Kumekuwepo na maswali Mengi katika jamii ambayo umri wako ukiwa umeenda huwa hayakwepi kama vile
siku hizi uko wapi?
Bado unaishi palepale kwenu au unajitegemea?
Kama umesoma utaulizwa...
Hello ladies and gentlemen, hope all is well with you.
Folks, without wasting time, would like to share my confession & experience regarding big butts during copulation.
Honestly, big buttocks...
Habari ya mda huu
Naomba wanaume tusiwe na tamaa, ni hivi
Huyu mwanamke (25yrs) tumejuana miezi minne,
Ijumaa ameomba aje home, nikasema siyo mbaya njoo, kwa kuwa siku hiyo mi nilikuwa naingia...
Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.
Nikiri katika mahusiano yote...
Habari za mida wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio...
Wakuu katika mahusiano kuna wakati kama mwanaume inabidi ujitafakari katika mahusiano ujue kama unapedwa kweli au unatumikaa ktk hayo mahusiano
Sometime unaweza ukawa unajiuliza hivi hapa...
1. Travel together.
2. Make sure you have seen each other at worst and are okay with it.
3. Figure out what you both consider as cheating.
4. Understands each other values especially about...
Habari ya jumamosi wananzengo wenzangu
Naandika thread hii mbele yenu mnipe ushauri nini nikifanye au tiba gani
Kwanza nikiri tu kwamba wiki chache kadhaa hali Yangu kiakili imebadilika nimekua...
Nipo na mpenzi Wangu ambaye ninaamini ndie nampenda kuliko wanawake wote na ninamatarajio ya kufunga naye ndoa. Mara kwa mara huwa anakuja kulala kwangu hata Siku 2 na kurudi kwao.
Juzi...
Najua ni ngumu baadhi ya vijana kunielewa ila ninachotaka kusema ukiwa kama kijana una girlfriend wako ambaye amekuzidi kielimuu, amekuzi kipato au ana uwezo mkubwa wa kifedha
Kitu...
Nimebahatika kupata binti mrembo wa Kiarabu kiukweli ananipa mapenzi moto moto/miuno ya kufa mtu lakini sasa kila wiki anadai anaenda kwa Mganga wa kienyeji ili watusomee dua ya kutufanya mambo...
Habari zenu wana MMU,
Binafsi kuna kitu kinanisumbua akilini mwangu, nimepanga nyumba moja chumba na sebule, nyumba hiyo ina wapangaji wanne kabila la kihaya... Wote tuna wake na familia ila...
Kwa wanawake sijui siwezi kuwasemea maana wao wako free kupata Mwanaume Muda wowote km ni genye wakazitoa yaani kiufupi wao ndo ma controler wa mahusiano...ila kwa wanaume naweza kujisemea sisi...
Nashukuru mliotoa ushauri niliona bora nifate ushauri wa jamaa mmoja anaitwa @kuruzi kwenye reply no 60.
Basi leo usiku nimejifanyisha naota nikiwa naongea mara ya 1 akapuuza mara ya pili nikaota...
Inasikitisha kuona kuna raia bado wanateseka na hili swala la mapenzi bila kujua ni vyema ukapenda pale ambapo unathaminiwa.
Mtu kama hakuoneshi ushirikiano ni aheri umuache tu ila cha ajabu mtu...
Wanaume wa sasa mna matatizo gani haswa maana sielewi tatizo lenu ni kwamba hamtaki mabadiliko au akili zimeelemea kwenye mfumo dume au ni nini hasa?Hamna lilo la kheri kwenu,wanaume hamuishi...
Habarini ndugu zangu.
Leo usiku huu nimeona nije na hii mada ambayo imenikulupusha kwenye usingizi..je, Ni kweli Kuna baadhi ya wanawake wana mikosi na wengine wana baraka?..kwa mfano nna jamaa...
A salaam aleyqum wakuu.
Hongereni sana na michakariko ya kutwa.
Naomba radhi kwa nitakaowakwaza japo sina nia ovu moyoni bali katika hali ya kushea na kujengana na kushikana mikono ili kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.