Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mpendwa mwanangu, Nataka ujue kwa nini nilikufa nikiwa masikini wakati nina mtoto kama wewe. Mwanangu, nilitaka kukupa baraka zangu kabla sijafa, lakini sasa nimeondoka na baraka zangu. Chakula...
12 Reactions
21 Replies
4K Views
Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda. Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme Ulifanyaje...
24 Reactions
129 Replies
11K Views
Habari za wakati huu, weekend inaendaje huko mliko wakuu Binafsi nilikuwa sijui Hata kama leo ni jumamosi walai😁😁..tuachane na hilo 😊 Katika pitapita zangu mitandaoni leo nikakutana na picha ya...
3 Reactions
5 Replies
761 Views
Nina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha. Yaani nina mawazo mno sijui...
4 Reactions
74 Replies
5K Views
Nimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa...
40 Reactions
115 Replies
11K Views
Wadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni...
5 Reactions
249 Replies
22K Views
Wakuu Kama mnavyojua siku zinaenda kasi na kila kijana ndoto kubwa nikupata familia Bora .. Me Hali yangu nimkimya mpole kuongea namtu Sana Sana labda niwe nimemzoea kweli kweli .. Sasa naomba...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Naandika hapa nikiwa na hasira sana, ila nimeona bora nimalizie hasira zangu humu labda michango yenu wanajamvi inaweza kuwa na mantiki na ikaniliwaza na kunitoa kwenye hasira niliyo nayo...
5 Reactions
364 Replies
48K Views
Habari, kumekuwa na mijadala mingi sana ya kuhusu ndoa humu ndani na wengi wakiwa wanalalamika kuhusu wake zao kuchapiwa/usaliti/mateso na changamoto mbali mbali za ndoa. Kwa upande wangu, nimeoa...
96 Reactions
167 Replies
20K Views
Habari za mchana ndugu jamaa na marafiki,😊natumai mnaendelea vizuri. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Unajua si kila Ex anakuwa amekufanyia mabaya tu, si ndio e Ehee. Kama...
26 Reactions
292 Replies
24K Views
Moderator please delete huu Uzi.
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Why can't we(Africans) set apart woman and motherhood. Africa kama wewe ni mwanamke basi ni kama vile hujakamilika bila kuzaa. Karibia kila mwanamke Africa anataka azae. Kwa muda mrefu sana...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika kipindi cha karibuni kumekuwa na trend ya masista du wengi hapa mjini kujipendekeza kwa wanaume wa ki Afrika Wenye asili ya Nigeria. Wengi waki hadaiwa na pesa ndogo ndogo na safari za...
17 Reactions
94 Replies
17K Views
Wapendwa wanaJf habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale na kazi katika ujenzi wa taifa. Napenda kuja kwenu kuwaomba ushauri kuhusu suala ambalo nimeona nije niombe ushauri kwenu...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, ni matumaini yangu kuwa hatujambo wote! Yawezekana nikawa mgeni, lakini ninastaajabu Sana ninaposikia eti mtu yupo katika ndoa na anabakwa na mwenza wake waliojenga ndoa pamoja! Niliziona...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii tabia nimeiona kwa wadada wengi. Mtu kakupanga muda mrefu kwa ajili ya kupigwa mti. Ajabu mnafika eneo la tukio, badala ya kuonyesha ufundi, hamasa na mahaba kwa mwanaume unaanza kulalamika...
25 Reactions
51 Replies
6K Views
Wajumbe Wazima? Ni yuleyule Mr. Liverpool from Anfield. Baada ya salamu hebu twende direct kwenye mada. Kwanini mkishaoa huwa ndoto zenu zina kufa? Scenario 01:- Walimu wa2 from Songwe. Hawa...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuu mnaendeleaje na majukumu ya ujenzi wa Taifa? Kama kichwa cha habari kinavyoeleza kuwa huyu kiumbe muda sometymz ni ngumu kinoma noma, basi bana kunaye demu mmoja hivi tulianza kama marafiki...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Just imagine una mwanamke mchumba wako mna mahusiano karibia Mwezi wa Tano mnaishi mikoa tofauti ila ni mikoa jirani, mimi nimewahi kumuuliza historia yake na hata picha za wazazi wake nilimuomba...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Unaanzaje kumkashifu mwanaume ambaye tayari kaona utupu wako, hoooo wewe fala umenihonga zaidi ya milioni halafu mimi nimekupa mara moja tu, kabao kenyewe kamoja tu ka kichovu, je hiyo pesa ina...
14 Reactions
58 Replies
5K Views
Back
Top Bottom