Yaani....
Nimekosa raha, tabasamu langu limepotea...
Nilitoka na niliapa kutokulia, ila jana machozi ya kwikwi yalinitoka.
Ni sehemu ya kufatilia namna ya kupata huduma, unauliza natakiwa...
Video ya ngono iki leak mwanamke aliyomo kwenye hiyo video huwa haangaliwi vizr na jamii yake tofauti na mwanaume aliyehusika pia kwenye hiyo video.
Mwanamke atataniwa kwa aina ya matusi na utani...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye Miaka 30 sina MCHUMBA wala RELATION na MWANAMKE YEYOTE.
Ngoja Leo niwape visa vya mapenzi ambavyo vilivyonitokea na kunifanya KUSINYAZAA MOYO JUU ya HAYA MAPENZI...
Maisha haya yaache tu, mama yetu alifariki tukiwa wadogo tulizaliwa watatu, mimi na wadogo zangu wawili wa kike, baada mama kufariki baba alitulea mwenyew kiubishi japo kwa mzee pesa ya kula...
1. Kwanza hakikisha unacheza sana na mwanaye yaani mwanaye akupende.
2. Usipende kutoka nae viwanja hawapendi maana huwa wanawawaza watoto wao especially kama ana mtoto mdogo.
3. Vi-date vyenu...
Habari wana MMU.
Natumaini wikiendi zenu ziko poa kabisa.
Miaka takribani nane imeshapita kila nikijaribu kukumbuka tukio hili ambalo nila kuvutia na kujifunza. Nakumbuka ilikuwa mishale ya saa...
Habari wakuu,
Enzi za wazazi wetu ilikuwa ngumu sana kwa msichana kumwambia mwanaume nakupenda.
Ila siku hizi kwa msichana kumwambia mwanaume nakupenda imekuwa ni kawaida.
Na hii...
Kwanini kabla sijaanza mapenzi ilikuwa kila ninachofanya kinafanikiwa kwa viwango vya juu lakini tangu nilipoanza kuonja mbususu ya kwanza mambo yalianza kuniendea kama vile hayanijui?
Nauliza tu...
Mimi ni msichana mwenye miaka 17 nipo form three (kidato cha tatu) katika shule moja hapa mjini. Nimekuja huku leo ili kuomba ushauri mimi ninasoma shule ya day na ninaishi kwa dada yangu ambae...
Just for experience na majuto kama yapo.
Mimi sikudakwa ila niliponea chupchup,jamaa alichelewa kama sekunde 50 hivi. Ogopa sana mwanamke mwenye gari.
Huyu dada alikuwa mchepuko kwa takribani...
Natumai wote mko salama.
Ipo hivi mwaka jana nilikutana na mwanamke mmoja hivi nakumbuka ni october 2020, kama kawaida yetu wanaume nikajilipua nikachukua namba za simu kwa nia ya kuchakata...
Sijui nina moyo mdhaifu kila mwanamke Mzuri nikikutana naye najikuta nampenda na natamani kuwa naye, yaani kwa siku nikikutana na wanawake 10 basi nane nitakuwa nimewatamani.
Rafiki yangu mmoja anapiga mtungi kawaida ila pia ni hardworking sana na anajali tu familia yake fresh, shida yake sometimes akipiga mtungi na anaweza kupita na yoyote then kesho anaanza kujuta...
1. Mwanaume kuna aina fulani ya wanawake kwa namna yoyote ile uliyotakiwa uwaepuke. Wanawake wanaodhani uzuri wao ni zaidi kuliko tabia zao.
2. Mwanamke Tafuta mwanaume atakukuongoza na...
There are varieties of ladies in the world and these varieties of ladies get male admirers regardless of shape, beauty, and status. Plus-sized ladies are the group of ladies that have big body...
Habari wakuu,
Hii kitu sio utani kabisa, kama kichwa cha habari hapo juu kinavosema, kwa kijana ambaye kakulia DSM katika ujana wake kuoa ni kipengele kizito sana, kuna kaka yangu toka nasoma...
Nina rafiki yangu mmoja tumeshakuwa kama ndugu maana tulikutana a level mpaka chuo kikuu tuko wote na kitaa tupo wote. Sasa alioa mke wake sasa ni miaka 3 wako kwenye ndoa halali kabisa. Mkewe ni...
Hivi karibuni tumeshuhudia matukio ya wanawake kuchoma mali au hata wapenzi wao kwa wivu wa mapenzi au kuachwa na mpenzi.
Unafikiri ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na wivu wa mapenzi au kuachwa...
haya makabila wahehe na wabena wanalandana sana, hata lugha zao zinaendana. Wote wanatoka mkoa wa iringa (kabla haijagawanywa kuwa njombe na iringa) wanajamvi naomba mnaofahamu sifa za wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.