Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni....Nimeingia mwanza mida ya jioni nikachukua tax mpaka hotel moja mpya,nikalipia rum na kukabidhiwa keys.Wakati naelekea rum nikapita kwenye ukumbi wa...
Leo nimekumbuka hiki kisa, nikaona weekend hii ni-share na Wanajamvi wenzangu, sijajua kama hapa ni jukwaa sahihi au la!
Miaka mingi iliyopita nilikuwa nchi za watu kimasomo, wakati huo nikiwa...
Habari za Jumapili.
Nikiwa nimetulia ndani jioni namuona mamsap akirudi toka kwenye mishe. Pia alipitia saluni. Katengeneza nywele zake vizuri anavutia kumtazama
Sasa ujinga ni kuwa kufika tu...
Kuna mtu alinifunza kuipenda haki. Kwa kuyapitia maumivu na mazito nilijifunza kuwa na huruma. Kwa mara ya kwanza nikamuamini mwanamke. Ama kweli mapenzi ni matamu mno, nilijikuta nazama zaidi...
Nyumba tunazoishi za kupanga, nyumba moja familia tano. Mke wa mtu unavaa suruali unapoinama kuosha vyombo au kufua chupi jeupe linaonekana kiunoni limekatika na kuonyesha shepu lote la makalio...
Ndio Kama nilivyo Anza na kichwa Cha habari hapo juu.
Ni ukweli usio pingika kwamba dunia ya Sasa imejaa wanawake wapuuzi,matapeli,majizi, majuaji nk.
Hivyo basi kuishi na watu wa sampuli hiyo...
Habari za muda huu
Hadi naileta humu hii mada basi ujue suala lishakuwa zito.. Kuna mdada mmoja nilimkopesha hela alikuja akanililia shida kwani alinambia kuna dharura kaipata alikuwa anataka...
Leo nimeamua kuleta story yangu ya kweli
Naitwa Nelkonphy ni mzaliwa wa Mbeya greencity Na wazazi wangu ni wenyeji wa Tukuyu mbeya ila waliamia Mbeya mjini hivyo Na mm niliaama shule toka Tukuyu...
Wanajamvi salamu,
Kuna ukweli upi juu ya hizi nadharia.
1. Mwanaume unaweza ukawa na mke na michepuko kibao lakini bado ukawa na mapenzi ya dhati kwa mkeo
2. Mwanamke akishaanza kutoka nje ya...
Baba yangu aliwahi nambia, usije thubutu kumuacha mkeo kwa sababu zako binafsi, ukaoa mke mwingine na usije thubutu kumuongezea mkeo mke wa pili.
Kiukweli wakuu, kama mtatoa muda wa kutafakari...
Hello WanaJf
Bibi yangu Rukia kuna siku aliniuliza Mjukuu wangu unajua kwa nini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi?
Mimi: Hapana Bibi
Bibi: Hii ndiyo sababu mjukuu wangu "Kuonja onja...
Miaka ya 1980-90 kuna msichana mrembo aliishi Oyster Bay na baba yake. Baba yake alikua mfanya kazi wa ndani wa Mzungu na walipewa servants quater. Yule binti alikua na akili sana shule na...
Nilivyosafari kuenda kwenye shughuli zangu za biashara takriban mwezi moja na nusu, jana nilirudi nikakuta mke wangu hayupo kasafiri na kuenda kwa Dada yake kukaa huko na nyumbani hamna mtu yeyote...
Wadau nauliza kama UKIMWI upo maana uzinzi na uasherati baina ya wahusika umekuwa kama mnyororo fulani na hakuna anayejali. Basi ukigusa huo mnyororo, imeisha hiyo.
Ni dhahiri kwamba mlolongo wa...
Salam kwa jina la jamhuri[emoji4][emoji1362]
Currently nimekutana na cases mbalimbali pamoja na hii inayohusu binti kuzimia kwa kuzidiwa na pumu wakiwa katika privacy zao, Kifafa na changamoto...
Jamani wanaume wenzangu ulimwengu umebadilika sana kwa sasa, zamani ilikuwa tuvumiliane wakati wa shida na raha, siku hizi pesa kwanza mapenzi badaae, asije akakudanganya mwanamke eti anakupenda...
Alinipiga chini miaka kadhaa iliyopita,mwaka mmoja baadae nikasikia ameolewa, kwa mara ya kwanza baada ya kuachana tumeonana mwaka mwezi uliopita, ndipo nikaamini ule msemo "WAPENZI HUWA...
Wadau natumai mko poa.
Nazama moja kwa moja kwenye mada. Miezi takribani 5 iliyopita nilileta mada humu 90% ya mawazo ya wadau niliyatumia na yalinisaidia sana. Najifeel zaidi ya hom humu...
Kila ukikutana nao utawasikia wakiisema hii Kauli yao wanayoipenda kuwa Wanaume wote ni Waongo ( Matapeli ) na kwamba Baba yao ni Mmoja.
Kinachonishangaza sasa pamoja na Kuisema Kauli hiyo lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.