Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ndugu zangu, nimekuwa kwenye stress za muda mrefu kiasi cha kupata panick attacks mara kwa. Nimekuwa mtu wa kunywa antidepressants sasa. Naombeni mnipe neno la faraja angalau nione kuwa dunia...
7 Reactions
98 Replies
7K Views
Hali bado sio nzuri kwetu wanaume kama bado wanawake mtaendelea na msimamo wenu ule ule kuangalia mwanamme una nini au unafanya kazi gani naona mwisho wenu utakuwa mbaya zaidi. Mmevunja mahusiano...
13 Reactions
95 Replies
7K Views
Kwa wanaume waliokamilika na wanaojitambua kweli kweli mwanamke anaachwa kwa sababu kuu mbili tena bila vikao wala mjadala wala ushauri! 1:Mwanamke msaliti hastaili msamaha wa aina yeyote fukuzia...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Ukweli bado vijana wengi tuna dhana ile tunaamini mwanamke ambaye hakuombi hela ndo anafaa kuwa mke sasa limeibuka wimbi kubwa la wanawake wapiga mizinga ukisikiliza maoni ya vijana wanasema...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1. Baby samahani dakika moja, wife anapiga simu. 2. Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa 3. Baby nataka kuja kulala kwako mke...
10 Reactions
151 Replies
14K Views
SEX IS SWEET BUT THEIR IS POISON BETWEEN LEGS Most men's falls are caused by several girlfriends. Sex is a spiritual encounter, I want to be corrected, not all girls have a good mind, some are...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi. Aisee kuhonga hakuepukiki kabisa kwenye maisha ya siku hizi, honga vyote ila usihonge simu wakuu. Kwa upande wangu kiukweli ntahonga hata mwili kwa ma shuga mummy lakini...
8 Reactions
207 Replies
13K Views
Mahusiano ya kimapenzi huwa na mazuri pale mwazoni, wengine hudai kuwa unavyoanza mahusiano mapenzi mwanzo ndivyo hukua. Je, ni kwanini baadhi ya mahusiano ya mapenzi huvunjika na mengine hudumu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
NIME IKUTA MAHALI UKIAMUA KUWA NA MAHUSIANO NA MUME WA MTU LAZIMA UKUBALI KUWA MTUMWA WA MAMBO YAFUATAYO:, 1.Baby samahani dakika moja, wife anapiga simu. 2.Baby muda umeenda Sana mke wangu...
4 Reactions
11 Replies
5K Views
Mkuu, Acha kutoatoa hela kwa wanawake watakufilisi. Hizo hela wekeza kwenye miradi, someshea ndugu wa familia yako yaani kaka na dada zako wa mama mmoja ili kupunguza utegemezi. Kama umeoa hizo...
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Kuna dada msomi mwenye career yake, mume na watoto wawili. Wana nyumba nzuri watoto wanasoma shule nzuri. Maisha yake aliyaona yamekamilika. Mpaka siku alipokua na shida na msichana wa kazi...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Nastahajabishwa na ukojoaji wa huyu dogo Ni mtoto wa wiki 1 sasa tangu azaliwe ni wa kiume ,akikojoa anarusha mkojo mbali utafikiri ni mtu mzima Kwa wataalam wa mambo hali hii inasababishwa na...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Ndugu zangu! Hii ni zawadi kubwa na ya kwanza unayoweza kuwapatia wanao kabla hata hawajazaliwa. Wapende na uwaheshimishe wanao, wachagulie mama bora chini ya jua. Hata kwa mujibu wa mandiko...
16 Reactions
108 Replies
8K Views
Habarini wadau, Wale wanaume ambao ni waumini wa Katoliki au Lutheran ambao waliwahi kupata wachumba kutoka haya makanisa ya kilokole,ni changamoto gani mlipata kutoka kwa hawa wapendwa...
3 Reactions
60 Replies
12K Views
Hello guys.. Hebu leo tujadili juu ya hili kovu la kuzaliwa nalo ambalo hugeuka tena kuwa kachumbari ya mahaba na kuleta msisimko wa nguvu mara tu sehemu hii inapoonekana especially kwa wanaume...
4 Reactions
209 Replies
34K Views
Habarini za wakati huu mabibi na bwana wa JF.......! Mimi ni kijana wa kwanza kuzaliwa kwa wazazi wangu. Kwa sasa nina umri wa miaka 27, kama mjuavyo huo ni umri sahihi kabisa wa mimi kuwa na...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Mimi ni mpenzi wa hizo timu mbili, nikivaa jezi za timu hizo warembo wanakuja kunipa namba wenyewe, imenitokea mara nyingi sana. Halafu mimi kwa sasa nimeokoka sitaki kabisa dhambi, kuna siri gani...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Najisikia vibaya sana kila wanaume wanavyonisema kuwa mimi ni mume bwege kisa namsaidia wife vikazi kazi. Huwa sometime napenda kumsaidia kufua vyupi au kupika spesho msosi na siku naamua naenda...
2 Reactions
107 Replies
11K Views
Salamu zenu wakubwa, Mimi ni kijana mwenzenu wa Kitanzania mwenye miaka 29, sina mtoto wala mke, nina Diploma ya Ualimu na kwasasa nafanya kazi katika moja ya shule binafsi hapa Dar...
8 Reactions
69 Replies
6K Views
Wakuu heshima kwenu Kuna binti nilikuwa na mahusiano naye ya kimapenzi kwa muda wa miezi 3 Yeye alimaliza form 4 mwaka juzi na hakufaulu kulingana na alivyonambia Nikiri sijawahi kufanya naye...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom