Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Heshima Kwenu Wana JF, Wanawake wengi flat screen na vimbau mbau unaweza kua umewapenda the way walivyo lakini tatizo lao kubwa wakiwa faragha hawana confidence ya kujiachia kama wenye maumbo...
15 Reactions
91 Replies
11K Views
Miaka ya nyuma kidogo kuna rafiki yangu aliwahi kufanya ngono na dada mmoja ofisini wakiwa peke yao overtime. Jamaa alinisimulia kila kitu sababu alikuwa ni mshikaji wangu sana. Miezi michache...
3 Reactions
95 Replies
14K Views
Hivi wewe kama mume/mke je umempendea nini mpenzi wako au kitugani kilicho kuvutia kutoka kwake? Tiririka hapa!
3 Reactions
47 Replies
9K Views
Ni kawaida katika zama hizi kuona kijana amejitegemea na kuwa na ghetto lake. Hali hii imedumu hata kufikia mahali wazazi kuwataka vijana wao hasa wa kiume kuondoka majumbani na kujitegemea. Jamii...
6 Reactions
47 Replies
8K Views
Wakuu! Tumbo liko moto wakuu nafikiria kupima HIV tena kwa mara nyingine tena daaah yaani haya mambo siyo poa kabisa. Daaah hii ni baada ya sababu fulani fulani toka kwa shemeji yenu. Damu...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanaume wanaowapa Mimba then wanakimbia huu ni Ushamba. Huku mtaani mnatusababishia Matatizo, mpaka aibu Wanawake wanavyokula msoto. Iwe msoto ,changamoto Rijali akatai Mtoto. Everyone should...
9 Reactions
46 Replies
5K Views
Roho inaniuma jamani leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha. Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza...
22 Reactions
116 Replies
13K Views
Mtoto huwa anaishi kwenye maji ndani ya placental. Hujigeuza na huzoea mazingira yake. Anapozaliwa humchukua muda mfupi kuzoea hali ya duniani, kipindi hiki mtoto analia sana hasa akihisi baridi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari JF; Leo nataka niongee na vijana wenzangu wa jinsia zote, kuhusu video za porn maarufu kama XXX. Vijana wengi wanatumia video za X kama njia ya kujifunza jinsi kufanya mapenzi na staili...
6 Reactions
27 Replies
8K Views
Kipindi nina mgogoro na mpenzi wangu niliomba ushauri humu JF kutokana na tabia za mpenzi wangu wengi walinishauri nijaribu kukaa naye chini na kuzungumza nae kiupole hatimaye nimefanikiwa na...
23 Reactions
140 Replies
15K Views
Mwaka 2010 nlipata msichana ambaye alikuwa akisoma udsm. Huyu dada wazazi wake walikuwa mkoani. Mwaka 2011 akamaliza. Hapa Dar hakuwa karibu sana na ndugu zake.alipomaliza chuo mwaka huo akawa...
8 Reactions
48 Replies
6K Views
  • Closed
Pamoja na haki za kulinda ustawi wa mtoto, kwa mujibu wa sheria ya mtoto ya 2009 mtoto atakuwa na wajibu na jukumu la; (a) Kufanya kazi kwa ajili ya mshikamano wa familia. (b) Kuwaheshimu...
3 Reactions
8 Replies
9K Views
Poleni kwa msiba, Rest in Power Mwamba! Maisha lazima yaendelee. Basi bwana, kwa mujibu wa tofauti za kiasili kati ya ME na KE [hii nafikiri ni tangu uumbaji, Mungu mwenyewe na hata waandishi wa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Hata kuku na mbwa wanagongeana sana kikubwa upate mwanamke ambaye ni mjanja asikuletee maradhi kama vile gonorea.. inauma lakini hakuna namna tusaidiane tu kwa kweli ila hakuna mwanamke wa kwako...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari wapendwa na poleni kwa majukumu. Kuna jambo la kawaida kwenye maisha yetu ya kila siku nimeona si vibaya kusaidiwa kudadavua au kulijadili kwa pamoja bila upendeleo! Kwenye maisha ya...
0 Reactions
3 Replies
847 Views
Nimegundua ya kwamba 95% ya Wanawake wenye Umri kati ya miaka 35 mpaka miaka 49 ndiyo Wanateseka zaidi na Mahusiano waliyonayo sasa na wengi Wao huko nyuma waliwapata Wapenzi ( Marafiki ) wa dhati...
11 Reactions
107 Replies
8K Views
Dunia inaenda kasi na maisha yanaenda kasi. Zamani upendo ulikuwa una thamani zaidi hata gharama iliyotumika ilikuwa ni ya thamani zaidi. Mahusiano yalighubikwa na maneno mazuri yenye kuvutia...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa...
4 Reactions
90 Replies
9K Views
Habari ya mchana wana JF. Siwezi kusema sijawah kukamatwa kuwa na cheat, nimekamatwa mara kadhaa lakini sijawahi kukubali kuwa nakataa sijacheat. Mbinu yangu ni kukataa katu katu. Njoo tupeane...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa nini MWANAMKE aliye kwisha zaa anapewa nafasi ndogo sana ya kuolewa kuliko mwanaume mwenye mtoto? Kabla hujamnyoshea kidole Mama mwenye mtoto ila hana mume kwanza jiulize mazingira ya yeye...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom