Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari zenu wakuu Ni miaka kadhaa wa kadha imepita , wakati niko chuo nilikuwa nimepanga sehemu furani hivi , Sasa huyo jamaa mmiliki wa nyumba alikuwa na shemeji zake wadogo wadogo. Binti mmoja...
4 Reactions
156 Replies
17K Views
Habari ya leo jamani, Nimekuja kuomba ushauri mwenzenu. Hebu nisaidieni nifanyeje ili nijue kuhonga maana kila nikijaribu kuhonga nashindwa. Saa nyingine naweza kujipanga kabisa kwamba mwezi huu...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadada ebu msomeni Mwanamke Mwenzenu Hapa. Je Kuna Ukweli Wowote?
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kutokana na hali Ngumu ya maisha na tatizo la ajira vijana wengi tumeamua kurudisha mpira kwa kipa huku tukisubilia mambo yakae sawa tujipange upya na sis tufanye maisha yetu kama awali.. Wengine...
136 Reactions
340 Replies
37K Views
Nimekutana na hicho kisanga leo kwa mtoto mmoja wa kigogo, Huyu mtoto nilikutana nae kiwandani kwangu na kuomba game kiutani utani hivi of course mtoto alitiki na kutimba gheto kama siku mbili...
10 Reactions
48 Replies
10K Views
Najaribu tu kuukumbusha ubongo wako kidogo, jambo dogo ila ndio source ya mambo yote mabaya katika ndoa au mapenzi. Usiwe na mahusiano ya kimapenzi na mtu unayempenda wewe huku hujajihakikishia...
7 Reactions
38 Replies
6K Views
Enzi zetu chumbani mnalala na bibi, shangazi, dada wa kazi ukiwa na bahati unaweza kuwa na kitanda chako mwenyewe. Hawa wageni wanaweza kukaa miezi sita na maisha yaliendelea. Hawa watoto wa...
15 Reactions
63 Replies
5K Views
Habari za muda huu wana JF! Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza hapo. Nimempenda mdogo wake na mke wa kaka yangu. Je naweza kuoa? Kimaadili imekaaje hii? Msaada tafadhali.
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Habari wadau Leo ni kumbukizi ya wababa duniani nami nawatakia heri na fanaka katika kumbukizi hii especial dady wangu namlavu sana kwa kunilea na kunitunza mpaka niko hivi Pia sitamsahau dady...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
1. SAMEHE Ngumu!Kila mtu anaguna aaargh,mi siwezi kumsamehe huyu Mwanaume,nimetoa Mimba zake 3 na bado kaniacha hana Shukrani!Hata ukimchukia ameshaenda,na ukimchukia hakutabadili zile mimba 3...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu waheshimiwa! Kwanza namshukuru Ghafuli kwa kutupitisha salama Oct 28 na nitumie fursa hii kuwapa hongera washindani wote na watanzania wenzetu waliotumia haki yao ya kwenda kupiga kura...
17 Reactions
142 Replies
12K Views
Najua wengi wetu tupo humu tumepitia changamoto za mahusiano. Nisiwachoshe ipo ivi, kuna Dada nimeanza nae mausiano sasa katika mausiano yetu, nataka kuishi nae mke na mume na huyu Dada ni mzaliwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Aisee, Dunia ina mambo. Wiki iliyopita Jumamosi mtaani kwetu mida ya saa 7 usiku, gari ya polisi ilisimama wakaweka roadblock kuwakamata wazururaji. Ukikamatwa unakaguliwa, unajieleza kama...
11 Reactions
142 Replies
13K Views
Takribani siku chache tangu nitambulishwe ukweni kama kijana mtarajiwa mambo nilioweza kuyaona. 1.Nilikaribishwa salama salmini kwa vifijo na vigelele msosi ulipikwa tukala na kusaza. 2.Baada ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania kulingana na utafiti wangu; Kwanini katika familia nyingi watoto wengi hupenda zaidi ndugu wa upande wa mama kuliko wale...
22 Reactions
231 Replies
26K Views
Jaribu kutengenezea mazingira yenye utulivu ili aweze kuzingatia kazi aliyopewa. Televisheni, Muziki, Kelele na Simu za rununu ni vizuizi vikubwa kwa Mtoto kuwa makini. Unapoona wanasoma au ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna jamaa alishauri kama una madeni Bora uyasamehe kuliko kujipa pressure ya bure na kweli nimegundua watu wote ninaowadai niachane nao madeni yenyewe hayafiki laki moja.nimeona umaskini wangu...
3 Reactions
2 Replies
574 Views
Ushauri tafadhali! Umeoa mke mwenye mtoto na unaishi naye huyo mtoto ukihudumia huduma zote!! Huko nyumbani nawe una mtoto pia yuko kwa bibi yake (mama yako) anaishi na kusoma, mama wa mtoto...
11 Reactions
141 Replies
13K Views
Back
Top Bottom