Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Salaam. My first thread kipande hiki cha mahusiano which is my favourate in this platfom. Twende kwenye topic, tupeane experience kwa wanandoa wanaoishi mikoa tofauti kutokana na sababu za kikazi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hata takwimu zinajionyesha wengi wao wanaojiua kisa mapenzi ni sisi wanaume!.. kujitia vitanzi, kujipiga risasi kisa wivu wa mapenzi kwetu sisi imekuwa ni jambo linalotakiwa kuangaliwa katika...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwanza nitie msisitizo nguvu bado ninazo na moto napeleka fresh tu. Nina miaka 32, Nmeajiriwa serikalini, Mshahara 2.x take home, ni mfanyabiashara pia, nina mke na watoto wawili wa kiume, Hivi...
11 Reactions
90 Replies
11K Views
Wakuu mpaka nacheka yaani, nilipata ka mchepuko siku sio nyingi sasa katika harakati za kunipa tunda tukakubaliana leo. Sasa bwana tukaenda zetu lodge maajabu mashine imegoma kabisa kusimama...
13 Reactions
70 Replies
7K Views
Habari za jumapili, Basi bana sina hili wala lile, leo sikuwa na mpango wa kuamka mapema kwa sababu kadha wa kadha. Ghafla nakatishwa usingizi na simu asubuhi asubuhi aaagghhh kuangalia namba...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Inshort mabinti wa KGR region ni malaya i hate you all..[emoji51][emoji34][emoji34]yani woootee hakuna kubisha ni wana tamaa,malaya na hawathaminiki ht kwa punje...mtanisema nimeumizwa sitokataa...
31 Reactions
312 Replies
39K Views
Habarini wakuu, Leo nimekuja na tatizo jingine naona ni kubwa sana na linaweza kuniharibia mahusiano yangu. Nina mahusiano na binti mmoja ninampenda sana. Nina mpango wa kumuoa ila tatizo ni...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Turogeni tupate hela ndo mtudange sio unaenda kuroga tu niwe wako then hako kasalio kadogo nilikonako unataka ukafyonze kaishe then nichalale Sasa niroge niwe wako kisha niroge tena kipato changu...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
Sasa hivi ni miaka mitatu imepita tangu nimuache kiutani utani mwanamke alienipenda kwa dhati. Naomi mwanamke ambae aliweka malengo ya milenia kwangu ni vile mimi nikajivimbisha kichwa na kujiona...
9 Reactions
116 Replies
13K Views
Hasa wadada, nini kimewakumba au ndo hizi kauli zenu za kudanga na pisi kali zimewafakaranisha na maisha. Unakuta mdada anapewa ahadi ya kuolewa lakini hataki kumkubali my brother, ni Bora uoe au...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naleta huu Uzi si kwamba kutaka nionekane vipi ila nataka tujifunze kitu! Ilikuwa mwaka 2017 nilikutana dada mmoja jina nalihifadhi nilianzisha uhusiano naye kwa kipindi cha miezi kadhaa na...
7 Reactions
54 Replies
6K Views
Imepita takribani wiki, nilkutana na msichana mrembo anasajili laini, style ya kuingilia nikasajili laini, nikaomba no. aliniona smart sana maana nilimpgsha story za madini. Ni msichana mrembo...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Kumpenda mtoto wako ni sawa hili halina shida na ndivyo inavyotakiwa lakini kumpenda mtoto mpaka ushindwe kumuonya au kumrebebisha tabia flani hili si sawa yaani mtoto unampenda kiasi mpaka...
4 Reactions
9 Replies
865 Views
Kwa wale wanaume watafutaji ambao washapitapita Singida mjini, Ikungi, Iramba, hadi Mkalama najua watanielewa. Wana rangi fulani hivi nyeupe kama ya pera bivu, miguu ya tango, wabishi,easy to go...
5 Reactions
272 Replies
48K Views
Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa wawigi na makeup vinachangia. Unamchumbia binti hujawahi kumuona akiwa bila wigi wala makeup. Kifupi humjui kimwonekano wake halisi. Sasa anapokuwa bila...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama uliwahisikia yale maandiko yanayosema "Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti." Hii nayo ni maana yake sasa👇 Yaani mwanaume...
7 Reactions
63 Replies
4K Views
Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa...
6 Reactions
97 Replies
8K Views
Habari za usikuu huu JF, Kuna binti wa humu JF alinifuata kwenye inbox yangu na kusema naye anashida na mtoto, yeye yuko DSM, mimi niko mikoani. Tukaanza mawasiliano yeye ni mwanachuo, basi...
8 Reactions
91 Replies
9K Views
Nawasalimu kwa Jina la Jumhuri wakuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Tendo la ndoa ,ili lifanyike vizuri na Kila mmoja aweze kufika kilele Cha Raha ni jukumu la Kila mmoja kuwa na utayari wa...
7 Reactions
50 Replies
5K Views
Salaam wana jukwaa! Miaka ya nyuma nikiwa shule nilikuwa na mpenzi (ambae tulianza mahusiano tukiwa kidato cha 3), huyu mpenzi alinipenda kwa kuwa nilikuwa napata mia kwenye hisabati na fizikia...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Back
Top Bottom