Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Yaaan naandika huu uzi huku niki fikiria hawa viumbe sijui wakoje kwa kweli wanawake hawanifikirii mara mbili mbili midomo yao ndio inawaomgoza. Yaan kuna dem alionesha kuvutiwa na mimi nikasema...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari za Eid pili wandugu Kama kawaida yangu ninapitulia ndipo jambo hunijia kama hivi halafu natafuta pakukitolea. Nimekumbuka tu mbali kidogo miaka hiyo ya ubarubaru. Kipindi ambacho kwa...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari waungwana ? Leo nimepata swali kutoka kwa Rafiki yangu kua mke wake simu haikai chini anakuambia kuwa ni marafiki tu hana mpango naye ila anaongea nao sana akiwa mume wake hayupo. Tena...
2 Reactions
65 Replies
9K Views
Nawasalimu wana jf Mu wazima humu. Jamani wanajamvi mpenzi wangu simuelewi kabisa kwa sasa. Nahisi nasalitiwa waziwazi ila ushahidi tu ndo sina. Nilichoamua kutaka kuidukua simu yake , liwalo na...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Hii imekaaje!? Mwanamke kabla hajaolewa anatambulika kwa jina la 'Miss X' ambalo ni jina la ukoo wa baba yake. Akishaolewa title inabadilika na kuwa 'Mrs Y' ambalo ni jina la utambulisho la ukoo...
0 Reactions
92 Replies
10K Views
Yaani sio nawadharau ila niukweli. Mtakuwa mnasaidia wenzenu mademu zao wanawake zao. Namtabaki tu na stress na kufikia kunywa sumu. Why mwanamke wanawake watakuwa wanakutema wanakufuata tu...
2 Reactions
123 Replies
11K Views
Kiukwel mim ni mkristu lakin i wish we had thiss..yaan kuwe na ndoa ya wanawake wa4 mwisho..yaan ingekua swaaf kwel yan Niseme kwamba..wanawake wa skuhiz kuzaa watoto zaid ya wa3 ni...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Habarini zenu ndugu zangu? Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano. Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda...
10 Reactions
123 Replies
8K Views
Kuna hii nadharia imeenea sana kwenye jamii za kiafrika kuwa mtu anampenda zaidi mtoto ambae sio damu yake kwenye ndoa. Unakuta mtu ana watoto wanne, wakwanza anafanana nae, wa pili pia wa tatu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nataka leo wanawake niwaulize hela mnazotafuta ni kwaajili ya nini? Maana kila kitu unamwambia mmeo/mpenzi wako akufanyie unakuta una kazi nzuri tu, pesa huwa mnafanyia nini? Kama pesa...
11 Reactions
178 Replies
11K Views
{DADA /KAKA ZANGU KUWENI MAKINI NA WATU HAWA}. Nyakati zime badilika kila kukicha mapya yana zuka utapeli ime kuwa ni fasheni kwenye kila sehemu kiasi kwamba huwezi jua yupi mkweli NA yupi muongo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi nina maumivu makali, yawezekana kutokana na machungu niliyonayo yatasababisha nisimlie kwa mpangilio usio sahihi Ilikuwa Mwaka 2019 mwezi wa 8 nikaenda Mitaa fulan ya Dar as salaam...
47 Reactions
168 Replies
14K Views
Ilikua Ni wiki Jana nikiwa nimechili sehemu basi nikiwa deep kwenye kufikiri jinsi gani nachezesha karata zangu za maisha , Akatokea mrembo mmoja huyu Ni mwanamke mzuri Alie fungasha mwenyewe na...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwanaume husalitiwa kwasababu kadhaa ikiwemo; - Kipato duni -Kuwa mkavu(kutokuwa romantic) -Hulka na tamaa ya mwanamke na. **** Kutokumkojolesha mwanamke. Sasa nataka kuzungumzia sababu moja tu...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Najitahidi kumsahau huyu mwanamke bado ni mtihani! I miss her japo nimemuacha mwenyewe lkn bado hisia juu yake ni kali,still nawivu nae na naona kabisa nampenda. Swala sio kumuacha swala ni lini...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Naombeni mipango mikakati ya kuendelea kula tunda kwa X girlfriend, mkiwa mmeachana kwenye ugomvi mkubwa (assume yeye ndio alio-kuacha)... na hamuwasilini ila umemiss kumla mzigo
6 Reactions
62 Replies
7K Views
Sijawahi kulala na ngozi nyeupe ila weusi nna experience. Utafiti wangu uko based on observation sio practical. Kwa jinsi ambavyo nimepitia website zetu na movies nyingi tofauti tofauti...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Jamani naombeni ushauri demu wangu alikuja jana Geto ,kimsingi mimi ni mkristo na Yeye ni mwislamu, Mimi natabia ya kununua kilo ya nguruwe na kuitengeneza mwenyewe nyumban kutokana sipendi...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Naomba kuelimishwa jamani, hivi kwa sheria za Tanzania mwanamke anaweza kumbaka mwanaume? Soma pia: 1) Binadamu wa kwanza duniani KUBAKWA ni Mwanaume, na wakwanza KUBAKA ni mwanamke! 2) Hivi...
0 Reactions
459 Replies
67K Views
UTAJUAJE KUWA MWANAMKE ANAKUPENDA KWELI Ni muhimu sana kwako mwanaume kujua kwa uhakika kuwa mwanamke anakupena kweli kweli, utajuaje kuwa mwanamke anakupenda? Zifuatazo ni ishara ambazo wewe...
1 Reactions
9 Replies
23K Views
Back
Top Bottom