Wasalaam
Imekuwa kama fasheni sasa watoto wa kike hasa vyuoni kupiga picha za utupu either wakiwa na wapenzi wao au wao kwa wao.
Na hii imeleta usumbufu mkubwa kwa wazazi na familia mara tu...
Habari za mda huu wana jamvi ameniomba nifikishe uzi huu yaezekana akapata suruhisho au ushauri kutoka kwetu kwani hili ni jukwaa muhimu sana katika hili.
Ni mtoto wa mjomba angu ambae ni...
Mwaka mmoja uliopita, nilimtongoza mdada wa jirani hapa, nilimwomba namba akanipa, siku ingine tulivokutana nlimweleza nia yangu ya mimi na yeye tuwe kwenye mahusiano ya kimapenzi, akanikataa...
Nimeitoa mahali huko FB na nimeona pana ukweli
1. Hawatuliagi na mwanamke moja
2. Wanapenda kudinya tu, hawana mapenzi ya dhati
3. Wana vipaji sana kwenye kudanganya
4. Huongea kwa utaratibu kwa...
Habari wakuu,
Rejea mada tajwa.
Niseme tu ukweli wanaume wengi wanateseka na ndoa zao (japo wengi hawataki kujionesha), angalia kipindi cha kutaka kuoa huwa tunachagua sanaa. Na formulars...
Nipo kwenye mahusiano na mrembo takribani miezi sita hivi. Huwa anakuja kwangu nakuspendi nights. Kinachonishangaza sana ni kwamba juzi kati amekorofishana na baba yake na ameamua kwenda kukaa na...
Mimi ni mdada na kazi yangu na maisha yangu, nimekuja kuomba ushauri jinsi ya kuweza kuishi single maana mchumba niliyekuwa naye ameniumiza.
Nataka nianze kuwa single, niishi vipi mpaka nimsahau...
Habari za saa hizi wakuu,
Poleni kwa majukumu ya kila siku moja kwa moja niende kwenye point.
Kati ya hawa ni yupi mzuri zaidi, mwanaume anaeacha pesa ya matumizi nyumbani na mwanamke ndio...
Sababu mbalimbali,
Anakukataa kwa dharau Sana, kwa sababu anakuona tu kwamba huna chochote kwa wakati huo kwa sababu huna tabia za kujiinua. Lakini baada ya siku kadaa anagundua kwamba uko...
Habari zenu wakuu,
Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi?
MOJA :KUBETI MPIRA ...
Hivi ni lazima wanaume wawazidi umri gf/wake zao? Je, wanawake wawazidi wanaume umri gani ili at least ionekane pouwa...(exclude shugamamii)?
Mimi nina umri wa miaka 25 na mchumba wangu ana miaka...
Miaka kadhaa iliopita dada yangu alizalishwa, na yule mwanaume alijibu jeuri sana wazazi walipomtafuta kumuuliza kuhusu kumpa mimba Yao, Kwa jeuri nyingi alisema amebeba kwa umalaya wake.
Miaka...
Huyu mdada nilikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nikatambulishwa kuwa alikuwa ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu...
Habari za wkend wakuu hongereni kwa kuchanjwa pia kukubali tozo ya kizalendo
Wakati nmemalza chuo nilianza kuishi na mdada ambaye tulimalza mwaka mmoja lakini vyuo tofauti
Tulifanikiwa kupata...
Asubuhi nilileta Uzi hapa, bout encouraging single mothers,, kwamba one day Mungu atawalipia fedheha zote walizopitia.
Baadhi ya wanaume walaaniwa wamekuja juu sana... But ukweli haukwepeki na...
Alikuta picha kwenye Facebook messenger yangu. Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka.
Aliniwakia sana. Tena...
Nikiwa nimemaliza kidato cha nne miaka ya 2000's kweusi nikawa nimechill tu home hakuna ishu hakuna mpango, mjini hakuna mashamba. Kwa hiyo nikawa busy na mapenzi na by that time nilikua...
Habari wakuu wa kaya.
Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi...
Sijaona 'significant' difference kabla hawajaolewa na baada ya kuolewa. Naendelea kuwabinya kama kawa. Labda tofauti ndooogo iliopo ni vizinga. Sasa hivi hawanipigi mizinga ya kipumbavu. Si...
Wengi wetu tunajua na tunaona pete za ndoa zikivaliwa na wanandoa katika kidole cha pili kutoka mwisho, mkono wa kushoto.
Naomba nisaidiwe kujua, Je, ni kwa nini pete hiyo ya ndoa inavaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.