Habar wapendwa.
Mimi nilikuwa na mwanaume ambae nilizaa nae mtoto mmoja ilifika muda tukazinguana nikamwambia naomba tuachane tulee mtoto katika swala zima la amani na si mapenzi tena alikubali...
Habari wakuu,
Napenda kuwashirikisha wana JF wote waliopitia maisha ya vyuoni na ambao bado wapo vyuoni, hivi uhusiano wa mapenzi kwa wanafunzi ni utaratibu wa vyuoni au vipi? Maana nimezoea...
Women, in contrast to guys, do not want to enjoy a reloading phase" while they arrive for the primary time. Wome may also get her 2d orgasm in much less than a minute. Make her an experience like...
Umofia kwenu, Ndoa ya bro ina migogoro mwaka kumi huu wanaachana kama mwezi wanarudiana tena na shem ila bro kicheche na tungi hatari
Jambo la ajabu kwa mkubwa wangu huyu ni kua kwa sababu ya...
Wakuu,
Kama uzi unavyojieleza hapo juu, napenda kufahamu ni kiwango gani cha manii chahitajika ili kuweza kurutubisha yai la mwanamke ambaye yupo tarehe za kupata mimba?
Nina maana endapo...
Nilikuwa nataka aje ghetto ili anitunuku, wiki tatu zikakatika wakati huo wote alikuwa ananiambia vitu alivyonavyo mwilini kama shanga, akauliza pia kama ninapenda kiuno chenye shanga. Nikamwambia...
I want to be with U until the sun falls from the sky. Happy Valentine ' s Day
I kept my heart strong like Iron but , I didn ' t know that your heart is a magnet
What happens when you fall in...
Wakati wa balehe ni moja ya nyakati ngumu sana kwa kijana wa kiume.
Kwa upande wangu nilipata sana tabu na nilitaabika kweli kweli sababu nilikua na mihemko ya NGONO kwa kiwango Cha juu sana ...
Huyu dem napishana nae kila mara hapa mtaani kwetu na kwa kuwa mimi si mtu wa story sana na washikaji hapa kitaa yaani nikitoka nimetoka nikiingia nimeingia hivyo sijazoeleka sana na watu wengi...
Kuna uhusiano wowote kati ya mwanaume kuwa na viganja vikubwa na ukubwa wa uume wke? Yani mwanaume akiwa na viganja vikubwa vya mikono na uume wake unakuwa mkubwa? Hii ipo na ukweli ati?
Bila Shaka mu wazima, naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu tumeachana huu mwezi wa tano, lakini nashindwa kabisa kufuta namba yake.
Lengo la kutofuta namba yake ni ili niwe nafuatilia...
Member wote wa JF kwangu ni kama sehemu ya familia. Humu unaweza kupata ushauri mzuri sana ambao unaweza kubadirisha maisha yako ina a positive way.
Ndugu zangu kwa huo utangulizi naombeni...
Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameamua kuomba talaka kumkimbia mume wake ambaye anapenda sana kufanya mapenzi akimlazimisha kufanya mapenzi zaidi ya mara 10 kila siku...
Naweza kusema kweli huwa nina mapenzi ya kweli katika mahusiano, nasema hivi maana huwa nikimpenda mwanamke katika mahusiano basi huwa namaanisha ila shida huja pale ambapo nahisi nimepata...
Habari za weekend wana MMU.
mwenzenu Leo yamenikuta makubwa.
Nina rafiki yangu wa kiume ni just a normal friend,basi tangu jana akawa ananisisitiza sana tuonane kwa ajili ya business issues, na...
Asalaam aleykum...
Tumsifu yesu kristo...
Mwana kondoo ameshinda...
Ama baada ya salamu
Mimi ni kijana wa kitanzania umri miaka 24 ni Mwajiriwa wa Selikari (Mtumishi wa Umma).
Nimekuja kwenu...
Watu wa humu hasa wanaume mmjue kwamba mtu akitoa post au akikoment jamboo sio anawahitaji .
Sijui kwa wengine ila kwangu mimi HAPANA siitaji mtu wala nini.
Shida ya watu wa humu ni mtu tu yupo...
Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana?
Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.