Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari kaka zangu na dada zangu katika jukwaa hili, Nahtaji ushauri, nimekuwa na mpenzi wangu ambaye mara nyingi anakuwa muongo sana hataki kuweka mambo yake wazi, japo sio sana. Sasa hili ndio...
7 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari wana bodi, Niende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, ni miezi takribani 3 tangu aliyekuwa mpenzi wangu (x-girlfriend) aliponiacha kwa kunitamka kuwa "kuanzia leo mimi na wewe basi"...
9 Reactions
90 Replies
8K Views
Binafsi ntazingatia yafuatayo: Je, nimelipa mahali kwao? Je, mimi ninachepuka? Je, mahali ni kiasi gani nilizotoa Je, tumezaa watoto? Je, tuna mali kiasi gani? Je, huyo bwana namfahamu? NB...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Mshikaji alikuwa na mwanamke kwa muda kama mwaka hivi. Mwanamke anaenda analala na kusepa asubuh kwa mama yake Yule dada wengi walikuwa wanajua tabia zake za kurukaruka. Wengi walikuwa wanasema...
7 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wadau, Moja kati ya mada muhimu za kuweka mezani siku hizi ni kuhusu uhusiano kati ya watoto na Baba. Imekuwa kawaida kwa mama kupewa kipaumbele kuanzia ngazi ya familia mpaka jamii. Kuna...
7 Reactions
119 Replies
11K Views
Unakutana na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa maisha (Mke). Sasa kidogo anaanza kukuambia...
10 Reactions
154 Replies
14K Views
Wana JF, Kama kuna kitu ulichowahi kufanyiwa utotoni kikakuathiri hadi leo unaweza kisema hapa ili kukuza uelewa kwa jamii, wazazi na wazazi watarajiwa. Naanza na mimi: Nilipokuwa shule ya...
42 Reactions
753 Replies
70K Views
Hello guys, Hapo zamani kabla sijaijua dunia vizuri, nlikuwa napenda sana kukaa kwa ndugu kipindi cha likizo (shule zikifungwa) au kwenye familia ya marafiki zangu..nlikuwa nkijihis comfortable...
25 Reactions
241 Replies
33K Views
1. Kwanza niwe mpole na mvumilivu na kukubaliana na hali halisi kuwa nimeachwa. 2. Pili nivute subra kwa muda flani kwanza upite na akili yangu ikae sawa 3. Sijui nafanyaje
6 Reactions
82 Replies
9K Views
Uzi wa namna hii, nauandika leo kwa mara ya pili... Nikweli unamtunza, unamlisha, unamvisha n.k, lkn kumbuka, Nayeye anaouwezo wa kujifanyia hayo . Usimchukulie Poa, Usimdharau akajua...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari. Mimi na mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano kama boyfriend na girlfriend (sio uchumba). Nikiri kwamba tumekuwa na kutokuelewana kama ilivyo kawaida ya...
8 Reactions
165 Replies
12K Views
Wanaume nyie ndio wa kutoa huduma zote kwetu na familia na mnaujua uzito wa mzigo mnaoubeba sawasawa. Hebu tusaidieni uzoefu na mawazo tusijeyaharibu mambo huku Wanawake kupendana buana
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za humu wana MMU, Mimi ni memba mzoefu humu hivyo nimeamua kuja na id mpya ili niweze kueleza hili jambo kwa uwazi zaidi. Kwanza natambua kuna watu watakuja na kejeli,dharau na kutaka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habar za J2 wana MMU. Niende moja kwa moja kwenye mada ambayo kiukweli iliniacha kwenye situation....niseme tu nliangukia kweny upendo kwa binti mmoja ambaye tulikutana mwaka 2019, kipindi hicho...
7 Reactions
81 Replies
6K Views
Mambo vipi ndugu zangu? Ama baada ya salamu, ngoja sasa nielekee katika mada husika. Kwanza kabla ya yote ningependa ieleweke kuwa mimi ni mume wa mtu, lakini kwa sasa mke wangu kasafiri...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Mara nyingi nimeshuhudia mabifu kati ya mwali na mama mkwe na mawifi, ukiangalia hakuna sababu za msingi za mabifu haya. Yamenikuta ndo mana nasema hivyo.Ukiangalia nampenda wife na mama nampenda...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Katika kipindi cha leo "Mahusiano katika familia" kinachorushwa na Radio One, kulikuwa na hiyo mada. Katika maongezi na majadiliano yaliyojiri imebainika kuwa wote wawili (me/ke) ni waathirika wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaam Wapenzi wangu, Kuna wadudu wadogo wanachimba shimo sehemu penye mchanga, inadaiwa ukimchukua ukamung'atisha kwenye chuchu la titi, inarutubisha na kufanya ziwa liwe kubwa la kupendeza...
2 Reactions
63 Replies
9K Views
Habari za jumapili. Katika kuzunguka zangu mtandaoni nikakutana na hii comment ya mdada tena mke wa mtu kwa mujibu wa maelezo yake nanukuu. "kandake_beauty_tz Nina ndoa ya miaka 12 sijawahi...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Kwema? Ni hivi, nipo ndani ya uhusiano kwa miaka mitatu sasa. Tangu nianze uhusiano mwenza wangu amekuwa huru na muwazi sana kwangu. Uwazi naouzungumzia ni kwamba, kila aliyekuwa akimtongoza...
6 Reactions
54 Replies
6K Views
Back
Top Bottom