Nilikaa Juliana Pub, kadri muda ulivokuwa unaenda aisee kitu nilicho kiona ni ongezeko kubwa sana la watu ilikuwa wanaoongezeka zaid ni wanawake yan walikua wengi kuliko wanaume, nikatoka...
Ukweli nimechoka nahitaji kusafiri mbali na nyumbani kwangu kila mtu aishi maisha yake maana tunakaa muda wote kama mtu na mke mwenza.
Ndoa yangu ina miaka 5 tuna watoto 2. Nilikuwa nafanya...
Naombeni ushauri humu jamani sijui mimi ni binadamu gani katika haya mapenzi yaani mtu akionesha kunipenda na kunijali naona kero.
Nimepoteza demu mzuri tu mpole aliyekuwa ananijali na kunipenda...
Kwa majina naitwa MFAUME A MRISHO (majina halisi),,nimezaliwa na kukulia manispaa ya Morogoro,,umri miaka 27(sio umri halisi),,nimeoa,,mke wangu ni mzaliwa wa Morogoro pia,,umri miaka 27(sio umr...
Ndugu WanaJF,
Salamu kutoka Bonheur Travels Tanzania.
Tumekuja na mjadala mwingine kwa maslahi ya umma. Tunashukuru kwa ushirikiano mkubwa tunaoupata kila tunapoleta mada mezani.
Mjadala wa leo...
Unapokuwa mwaminifu utu wako huthaminiwa, na utu wako huheshimiwa sana tena sana.
Watu wengi tumetaka utu wetu kuangaliwa kwa upendo lakini asiyekuwa mwaminifu hajawahi kupendwa, na hata kama...
Ni zaidi ya hekaheka!
Jamaa mmoja huko mbezi beach anadaiwa kumlaghai mke wa mtu kiasi kwamba mke huyo kahama kabisa nyumbani kwake (kwa mmewe)!
Mke huyo kafikia hatua yakumpeleka huyo bwana...
Habari za majukumu wakubwa na wadogo... Juzi katika pita pita zangu fb/messenger nikakutana na rafiki mmoja wa kike kwa bahati mbaya ama nzuri tukasalimia kidogo. Sasa bwana... Baada ya salam hata...
Salam!
Haya ma-game hatari kabisa, yaani nimepiga bao 2 leo kisa tu haya ma-game, jamani tusizoee kucheza haya ma-game yanahamasisha ngono sana, hasa haya Western games balaa tupuuuu.
Na hivi...
Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili...
Wanawake wengi asilimia 80 ukiondoa K, hamna kitu kingine wanachoringia.
Hebu fikiria wanawake kadhaa ambao umedate, wengi utakuta siku atakayokwambia kuwa K yake imeziba ndo unambwaga hapo hapo...
Inakuwaje unaishi na mwanmke kwa miaka kadhaa inakuja kutokea sintofaham na mnafika kutengana kwa muda, anaolewa baada ya miaka kadhaa anakutafta anataka kurud kwako wakati ni mke wa mtu. Haya...
Hawana hapewi talaka,,, huu msemo nimeambiwa na hawala baada ya kupotezana miaka mingi sana. Akatafuta namba yangu Mnyabi akapiga akaniambiwa hawala hapewi talaka. Yaani nikagundua hakuna wivu kwa...
Wazee wetu wenye hekima walikwishasema, heshima ni kitu cha bure. Mazoea huondoa heshima ndani ya muda mfupi sana.
Nirejee kwenye mada kuu. Nasikia kwenye mitandao na mitaani kuwa, ni kawaida kwa...
Simu yake iliita kwa Bahati mbaya wakati wa ibada akiwa kanisani.
Mchungaji alimfokea.
Waumini walimzonga baada ya maombi ya ibada Wakati anarudi nyumbani, njia nzima mkewe aliendelea kumsema kwa...
Habari wakuu
Nilikua na girlfriend wangu na nilimpenda sana aisee sasa mwezi mmoja nyuma tuligombana na alilia na kuwa myonge sana but sikujali maana alikua anatabia ya kushindana na mimi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.