Habari wakuu, natambua ya kuwa suala la mawasiliano kupitia simu za mkononi ni muhimu na la kawaida.
Tumekuwa tukipokea simu za ndugu, jamaa na marafiki ili kupeana taarifa mbalimbali, lakini...
Kama mwanamke si mke wako na huna mpango wa kumwoa usipoteze pesa zako, ikiwezekana mukubaliane kabisa as mnafanya business, na si akuletee shiida zake kana kwamba bila wewe angekufa.
Mapenzi ya...
Habarini wanajamii wenzangu.
Leo ninashare direct na ninyi hili, miaka kadhaa iliyopita katika harakati zangu za kazi nilikutana na binti mmoja ambaye ninakiri nilimpenda na nikamlea...
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.
Haiwezekani...
Wakuu habari za Weekend.
Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini...
Sasa mbele ya kioo nilionekana very smart... Suruali yangu Pana Aina ya Kodak Bwanga ilinikaa vizuri kabisa, leo niliivalia kifuani, yaani mkanda umepita chini ya kwapa kiasi kwamba koromeo na...
Wakuu watu wanazaliwa na kukua...
Katika makuzi sometime unajikuta balehe inakupeleka kutaka kunyanduana, hivyo harakati za kutafuta wasichana zinaanza, hata ukubwani pia sasa hivi bila shaka...
Kweli nimekusahau mie sijuickuomba,msamaha niliomba.
Sijui kulia nilia,sijui kusema i love u nilisema nilifanya,kila kitu ili urudi ila umegoma.
Sasa majuzi kati kweli nimekusahau nimefurahi...
Wasichana wa siku hizi hawana future yeyote kwenye Maisha zaidi ya Kuwaza good life kupitia kudanga Dahhh inasikitisha Ongezeko la wasichana kudanga limeshamiri kwa kasi sana
Wameona kudanga ndio...
Nauliza hivo kwasababu watu huwa wanawatumia watakavyo, yaani kama mdoli?
Na wao huwa hawaoneshi kama wanapata msisimko au hisia zaidi ya kutaka umalize achukue pesa yake.
Nguvu kuu 7 alizonazo mwanamke
1. Uwezo wa kuona na kugundua ya mbeleni (ana uweza wa kuona kisichosemwa au kitakachokuja). Anatumia mlango wa sita wa fahamu unaoitwa EPS
2. Ana...
Natumaini mko shwari
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.. kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE.
Leo sitaki kuongelea katiba wala mambo ya siasa. Hapa leo ni mambo ya mapenzi tu. Nataka nitoe...
Dunia imejawa na wanawake wazuri siku izi wanajiita pisi kali,
bwana weeee mimi nimepoteza uwezo wakutongoza japo izo pisi kali zipo nyingi kama Mchele wa kyela mwezi wa 6 si unajua lazima ushuke...
Salaam.
Happy saba saba day, Twende kwenye topic, Nimekuwa nikikutana na clips nyingi kwenye youtube channels za ma MC's wa shughuli za harusi na kushudia vile watu wanakiwa wanasherehekea...
Picha inaanziaga hapa unakuta ndani ya Mahusiano hayo Mwanamke mmoja kutembea na Wanaume wengii ndani ya Huohuo mtandaojamii.
Au mwanaume mmoja kutembea na wanawake weeengi humohumo ndani ...
Nina miaka 20, lakini sijawahi kuwa kwenye mahusiano na msichana yeyote. Siko romantic kabisa.
Sina aibu lakini najikuta nashindwa kutabasamu mara kwa mara na msichana jambo linalopelekea wengi...
Mabinti zake Lutu baada ya angamizo la Sodoma lililoondoka na mama yao mzazi.... Pamoja na nia yao ya kuendeleza KIZAZI lakini pia hamu(ashiki[emoji23]!) Viliwatuma wapange ku do na baba yao mzazi...
Habari wakuu?
Sijui nina tatizo gani aisee,yaani nina tabia ya kukinai kila mwanamke ninaekuwa nae katika mahusiano bila sababu yeyote.
Mfano kuna binti mrembo tu nilitumia nguvu zangu nyingi...
Ni story ya miaka takribani 14 iliyopita, leo tukiwa kwenye sherehe za kipaimara cha mwanae Anne ndio akanikumbusha Ilikuwa hivi....
Baada ya ndoa huko kijijini mkoa mwingine jamaa alirudi Dar na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.