Mtoto anapofikisha miaka 10 unatakiwa uwe umemfundisha tabia nzuri wakati wa Chakula (Table manners). Tabia hizi huweza kumsaidia miaka ya baadaye akiwa kwenye mikutano muhimu inayoambatana na...
Wanawake akili zao wanazijua wao wenyewe. Mara nyingi mimi humu huwa nashauri wanaume wenzangu kuishi na wanawake kisayansi, wengine wanasema kuishi nao kwa akili sana.
Nina rafiki yangu wa kike...
Wakuu leo mtoto wa mjini nmeingizwa mjini
Huyu demu tulikutana kwenye sherehe moja ivi.muda wote alikuw bize na simu,alionekana mpole,demu fulan iv mweupee mrefu ila msambwanda wa kawaida...
Habari za humu wakuu,
Nmejiunga JF nina muda kidogo ila ni mpenzi msomaji tu sijawahi kutoa uzi leo nmeguswa niseme hili.
Bado kuna wanawake wanaolewa na mume ambaye hajui chanzo cha uchumi wake...
Wana JF nimekuwa muhanga wa kuwa na wivu uliopitiliza katika mahusiano , sijui ni mimi tu au kuna wengne wana wivu kama mimi hii imekaaje wanaume wenzangu.
1. Siihitaji mpenzi wangu awe na mazoea...
Kama kichwa Cha habari kinavyo sema . Basi tambua huo ndio msemo mkubwa wa wanawake wanao zalishwa wakiwa bado majumbani kwa wazazi wao au magetoni mwao.
Huu msemo ndio uliopo saizi midomoni mwa...
Ni miaka mitatu toka niache haya mambo ya kua kwenye serious relationship(whatever that means) na mtu, hii ni baada ya kuja kijamaa chenye pesa na kumchukua mwanamke niliyodumu nae kwa miaka...
Wanawake bana wanataofautiana tabia wako wapole, wakarimu, wacheshi, wakorofi na wajeuri sasa Leo nataka nizungumzia wanawake wenye tabia za ujeuri ambao wanaendeshwa na hisia na mawazo ya ubishi...
Habari wana MMU,
Nitakua naweka mada kila Ijumaa zinazohusu mambo mbalimnali kama wanawake, watoto, mahusiano nk. Lengo la mada hizi ni kutoa elimu kwa jamii.
Mada hizo zitakuwa zinawasilishwa...
Iwe katika mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanaume wamekuwa wakipelekeshwa na wanawake zao na wasiongee kitu uwe na hela usiwe na hela.
Mwanaume utapelekeshwa kama mtoto huongei kitu wengine...
Habari ndugu zangu leo naomba nifahamu kulingana na hali ya hewa hasa uhaminifu katika ndoa umepungua siku hizi.
Sasa kivi ni salama kiuchumi na kiafya kwa mwanaume kati ya kununua ngono yaani...
Wakuu Kwema, Bila shaka mpo busy kuhesabu kura za trump[emoji23]
Kuna Hili suala la kusex na demu siku ya kwanza, chondechonde hapa nazungumzia wale ambao bado hawajawa malegend kwenye...
Habara wana JF, hope mpo poa.
Ilikuwa mwaka 2016 rafiki yangu anaefanya kazi Jiji la Dodoma wilaya ya Kongwa alinitumia card ya harusi akiniomba kumpa support kwenye harusi yake kama ilivyo...
Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda izo hapo
1.Anavunja appointment muda wowote
2.Hajali uwepo wako
3.Hakutafuti mpaka wewe umtafute
4.Anacheka kwa dharau
5.Anatangaza mambo yako kwa rafiki...
Kuna Dada Mmoja wa Mtaani Yeye alibahatika sana kupata Watoto wa Jinsia ya Kiume tena Wawili kabisa.
Huyu Dada baadae akawa anatamani mno kupata Mtoto wa Kike na akawa anahangaika kwenda Kanisani...
Kuna Jibu moja hilo nimepewa nimebakia Kuvunjika tu Mbavu ( Kucheka ) sana japo ni la ' Kisayansi ' hivyo ngoja nione na hapa Kwenu Wajuvi Wabobezi ( Pundits ) wa JamiiForums kama nitakutana nalo...
Poleni na majukumu ya kila siku wana JF!
Iko hivi kuna Mwanaume mmoja alikuwa na ndoa yake ya Kikristo, ikatokea Mama Mkwe akawa anaumwa Kijijini ikabidi Mke wake akamuugeze Mama yake huko...
Dalili za kawaida ni pamoja na Kupoteza hamu ya kula au kupata matatizo ya kumengenya Chakula ikiwemo maumivu ya mara kwa mara ya tumbo. Pia, kukosa umakini au Mtoto kuanza kujitenga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.