuwa kama mwanaume anamvisha...
Kwa nini Wanawake huwa hawajihusishi au nisema haiwasumbui kiihivyo kama mchizi wake amelala na Wanawake wengi au la, lkn kwa Mwanaume inakuwa ishu?
I mean, ni mara chache sana nimesikia Mwanamke...
Umeanza mahusiano na mwenza wako katika hali mbaya kiuchumi ila mkakuvumilian shida na raha mkawa pamoja, mkazaa watoto, mkalea mkaanza na kusomesha, watotommekuwa na ndoto nyingi sana hususani za...
Upande wangu Mimi miezi tangu miwili iliyopita hadi Leo sijamsikia mpenzi wangu akinitamkia ananipenda wala kuniita darling Bby love zaidi zaidi ya kuniiita jina langu sijui kwanini?
Je, wewe...
UKIONA wanaokutongoza wote wamenyoa viduku[emoji64], wana mabrichi kichwani, wavaa milegezo na suruali zilizotoboka magotini.... Dada angu ujue tu Safari yako ya kuolewa bado ni ndefu!!! Wanaume...
Hello JF,
Katika haya maisha tunakutana na watu wa kila dizaini.
Nakumbuka wakati niko college nilikuwa na binti fulani hivi kimahusiano, asee Yule mwanamke sijui alikuwa na balaa gani kila...
Habari wanandugu wa JF,
Sorry kama nitashindwa kuhusianisha heading na content
Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwa kumekuwa na wanawake wengi ambao wametelekezewa watoto au mimba hii hutokana na...
Mim kila siku natoka asubuh kuna eneo flan napitab..sasa leo ni mara ya tatu namwona mdada flan hiv famous sana instagram kwa picha zake nzur nzur m classy....picha zake ni viwanja vikal na kwenye...
Haiwezekani mtu kila nikiongea nae jambo lolote la maendeleo jibu lake ngoja nimshirikishe wife
Mwaka juzi tulipanga mambo flani ya kujikwamua kiumchumi mchongo flani ukitulia hukosi hela za...
Nilikuwa ni mmoja wa wanaoponda single mamas humu ila mungu sio Athumani nikapata ka mama fulani hivi ka makamo nikaanza kujilia vyangu.
Mahusiano yetu yakadumu kwa wiki mbili nikiwa nafikiri kwa...
Nimeona majimbo mengi yakiongozwa na wabunge wa hovyo hovyo yakawa na maendeleo mazuri ihali mengine yanayoongozwa na wabunge wa maana yakiwa hayafanyi vyema.
So its safe to assume that all a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.