Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kwanini vijana wanaume wengi wanatanguliza sex sana kuliko mahusiano kwanza? Wanakuwa wako serious waoaji au ndio wapo Ili mradi wapate sex tu? Msaada🙏
8 Reactions
10 Replies
900 Views
Kuachana na mpenzi uliyetumai atakuwa mwenza wa maisha siyo jambo rahisi. Lakini vipi mahusiano yanapopitia mawimbi yasiyo na mwisho. Dharau, vipigo, kuvunjiana heshima au hata usaliti. Bila shaka...
13 Reactions
18 Replies
2K Views
Wengi wetu tunatamani kutulia na mwenzio yaan wa peke yako katika mahusiano/mapenzi. Ni kitu gani kinakufanya uchepuke au kucheat? Tupia sababu
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari JF, Kuna kausemi wanawake wengi wanacho "nilianza nae chini au nilimkuta hana kitu" then what? Kuanza na mwanaume chini kumvumilia wakati hana haikubadilishi wewe ukawa mwanaume mwenzie...
56 Reactions
179 Replies
12K Views
Habari wadau. Biblia inasema usimuache Mwanamke wa ujanani. Hii inamaanisha wewe kama Mwanaume jitahidi Sana usiwe chanzo au wa kwanza kutaka kuachana. Maisha ya Mungu yeye ndo anatupangia utaishi...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Binafsi ni stori ndefu kidogo ila nitaifupisha. Mwaka 2004 baada ya kugraduate UDSM nilifanikiwa kuajiriwa katika shirika la umma na nikapangiwa mkoa mmojawapo wa nyanda za juu kusini. Baada ya...
37 Reactions
82 Replies
11K Views
Wanadada punguzeni mizinga isiyo ya lazima.Mtu hamjaoana lakini hela anazoomba ni zaidi ya mke wa ndoa.Anakutajia shida lundo we kama babake. Weaving 50,000,nguo yangu ipo kwa fundi...
1 Reactions
110 Replies
11K Views
Habari zenu waungwana Katika maisha yetu ya kila siku huwa tunakutana na watu tofauti tofauti na kujikuta tunapeana namba za simu kwaajiri ya kuwasiliana zaidi. Kadri mnavyozidi kuwasiliana...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Ni kweli kwasababu ya utandawazi, mambo yanabadilika. Namna za kuishi pia zinabadilika, mapokeo nayo kutoka kizazi hadi kizazi yanabadilika. Je hekima imesafiri? Au amepotea njia? Au maarifa ya...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Nasikia siku hizi wake wa watu hasa wale wenye waume wazee wamekuwa warahisi Sana kuchepuka nje kwa Kuwa Sasa hivi namba ya wanawake imekuwa nyingi Basi Baadhi ya wanandoa wanafanya usaliti kidogo...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
There is difference between "having" and "giving". One thing is to have, and another thing is go give from what one has. There are men who have more than enough money but they are stingy(they...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu polen na majukumu ya kila siku, nimekuja mbele yenu kama kijana mwenye shida ya kiushauri na mawazo ili nipanue akili na niwe na uwezo mkubwa wa kuchukus maamuzi sahihi...
16 Reactions
119 Replies
9K Views
Unamkuta mdada ni mrembo tu,na ana vigezo vya kuitwa mrembo,na mwanaume yeyote anaweza kukutongoza popote ulipo lakini cha kushangaza loh! Unamkuta mdada amejipodoa kapendeza na kavaa na kweli...
4 Reactions
55 Replies
5K Views
Na hii inatokana na miluzi mingi anayokutana nayo huko duniani. Kama pisi kali atakuwa ameajiriwa/kujiajiri lazima akutane na miluzi ya wenye fedha, mabosi wake n.k Na ujasiri wa kuikwepa au...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Nasisitiza wajameni, nimepata rafiki hapa JF. Moja ya malengoo ya kuwepo kwenye platforms kama hizi ni kuongeza idadi ya marafiki ambao wanaweza kukuongoza vyema katika mambo mbali mbali na...
22 Reactions
609 Replies
26K Views
Wakuu habarini ya jioni, poleni kwa majukumu ya siku.. Wakuu nina mpenzi wangu ambaye ni mke mtarajiwa kwa kuwa bado taratibu kadhaa awe mke Rasmi. Kwa muonekano (mpenzi) ni mrefu, mwembamba...
8 Reactions
94 Replies
15K Views
Wanaume naamini mmeamka salama. Neno moja nataka kuwaambia asubuhi hii, Nimegundua Mwanaume huwezi kumridhisha Mwanamke kamwe. Utapambana utamtafutia pesa utampa. Utafanya nae mapennzi kwa...
20 Reactions
37 Replies
5K Views
Kubambikiwa watoto katika familia ni jambo la kawaida,inawezekana hii tabia ilianza tangu enzi za mababu zetu. Kwa kizazi cha sasa, tusitumie teknolojia (DNA) kufahamu kama mzazi mwenzio...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama title inavyojieleza hapo juu huyu jamaa ni kweli amepita nao wengi sana lakini kwa huu ujinga alioufanya siwezi kumsapport amecreate group amewa add ma ex zake wote mbaya zaidi ameweka picha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
USIOE/KUOLEWA NA MZIGO Kwa Mkono wa, Robert Heriel Leo sina maneno mengi, zaidi ya kutilia mkazo katika suala la ndoa hasa kwa wale ambao bado hatujaingia kwa ndoa. Usioe mwanamke mzigo, tena...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom