Kwa utafiti mwingi nilioufanya japo sina data za kupresent hapa lakini kuna haka katabia cha wanawake wengi walioolewa kutowapenda ndugu wa mwanaume hasa linapokuja suala la kuwasaidia kifedha na...
Kwa Utafiti usio rasmi kumekuwa na kasumba ya wanawake punde tu wanapoingia katika ndoa kuanzisha bifu zisizo na msingi kwa ndugu upande wa Mume, huwa inashangaza zaidi hasa kwa Mume mwenye uwezo...
Hey people
Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress)
Niko na mood hii sasa hivi....
Sijisikii kula lakini natamani kula
Natamani kulala...
Jamani mwenzenu nimeamua kukaa kimya mana najihisi kama jukumu la kupenda nimelibeba mwenyewe mwenzangu cmuelewi cku hz nimejarbu kumvumilia ss nimeshndwa leo cku ya 3 no call no sms nik2ma hajibu...
Couple Couldn't Conceive Because They'd Been Having Sex the Wrong Way for Four Years
BY CHRISTINA ZHAO ON 8/24/18 AT 11:00 AM EDT
A Chinese couple who were trying to conceive for four years were...
Pombe ukinywa kwa wingi huwa inafifisha kusambaa kwa kwa damu mwilini matokeo yake huwa inakuwa ngumu kwa dushe kusiamama vizuri.
Watu wengi hawatambui hili matokeo yake hudhania kuwa wamerogwa...
Wadau,
Kama nilivyowasilisha mada yangu hapo awali:
Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz na nikaahidi kutoa mrejesho wa mambo yatakavyokwenda.
Naomba nichukue fursa hii kuwashukuru...
Je ulishawahi kuteleza kwa bahati mbaya na dada wa kazi/ kaka wa kazi nyumbani na mapenzi yakawa moto sana na mwisho wa siku ikawaje.
Kuna dada wa kazi alinipenda mara akiniona akimbie mara...
Wadau,
Nahitaji mchango wa mawazo yenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kisa chenyewe ni hivi mimi ni diaspora ambaye nipo Korea kimasomo tangu November 2014. Mwezi Juni 2016 nahitimu...
Kuna tabia ambao sasa hivi nimeanza kuiona mbaya sana kwangu, zamani nilikuwa nachukulia poa.
Mimi ni mtu wa kusafiri sana huwa nakusanya vitu mbalimbali naweka home. Ila kuna tabia ya watu...
1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima.
Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa chuo wanawake wengi...
Navyosema kutapeliwa na mdada namaanisha hivi, mwanaume unakutana na mdada unamtongoza, hupewi jibu la ndio au hapana, unaomba namba ya simu, unapewa, mnachat wee unampanga aje ghetto labda baada...
Salaam! Nina mdogo wangu wa kiume, alikuwa mbaya(sura mbaya) tangu utoto wake, mademu wengi walimkataa sana.
Mwaka 2019 alijiunga na chuo nako bado alikataliwa kwa dharau sana. Ikapita miaka 2...
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati.
Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata...
Habari wapendwa,
Wimbo gani unaupenda zaidi wakati wa "love making" na mtu unayempenda.?
Mimi napenda nyingi ila kwa sasa favourite song ni Essence remix ya Wizkid ft Tems and Justine...
Niko na demu mmoja hivi ,single mother, tumeanza relationship nae ila cha ajabu siku na date nae nataka kuingiza chuma ktk K yake, inasinyaa kbs, acha hyo nikarudia mara ya pili same story...
Ndugu zangu wapendwa,
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni
Juzi nilikuwa nachart na mdada mmoja Instagram jina nalihifadhi akaniambia yuko dar mitaa ya temeke
Dada alionekana mwenye furaha...
Niaje niaje
Turudi kwenye mada kuu kuna siku moja Mimi na aliyekuwa demu wangu tulienda zetu Coco kupunga hewa sasa bana sijui shetani kijicho chongo alipita wapi akatuona kuja kucheki Gogo liko...
Mambo wana MMU naombenni kujua kama kufanya mapenzi sehemu isiyo rasmi ni kumdhalilisha mpenzi wako?au
Maana mnaweza mkawa mmekutana tu sehemu kwa ajiri ya story mara mkaanza romance za hapa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.