Asalamu alaykum wanajukwaa pendwa la MMU natumai wote mubuheri wa afya.
Awali ya yote niwape hongera za dhati Waislam kwa utaratibu mzuri kuanzia kwenye posa yaani kuchumbia, ndoa na sherehe ya...
Leo natoka zangu taifa kucheg game ya simba na kaiza chifs, nkapanda gari la gongo la mboto nkadrop pale banana. Lengo nipande bajaji ya mbezi nifike fasta.
Ikaja bajaji ina abiria mmoja... pisi...
Habari wana Jamii Forum, na poleni na majukumu.
Ilikuwa jioni fulani hivi baada ya mihangaiko ya siku nzima mida kama ya saa 12 jioni. Niliamua kuchukua pikipiki ya rafiki yangu japo nipige pige...
Jamani, hii ni kengele ya tahadhari kwa wapenzi mlio katika mahusiano zaidi ya miaka 2 mkiwa wachumba, kibongobongo uchumba sugu umeshaliza watu wengi.
Acha kujifariji unapedwa mara ohoo...
Mwanaume kwenye ndoa ama mahusiano serious anawajibika kumfanyia mwanamke mambo mengi, mwanamke jiulize kitu gani uta offer in return tofauti na papuchi?
Mwanaume anapaswa kufanya mengi yakiyomo...
Hii ni habari iliyonukuliwa toka katika kinywa twahara, ikielezea kikao kilicho kaliwa na wanawake 11, wanawake ambao walijumuika kwa ajili ya kuwaelezea waume zao kinaga ubaga, yaani nje ndani,na...
Habari zenu waungwana!
Uzi huu nauandika kwa lengo safi kabisa la kujifunza, sina nia ya kumkebehi yeyote wala kumuudhi yeyote. Pia nimeonelea niandike uzi huu ili niweze kutoa elimu kwa kundi...
Nakumbuka miaka 6 nyuma kuna binti niliwahi kumpenda sana sasa katika mahusiano tulifikia kile kipindi kile mahusiano yapo too toxic kila nikijitahidi kuliokoa penzi kuliokoa tusiachane lakini...
Habari wana jamvi!
Kwangu mimi binafsi hili swala la kuweza kufunguka mahusiano ya kiundani ya madem zangu naowagonga kwa shangazi au mama mdogo ni ngumu sana.
Siku za hivi karibuni nilienda...
Wana JF, jana nikiwa pande za Beach na madada nikawasikia wanasema eti MAPENZI yanauma, sasa kila nikifikiria sipati jibu. Haya mapenzi yanauma vipi.
Kwakua nilishawai kuumwa jino basi haraka...
Habari wakuu
Kuna binti mmoja tulikua kwenye mahusiano kwa takribani mwaka na visehemu,bahati mbaya sana tukaachana tar1/3 mwaka huu na tukatakiana maisha mema fresh fresh.
Sasa cha ajabu...
KWA NINI NI RAHISI MWANAMKE KUGUNDULIKA ATOKAPO NJE YA NDOA?
Hakika mwanamke ni rahisi sana kugundulika endapo anatoka nje ya ndoa, kwa sababu Mwenyezi Mungu amemuumba mwanamke aishi na mwanamme...
Ni jana tu tulikuwa tunazungumza na Mtu akanieleza namna ambavyo Dada yake alivyopambana na maisha mpaka kufikia kujijenga kiuchumi, aliweza kujijengea vyumba vyake viwili vya kuishi na biashara...
Wajameni kati ya kitu ninachoogopa ni kubadili dini niwe muislamu. Na ndoa yao imefunguliwa. Ipo kirahisi sana. Unaolewa leo kwa gharama kubwa akimaliza haja zake anakupa talaka tatu.
Hapo...
Habari wakuu,
As usual, Nzi Chuma sidhuriwi na uvundo. Siku nyingi sana, nimewamis!. Naomba niwape kisa cha kweli cha kufungua huu mwaka 2021, maana tangu uanze sijaanzisha thread.
Miaka kadhaa...
Wakuu mimi ninavyofahamu ni kwamba ndoa ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke ya kuwa mume na mke.
Lakini makubaliano haya yawe yamedhibitishwa eidha na watumishi wa Mungu au viongozi wa kimila...
Hello wana MMU. Ujana bwana una mambo mengi mengine ya kitoto kabisa.
Umeshawahi kusikia kuhusu Skin Surgery au Plastic Surgery?
Wakati tunaingia ujanani wengine tulikuwa tunakebehi wadada wetu...
Habari wana JF,
Kumekuwa na tafsiri nyingi tofauti juu ya kupendwa, hebu kama wewe ni mwanaume au mwanadada tuelezane ni mambo gani yanaweza kukuhakikishia kwamba unapendwa kwa dhati na mwenza au...
Utamaduni wa wenzetu walioendelea huwa mtu akitoka out na mpenziwe mwanamke ndiye anaclear bill lakini kwa nchi zetu za kibongo ukimtoa mwanamke out atafanya kukukomoa aagize vitu vya gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.