Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Sitosahau mapenzi yalivyonilaza polisi. Hivi ushawahi kupiga, kupigwa au hata kulazwa polisi kisa mapenzi? Leo naomba tutoe uzoefu wetu katika kuyatafuta mapenzi umepitia mikasa gani ambayo kwako...
35 Reactions
306 Replies
36K Views
Ushawahi kutoka deti na mwanamke halafu ukafikia mahali katika chat yenu unaishiwa na maneno ya kuongea? Ama umeagana na mwanamke mtoke deti siku ya pili halafu umekuwa ukikesha siku nzima...
4 Reactions
83 Replies
25K Views
Bila kupoteza muda kama kichwa cha habari kinavyosema ulianzaje kujipanga na maisha kabla ya kuingia kwenye ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba. Hebu tupeane mawazo wenzetu mliioowa mlianzaje...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Hii kauli imenishutua, ni kauli kutoka kwa rafiki yangu ninayemfahamu kwa muda mrefu. Ndoa yao ina miaka 5 sasa na wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike, kwa haraka haraka unaweza kuiona ndoa...
23 Reactions
226 Replies
25K Views
Tumezaliwa watoto watano kwa mama na watoto 9 kwa baba.Mimi ni mtoto wa tatu kwa mama na ni mtoto wa tano kwa baba. Mimi nina bahati kubwa kwamba nimefanikiwa mapema kwa upande wa elimu na upande...
23 Reactions
112 Replies
10K Views
Hivi juzi kati nikiwa nimechill geto mida ya jioni nilimuona Shem wangu (Kwa bahat mbaya) akiwa kwenye harakati za kutoka kuoga..(kanga ilidondoka) . Ila yy hajaniona... Oooh nikafanikiwa kuona...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari. Moja kwa Moja kwenye mada. Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni? Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara...
12 Reactions
109 Replies
8K Views
Hii hali ipo kwa kila dereva? Nina tatizo la kutofika kabisa mwisho wa safari hata nikibadilisha rubber maana mimi ni mpenzi wa kutumia raba naogopa mpigiri. Juzi moja nilipata gari moja hivi...
10 Reactions
71 Replies
5K Views
Naleta huu uzi kwa niaba ya wanaume wenzangu. Kiukwel tunapenda sana kurudi nyumbani ila tukirudi mapema kelele ni nyingi kuliko kuachwa upumzishe akili. Kama wewe ni mwanamke punguza kelele...
17 Reactions
170 Replies
16K Views
Ni kitu gani huwa kinakukata stimu wakati wa sex(kunyanduana)? Kwangu mimi manzi akiwa ananuka mdomo, ananuka mkojo, au papuchi inatema!aisee hapo vaibu yoote inakata hamu yote kwishney! Vipi...
5 Reactions
124 Replies
15K Views
Habari wataalamu, na tumaini ni wazima wa afya. Leo nimeona kituko na nilikuwa sijajua Kama wadada au watu ni waoga wakujua afya za au kupima HIV. Kimsingi kujuana afya wapenzi inapendeza Sana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Salamu kwa wakubwa zangu na wadogo, Ipo hivi katika maisha haya kuna changamoto familia zinapitia kiasi kwamba unakuta waliooana wanatengana na kwenda kuoa/kuolewa kwingine. Tuseme mama ameolewa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Aisee ni balaa namba tatu zote nilizoomba nimepiga hesabu nikisema niwape hela walizoniomba ni kama Laki Moja inapukutikaa chap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hakuna cha mke wa...
73 Reactions
192 Replies
22K Views
Sababu za Mahusiano/Ndoa kuvunjika: Kumekuako na maswali mengi sana kuhusu Mahusiano/Ndoa kuvunjika. Swala hili wakati mwingine ni tatizo kubwa katika jamii kwani tumekua tukishuhudia ndoa nyingi...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari kaka na ndugu zangu, Nimekuja na swali kwenu wanajukwaa nataka kujua kuhusu pete ya uchumba. Sasa nimeingia kwenye penzi la kweli na tunahitaji kuvishana pete ya uchumba. Binafsi mimi ni...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Ni ile hali ya kuwa na mpenzi ama mke ambaye ni Zero brain kiasi ambacho hana mchango wowote wa mawazo katika mahusiano! Utakuta unamwambia Dear nimepanga kufanya hivi na vile wewe unaonaje...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kisa cha kweli kilichompata rafiki yangu. SEHEMU YA KWANZA Umasikini ulikua chanzo cha mimi kugundua mapema kabisa tofauti iliyokuepo kati ya baba na mama yangu, Nililala na baba na mama yangu...
6 Reactions
50 Replies
24K Views
Kama uzi ulioko hapo juu , mode ninependa wanajamvi pia wanijulishe taratibu za kumchumbia na kumuoa msambaa wa muheza Tanga. Ahsanteni.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari za adhuhuri wapendwa! Leo nidamka mapema kwa shughuli zangu za hapa na pale, nikaingia kwenye gari siunajua tena purukushani za hapa na pale nikapata siti eeee bana we! Siti mbili mbele...
3 Reactions
90 Replies
11K Views
Habarini. Kuna jambo limenitokea, linanipa maswali na mshangao kiasi. Ninakaa jirani na shule, jirani sana tu. Ni mtu mzima mimi, 35 yrs. Kwa sasa shule nyingi zipo ktk makambi kwa vidato vya 2...
6 Reactions
146 Replies
12K Views
Back
Top Bottom