Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana.
Wakuu mwaka Fulani ndo nimetoka Tu kwenye majanga ya kugombana na mwanamke niliyekuwa nikiishi Naye na kuzaa Naye mpaka kumuweka ndani Kwa...
Huyu binti nime chunguza trend ya matukio yake ya kuleta zawadi, nimegundua kwamba kila aletapo zawadi, bado siku chache zijazo lazima atapiga kizinga,..
Sasa ndugu zanguni mademu,..huu kwel ni...
Nashangaa kitanda nacholalia iweje mke wangu ulale na dada yako, na wakati kuna chumba kingine, ati kisa mimi sipo?
Nashangaa bafu la chumbani wadogo zako wanalitumia na wakati unajua ni la...
Nawasalim,
Moyo unasononeka sijapata wakunifariji, ila naamini humu kuna watu wana mioyo ya upendo. Nawakaribisha sana.
Natamani siku moja nipate mwanamke atakae nipenda mimi kama mimi nikiwa na...
Habari wana JF,
Natumaini mu wazima wa afya , leo ni weekend hope mko poa na wengi wenu ni mapumziko leo.
Moja kwa moja kama uzi hapo juu unavyojieleza . Binafsi kama kijana, nimekutana na...
Hi gentlemen!
Siku moja huku nampiga demu mmoja hivi aliyejaaliwa utamu nilipigwa kirungu( niliombwa nitoe ahadi yoyote) kipindi ambacho kichwa cha juu kimeishiwa nguvu dhidi ya kichwa cha chini...
Wanawake wana jeuri na dharau sana ..wana maneno ya shombo hata shetan anasubiri sanaa...kuna jamaa hapa pot kamtwanga mkewe hadi kadead juz hapa dar... Mwanamke jeuri sana ..pot wa watu kaamua...
Habarini wakuu , natumai mu wazima sana.
Ishu iko hivi , wiki kadhaa nyuma kuna kitu kilitokea. Wakati nimetulia gheto na mchumba ,nilikuwa nimemuazima kidogo simu yake.
Mara kuna text ikaingia...
UPDATE: High Court judge Teresia Matheka declares being a housewife a full-time job, says housewives offer payable services at home and should not regard themselves as jobless.
Hivi kwanini mahusiano ya vyuoni i.e college/university huaga hayadumu..?
Unakuta mmekutana mumeelewana kabisa na mnaweza mkaishi miaka yote mtakayokua chuo kama wapenzi/wachumba ILA shule...
Huu msemo wa Mwalimu wa ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha, iko sahihi kabisa.
Ukianza kula wake za watu huwezi kuacha.
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nilianza kula mke wa binamu yangu...
Hivi vitu ni kama mashindano ya michezo maana lefa wake ni pesa,muonekano,mazoea,historia,malipo,fazila,maisha,umaskini na n.k.
Mapenzi vs hisia ndio vinaweza kuleta majibu kama madishi...
Hawa watu walipendana Sana wakaamua kuoana. Lakini Kwa Sababu Hakuna aliekuwa tayari kubadilisha Dini yake kutokana Na misimamo mikali waliyo kuwa nayo, waliamua kufunga ndoa ya Serikali...
Kuna ile situation mtaani kuna msichana mmoja hivi. Mkaliii ila malaya. Kasharuka na mabaharia wengi wa mtaani. Bado yupo katika mahusiano na wanaume kama watatu hivi, wenyewe hawajui kama...
Anakuwa na sifa hizi:-
Anakuwa mnyenyekevu
Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
Atakuwa...
Habari Wadau,
Kwa maisha niliyoshuhudia mwenyewe na si kuhadithiwa nina kila sababu ya kusema kuwa wazee wetu ndio waliofurahia ndoa na sisi vijana wa sasa tunapambana tu.
Sababu za kwanini...
Mchana mara tu punde unaporudi kazini au kwenye mishe mishe zako? Jioni baada ya kupumzika?
Mara tu baada ya kula chakula cha usiku? mara tu baada ya kuingia kitandani? Usiku wa manane? Au...
Habari wakuu.
Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4.
Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.