MAMBO YA KUZINGATI WAKATI UNAMNUNULIA MSICHANA ZAWADI
1. Vyema ufahamu aina gani ya zawadi msichana hupendelea. Yaani inafaa ujue interest za msichana wako.
2. Zawadi utakayompatia isiwe chakula...
Huyu binti simuelewi, baada ya kunikasirikia juzi nilipogoma kwenda kulala kwake, Jana kaja night kwangu, baada ya mchakato mzito akaniapia kwamba, 'kwa vyovyote vile, iwe mvua, jua, kwa Ndumba...
Habari zenu wana jukwaa, natumai hamjambo nyote na munaendelea kupambana na majukumu. Mimi kwa upande wangu pia namshukuru Mungu kwa kuniwezesha pumzi bila gharama yoyote. Mungu ni mwema wakati...
Kumekuwa na wimbi kubwa la kikundi cha wahuni wanaopotosha wanawake kwamba kila mwanaume ni lazima awe na wanawake wengi hata kama ameshaowa!
Naomba kundi hilo lipuuzwe maana tupo wanaume wenye...
Wazazi wetu wamekuwa wakijitahidi sana kuwajibika kutulea na kutujengea msingi walikuwa wakidhani utatusaidia lakini kosa kubwa sio malezi ila ni mkabala waliotumia.
Mkabala unaoweka umbali...
Salaam wanajukwaa la Great Thinkers!
Nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa maisha ya mahusiano ya wanawake wengi toka nikiwa mtaani, chuoni na hata makazini. Katika vitu nimegundua nikianzia na...
Tumeanza kudate miezi mitatu imepta!! Mwanzo ilikua kawaida tunatafutana kwa siku mara moja jion au mara mbili kwa siku
Sasa bana kuanzia mwez 6 tabu ndipo ilipoanza
Akipga simu hataki kumaliza...
Nimewasikia wengi wakilitumia neno ndoa halali. Wakisema ni mume wangu halili, wengine wakisema mke wangu halali. Wengine wakisema kuwa wamefunga ndoa halali n.k.
Je, mume anaporudi nyumbani...
Ni mwanamke ambaye nimeishi nae zaidi ya miaka miwili lakini tulikuja kuachana kwa fujo sana kutokana na tabia alizo zianzisha na kusababisha kushuka sana kwa utendaji wangu wa kazi sababu...
Unakuta mnafanya kazi wewe Mwanaume unalipwa 20000 kwa siku ila unayumba balaa mikopo unayo na bado hazitoshi kabisa hata boxer tu au sendo kununua inakuwa kipengele lakini unakuta mdada analipwa...
Hello friends. Leo katika story na sista wangu, nikagundua kuna shida ya mahusiano yabkirafiki inayopata wengi. Akanieleza jinsi ambavyo amekuwa hana bahati ya marafiki wa kweli, kqamba kila...
It's in their DNA to want a man who can push through risk to achieve for both himself and those close to him. The quality of women you attract will be proportional to the risks you have taken, and...
Habari zenu ndugu zangu.
Nakuja kwenu na Id mpya ili niweze kuwa muwazi kwenu nipate msaada. Naona karma inaninyemelea na sielewi nifanye nini ndugu zangu.
Mimi ni kijana wa miaka 31. Sijaoa...
Kuna binti wa kisukuma nina mpango wa kumuoa na home kwao tiyari natambulika. Nipeni maujuzi ya kujianda na ndoa na maisha ya ndoa maana soon nataka nianze process za ndoa.
Kuhusu dini yeye...
Wakuu hii kitu ni hali ya kawaida au nafeli mahali nguvu za kiume ninazo nina uhakika tatizo ni kwamba sijawahi kuletewa hata stori kwamba nimempa mimba nimpe hela akatoe.
Puli napiga kidogo tu...
Habari wana MMU?
Nilikuwa na rafiki yangu tulisoma pamoja chuo, wakati tupo chuo kiukweli hali yake ya maisha hata kipindi tupo chuo ilikuwa ni ngumu sana na mimi ilikuwa niyakawaida tu japo wote...
Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu...
Kwema wakubwa?
Wife alisafiri kama week hivi imepita..home akaniacha mimi na dada wa kazi. Sasa me toka juzi nilikuwa silali home, nilikuwa nalala kwa mchepuko wangu flani hivi hapa mtaani...
Kwa niliyo yaona mtaa niliotoka.
1. Huyu mmama wa kwanza mwanae ni mshikaji wangu nilisoma nae mafundisho, mama ni mjane, mwana alimfuma mama yake anagongwa home na kijana mdogo. Jamaa alimpiga...
"Mke wangu ni mke wangu, mapito yake ni mapito yake, yameshakuwa historia. Ikiwa umewahi kulala naye au unajua watu ambao wamelala nae hiyo ni juu yako, walifanya kwa muda wao kila mmoja akaondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.