MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?
Utakuta kuna dem umezoeana nae mkajikuta mmependana ila hakuna aliyemfungukia mwenzake, siku ikatokea mmekaa sehemu ya faragha kaka gheto mara ghafla mkajikuta mmeanza kukiss hadi kusex, afu...
Wakuu mmebarikiwa Sana na MUNGU WA MBINGUNI.
Imepita miaka sasa niliwahi kuishi na mwanamke mmoja muha mwanamke jeuri, matusi, kiburi, uchafu, ujuaji sijampata ona, harakati ndani ya familia...
Habarini za muda huu wanajamii forum pole na majukumu mazito ya ujenzi wa taifa.
Iko hivi hizi siku za hv karibuni nimeona mabadiliko makubwa kwa mwandani wangu wa muda mrefu, moja amekuwa mkimya...
Ukiona mtoto mchanga analialia hovyo bila sababu yoyote ujue huyo anayeitwa baba yake ni feki.
Nilishawahi kuambiwa miaka kadhaa iliyopita sikuamini, lakini leo hii nimeamini kuna watoto wanne...
Wakuu Kama kichwa cha habari kilivyo eleza hapo juu.....
Mke wangu kwao nimitaa kama 20 toka tunapoishi sasa hivi karibuni kwao wamepata matatizo flani hivyo huwenda kuwaona nakushinda kwao hadi...
Tabia ya vijana kuwa katika mahusiano na wanawake walio wazidi umri inazidi kushamiri. Zipo sababu nyingi zinazopelekea mtu kuwa katika mahusiaano kama hayo lkn moja kubwa ni iyo love. Embu...
Jamani,hii ni kengele ya tahadhari kwa wapenzi mlio katika mahusiano zaidi ya miaka mitatu mkiwa wachumba.
Kibongobongo tunaita uchumba sugu ambao umeshaliza watu wengi kwani katika kipindi cha...
Habari wakuu...
Tendency ya wanaume kupigiwa wake zao imezidi sana hivyo basi, tujaribu kusema cases zinazosababisha kupigiwa mkeo...
1. Usiajiri shamba boy
2. Usimpige mkeo
3. Usiruhusu mkeo...
Umeshakuwa mtu mzima sasa unajitambua, harakati za maisha zinaendelea kama kawaida, mara unakuja kugundua kuwa wewe ni abortion survivor, mama yako alitaka kuitoa mimba yako. Na wahusika ni baadhi...
Habari wanajamvi, poleni na majukumu ya kila siku!
.
.
niende moja kwa moja kwenye mada, kwa mara ya kwanza kusema nyumbani kuwa unataka kuoa, dada zako na mama walichukuliaje?.
.
.
binafsi mimi...
1.Ukiona mpenzi wako kila unapomuomba tendo la ndoa anakwambia subiri au usubiri au unakupiga kalenda ujue bado hajaachana na ex wake
2.Ukiona mpenzi wako kila mkiongea anataka uwe unaongea point...
Nina kajinyumba kangu kadogo kakushikia kiwanja Goba kunguru, kana vyumba viwili vya kulala, sebule, chumba kimoja kina choo na bafu ndani na pia kina choo cha wageni jirani na sebuleni...
Michezo ina umuhimu mkubwa sana katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto asiyecheza huwa ni mwenye kuzubaa muda wote na mara nyingi huwa mgumu sana katika...
Miezi kazaa imepita, nilikuwa Dar es salaam kwa mishe mishe; mida ya saa nne usiku baada ya kupata chakula na kinywaji nikawa 'bored' na mazingira ya hotel, nikaona sitendei haki chumba kile kuwa...
Natumai mu wazima sana.
Utafanya nini cha kwanza unapokuta meseji ya kimapenzi ya mtu mwingine kwenye simu ya mpenzi wako .je utafatilia kimya kimya ujue ukweli, au utaamua kumkalisha chini...
Una umri wa miaka mingapi?
Unafikiri unaweza kuwa messi na hapohapo ukawa usain bolt, usijidanganye chagua moja!
Kama unapenda kufahamu mustakabali wa muda wako na malengo yako, usione uvivu...
Nawauliza nyie wanawake hivi dunia ya leo unaweza pata mwanaume mwenye sifa hizi zote na ukimpta utajisikiaje?
Mpole, sio muongeaji sanaa, namanisha mwenye tunda la upole la roho mtakatifu...
Aisee..
Kiukweli katika Maisha Yangu Hakuna kitu nachojivunia kama kuwa na Upendo wa Dhati sana Japo Umeniumiza sana Maishani Mwangu.
Kingine najivunia sana kuwa mtu ambaye ninapendwa sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.