Mapato ya mkeo/mpenzi wako yamekusaidiaje katika uhusiano wako? Wengi tunapenda kuoa wanawake wenye kazi au wenye vipato, Je kwenye mahusiano yenu, wewe mwanaume unayatumiaje mafao/fedha zake, au...
Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwa mara ya kwanza masomoni UBELGIJI miaka 6 iliyopita, nilimpenda sana na kwa kweli tuliishi nae mda mrefu bila kukwichikwichi kutokana na...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri
Sasa ipo ivi kwenye mahangaiko ya kila siku hatimaye nimekutana na mdada mmoja mzuri sana according to me sifa zake ni mrefu, rangi ni maji ya kunde, ana mwili wa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Katika harakati za kutafuta mwenza swala hili limekuwa likielezewa katika namna tofauti tofauti na baadhi ya wanawake Wakati mwingine utasikia wakisema...
Wakuu hii ni baada ya kumwagana na wife wa kihaya, chanzo ni anadai kurudiana maza kumpa taarifa kasema nikimrudia watoto wataozaliwa sio wajukuu wake..
Nikaona Laana inaninyemelea
Wanawake yeah tumewala ki masikhara ila sisi pia huwa wanatula ki masikhara.....
Sometimes katika harakati za kumfuatilia demu au mwanamke kwa ujumla, unawezajikuta unaliwa pesa zako ki masikhara...
Wakuu unajua sisi wanaume tunakumbana na majaribu mengi sana maishan kwenye engo hii ya mapenzi
Ujue kuna hela ambazo unaweza mpa mkeo kama mkeo ama demu wako kama demu wako halafu kuna hela...
Ratiba itakuwa ifuatavyo;
Baada ya kula karanga, Ndizi na Chokuleti tarehe 13/2 jioni nitapumzika. Nitajitahidi mechi na wife ianze saa sita usiku ambapo tarehe 14/2 itakuwa imeshaanza. Sitapiga...
Kiufupi mimi niliwahi kujichanganya nilitoka zangu uko chuo nikarudi kitaa si unajua tena, chuo mambo ya viwalo mwana una ng'aa mbaya sasa hom kukawa na shop moja nikaachiwa niwe naiangalia pale...
Jamiiforums: Unaamini Kupiga/kupigwa katika Mahusiano, husaidia kurekebisha tabia? Karibu Clubhouse
Ungana nasi katika Mjadala huu kupitia Clubhouse ya Jamiiforums leo kuanzia saa kumi na mbili...
Katika maisha ya mahusiano ya Kijana kuna changamoto nyingi sana lakini Kiukweli kudate na Binti ambaye anahitaji sana ndoa ni shida sana sijui kama ni sahihi Kumuacha Binti uliyedumu naye karibu...
Leo nlikuwa nangalia youtube kuna wamama walikuwa wa naongea mara mmoja akasema mwanamke wa kiafrica hatakiwi kuchelewa kuamka. Anatakiwa aamke mapema saa 12 asubuhi 🤔 Nimeshangaa sna. Kwani kuna...
Wakuu Jana Kuna mdada tulimpa offer akasema huwa hanywi local bia.
Akanywa desperados za kutosha.
Sasa Leo nimemkuta Sinza Mori Anagonga Serengeti Lite Kaona Aibu Kinyama [emoji23][emoji23]
UPO ukweli kuwa wanaume wengi wanawaogopa wanawake wenye mafanikio. Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo...
Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi, jambo ambalo ni ngumu kwa mwanamke.
Mwanamke akiishi zaidi ya miezi mwili, ataanza kuongea mambo yasiyo eleweka (Pumba) na kucheka...
Aslam aleykum ndugu zanguni, mimi ni kijana ninayetafuta namna ya kuuaga ukapera baada ya shinikizo kubwa la mama na dadazangu maana inaonekana umri unayoyoma ila sijawahi kuwatambulisha wifi hata...
Kauli hizi nakupa zikufae maishani tena ni busara thabiti na hekima tele ndani yake.Kama jua tokea enzi lisivyobadili mwelekeo na maneno ya hekima hayatabadili maana yake.
1. Japo maisha ni...
Men don't forgive cheating, if he says he forgives you for cheating just know you moved from being main to a side chick (He will use you for sex, and u will fall for it that he still loves you...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.