Habari za Asubuhi wanaJF ni tumaini langu Mwenyezi Mungu anazidi kuwabariki katika maisha yenu kwa kadri mnavyostahili na kwa kadri ya mapenzi yake!
Majuzi nilikuja na uzi hapa JF, link hii hapa...
Mimi kwa asili yangu nina sifa ya kuwa honest katika mahusiano, siwezi chenga chenga, kudanganyana na mambo kama hayo. Huwa naamini kama kuna mtu ana nia ya kupenda kwa dhati sina haja ya kufake...
Ilikuwa mwaka 2015 life after Chuo hapo sina ajira wala mishe ya kueleweka ya kuniingiziamtoto mmoja WA kichaga nilipigwa faini ya milioni moja kwa kumzalisha binti ilikuwa hatari.
500,000 faini...
Humu mada nyingi nizakuachwa. Umri sio tatizoo tatizoo ni kuwa makini katika uchaguzi .
Mke mwema huja mwenyewe asilimia kubwa tatizo hao mnawapuuzia mnaishia kupata wanawake ambao bila hela wewe...
Heshima kwenu wakubwa na wadogo
Katika ulimwengu wa sita kwa sita binadamu huwa tunakua wadhaifu sana na inafikia wakati kutokana na raha ya tendo unaweza muhaidi mpenzi wako kwamba utampatia...
Kwema wakuu Niko kwenye kipindi kigumu Sana ni hv nilikuwa na uhusiano na dada mmoja wa kichaga yeye wakati huo anaishi na dada yake wakati mahusiano yako hot Mara nyingi alikuwa ananambia...
Mimi nakumbuka kabla dada yangu wa kwanza kuzaliwa hajaolewa, yeye ndie tulikuwa tunamuonea kwenye kupika kila siku.
Dada yangu alikuwa hana jinsi maana sisi ndio tulikuwa wadogo zake. Ila...
Mimi upande kuna binti tulipendana sana mahusiano yetu na binti alinipenda sana ila alivyopataga kazi tuu nilishangaa ukimtafuta anakwambia yupo bize bize yee hata hanitafuti akinitafuta ana shida...
Mimi ni mwanachuo katika chuo fulani hapa Tanzania. Kuna mwanachuo mwezangu girlfriend nilimpenda nikawa namsaidia fedha ndogondogo.
Wiki mbili zilizopita karudi kutoka field ana mimba sio yangu...
Ciao jf
Nimekua nikifwatilia mda mrefu wa nini wanawake wengi wa sasa kwa nini awadumu kwenye ndoa zao...jibu nililo pata litawashagaza wengi ila ni ukweli unao pingika wa kiwango kidogo
Rejea...
Ciao jf
Bila kuchelewesha mada mezani kama swali hapo juu linavyo uliza!
Je mpenzi wako (me.ke) alikuhamasishaje kujengeka au kuimarika kiutaftaji pesa?
Sharing is caring waungwana😎
Habari wakuu,
Leo nawaletea mbinu ya kivita ambayo unaweza kuitumia kwa mkeo ili akusamehe kiulaini, mfano kama kakufumania, kakukuta na SMS za michepuko, au kosa lolote kubwa ambalo limeleta...
Habari za jioni wanajamvi, moja kwa moja niingie kwenye nada, nimekuwa mhanga mkubwa wa wanawake hasa ninaowapata kwenye whatsapp groups, binafsi nina groups nyingi ambazo najitahidi ku socialize...
Nikifikiria sipati picha.
Huyu mwanamke wangu wakati wakushiriki tendo la ndoa anasema anapenda kua slave, na pia anapenda nimfanye slave mara kwa mara ila kwasasa naona nimuache tuu kwani naona...
Huyu mpenzi wangu sijui ana shida gani? Yuko na kazi zake kapanga mahala flani hivi. Kuanzia tuanze mahusiano ni mara chache tu ndio yeye huja kulala kwangu ila mara zote anataka mimi ndio nitoke...
Hivi kwa nini mwanaume akiwa play boy kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia wakati ndo ingebidi wamkimbilie yeye.
Kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.