Habari wakuu natumaini mko salama.
Kwa mategemeo ya wengi mnadhani pengine huu uzi ungekuwa na maelezo mengi ila sio hapa natoa hoja moja tu ya msingi na ya kuzingatia.
Kwanza naomba nitoe...
Habari Wana JF ,natumaini mnaendelea vema kabisa.
Naomba niende kweny uzi moja kwa moja, kuna binti flani nimetokea kumpenda sana na kwa uchunguzi wangu nimegundua ananifaa kulingana na maisha...
Wengi hasa vijana wamezoea kuachana kwa matusi na kila mmoja kusema mabaya ya mwenzake kwa watu lakini hujui yawezekana siku moja ukajikuta umempigia magoti ex wako unaomba akupe hata kimoja tu...
Kwa maisha niliyo yapitia na sehemu mbali mbali nilizo tembea katika harakati za kutafuta maisha nimegundua kuwa watu waopenda kuzama chumvini ni maskini hawana hela na hawana uwakika na maisha...
Mapito ni mengi. Lakini kuna mapito ni magumu zaidi na zaidi.
Kuna janga unaweza kulipata yaani ukachanganyikiwa mpaka kiwango cha mwisho.
Binafsi sitoisahau siku ambayo nilidondosha barua ya...
Nimelifatilia hili kwa muda mrefu baada ya kuona watu wanavyolalamika na kuteseka haswa wakati wa matatizo ; ugonjwa, kukosa udhamini, kutafuta mtaji nk
Naleta hoja hii ili tupate kurekebisha kwa...
Habari za mihangaiko wana jamvi, tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai bure kabisa bila gharama yoyote.
Mada yangu leo inahusu mabinti/wanawake wenye nyodo, maringo, kijiona au kujisikia.
Wapo kama...
1. Anakuja kwako anaazima gari ikiwa na robo tank ya mafuta anatumia week 3 anakuja irudisha taa inawaka na amekwangua ubavuni. Unarudi home unaambiwa tu xxx karudisha gari.
2. Jamaa anakopa...
Wakuu
Hakuna feeling tamu kama umkute mke wako amevaa T-shirt lako oversize, no Bra,
Halafu Anakuandalia Chakula
Aisee, kama nawe unayo hebu zitaje tuone!
Wakuu,
Hatimaye nimeopoa bonge ya mwanamke kutoka mtandao wa Badoo.
Tunatarajia kufunga ndoa ya fasta maana ni binti nzuri sana nafanya hivi ili nisije nikawahiwa maana ni mrembo balaa...
Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka...
Habari zenu wakuu kweli nisipoteze muda niende moja kwa moja katika mada
Nimekuwa katika mahusiano ambayo imefika muda sioni future yoyote na huyu mwanamke ananikera sana na tabia zake za kuflirt...
Hello,
Nawasalimu kwa jina la MMU,
Ukiwa handsome kila mwanamke atakutaka,uwe na hela usiwe nazo poa...si wadada si wake za watu..si mtaani si kazini...utafuatwa hadi na mashoga..huko fb na insta...
Wanawake naomba kabla sijaenda kwenye mada muelewe hili Kila mume wa mtu atakayekutongoza lazima atamkandia mkewe.
Hana raha na ndoa
Hana amani
Mke anamnyima unyumba
Mke mkorofi
Mke anaongea sana...
KWANZA NAWATAKIA HARUSI NJEMA INGAWA MMENINYIMA KADI YA HARUSI BASI WATOTO ZENU
MNAOENDA KUWAZAA WATATUKUMBUKA KWA NEEMA ZA MWENYEZI MUNGU NAWATAKIA MAISHA MEMA NA YENYE FANAKA KILA UKIFIKIRIA...
Kuna jambo linanitatiza sana wana JF. Hivi kuna haja gani ya fungate pale ambapo wana ndoa walishakuwa na uhusiano wa kimapenzi kabla ya ndoa?? Nauliza hivi kwa kuwa kuna best yangu wa karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.