Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu tukiwa tunaendelea na michakato ya kunadi wagombea wetu kutoka vyama mbalimbali wa ngazi mbalimbali katika maeneo mbalimbali nchini. Naomba tuweke kituo na tujadili hili lililotokea siku ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Assume mimi ni mwanaume, niko fresh kimuonekano, nina kazi, sijaoa, sina mtoto, nina miaka 33, halafu namtaka binti mwenye miaka 20, huyo binti anaweza ku-fall kimapenzi na mimi? Huyo binti...
5 Reactions
55 Replies
7K Views
Nimeshtushwa Sana na clip moja ya video iliyokuwa inasambaa. Kulikuwa na kikao Cha wadada kama hafla flani hivi wadada wa kama above 35 walikuwa wanapeana code kuhusu ndoa lakini cha ajabu. Huyo...
21 Reactions
83 Replies
8K Views
  • Poll Poll
Molingo..... My partner in jokes, fun and all crazy stuff. September is on and I missed you so badly...... I feel cold while the summer is on....😌. I miss your tender touch beneath my waist...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na...
13 Reactions
72 Replies
8K Views
Wakuu. Nimependa leo tujadili suala hili, mitandao ya ngono inaharibu vijana wetu pamoja na utamaduni wetu kama waafrika. Ilikuwa siyo kawaida kuona picha za faragha kwani ilifahamika ni jambo la...
12 Reactions
63 Replies
9K Views
1. Hivi ni kweli - Mwanamke akipenda anapenda kweli? Hawezi kukusaliti hata akutane na wataalamu wa swaga / wenye ushawishi na wenye pesa? Hata akiwa na shida ya sex au pesa kiasi Gani? 2. Hivi...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari Wana JF wenzangu, Leo roho yangu imenituma kupoteza muda katika keyboard za simu yangu nikiwaza kuwa iwe isiwe lazima leo niwashtue wanaume wenzangu (amkeni) maana tumekuwa tukiumia sana...
41 Reactions
197 Replies
21K Views
Habari wana JF Nina changamoto moja katika via vyangu vya uzazi, uume wangu ni mdogo sana unakua ka wa mtoto hasa kukiwa na baridi au nkitoka kuoga ila ukisimama unakuwa vizuri tu nilishaga wahi...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kumekuwa na mitazamo mbalimbali juu ya suala la kuendelezana kimaisha Kati ya wanandoa, wengine wanasema ni kupotezea muda na mali, wengne husema ni jambo sahihi kabisa, Je eti kumsomesha mwanamke...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
MUNGU ANAKUPENDA SANA. Ndio, sijakosea.. Mungu ANATUPENDA SANA na ndio maana Ameuleta ujumbe huu mbele yako leo hii. Ni uamuzi wako, Kuchagua Mema na Uzima AU mabaya na mauti. Mimi ni mdhambi...
35 Reactions
59 Replies
4K Views
Mara nyingi kijana yeyote anapotaka kuoa huwa anaulizwa hili swali umejipangaje?? Je huko kujipanga kupojeee au ndoa ngumu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu? Last weekend nimemuaga wife kuwa nakwenda bar ya jirani hapo kucheck mechi ya Man. U, cha kushangaza wife akanijibu uwasalimie wahudumu (bar maids) wa hiyo bar. Nimemtafakari sana...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Habar wana jamvi! Tatizo la kutokushiriki vizuri kweny sex kwa upande wa mwanaume ni pana sana kwani kinyume chake huhitaji mambo kadha wa kadha ili kufanyika vizuri.. Tukiachana na sababu za...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Salaam Wakuu. Daaah Ha ha ha ha, ngoja nicheke Kwanza. Uongo sio mzuri wakuu ha ha ha ha. Uandishi wangu sio mzuri ila tuvumiliane. Ilikuwa hivi mwezi Kama Mmoja uliopita Mimi na wife tulipata...
10 Reactions
34 Replies
4K Views
Mtu mwenye historia ya ugonjwa wa moyo anaweza kufa wakati wa tendo hilo kwasababu moyo wake utafanya kazi ngumu kuliko wakati wa kawaida Sababu za mara kwa mara za magonjwa ya moyo, hususan kwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamii humu ni watu wanakushauri vizuri ila sio wote. Ishu yangu ni hii nimepewa namba namaza nikakutane na mtu ofisini ili nikamilishe zoezi lake la kupata vyeti vyake vya kusafiria ila kiukweli...
19 Reactions
311 Replies
24K Views
Kichwa cha habari kimejieleza vizuri.... Mimi ni kijana umri miaka 31 natafuta mwanamke wa kuishi na kuzaa naye umri kuanzi 18-31y ....awe anajielewa na kujitambua...asiwe na mahusiano na mwanaume...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hatukatai wadau jf kuwa mpo fresh na mnaendelea na majukumu. Ni hivi mbona waliooa siku mingi kama 2000 nakuendelea mbele mpaka 2010 hawawatu wanakuwa natabia ya kuficha mahusiano yao? Mtu...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Hivi ukiachana na mwanamke yapi kati ya haya ufanye 1. Muendelee kuwasiliana kama rafiki 2. Umblock namba zake musiwasiliane yaani kila mtu ajue maisha yake?
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom