Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Tunakimbilia 'December' funga mwaka, kama malengo yako ya kuoa / kuolewa yamefanikiwa, tunakupatia pongezi; kama bado kufanikisha, tunakupa pole pia tunakushauri ujikague na ujirekebishe na...
5 Reactions
71 Replies
2K Views
Habari za weekend wanajukwaa! Hivi nyie mnaokuwa na wapenzi wenu wa moyo then kutwa kujimwambafai oohh juma kanitongoza...hamis ananitaka Mara sweetbert ameniomba tutoke out ila kasema nisikwambie...
1 Reactions
14 Replies
996 Views
Habari zenu wanajamvi, Leo kwa niaba ya Wakurya napenda kuwapa japo kwa ufupi kuwa kumuadhibu mwanamke siyo dhambi. Wakuu kutokana na ongezeko la wanaume kujiua kwa sababu ya kukosewa nidhamu na...
11 Reactions
93 Replies
14K Views
Leo hii unakuta Mabinti na Wanawake wengi wanapenda Kuvaa Nguo ambazo zinaonyesha maumbile yao yote haya yale ambayo hayatakiwi kuonekana hadharani na wenyewe wanafurahia na kuona Ufahari hivyo...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wakuu Wakati nipo form Six, nilikuwa najichua sana(punyeto) kiasi kwamba ilikuwa haipiti siku sijapiga puli, aisee sikujua Kama najiua, nilivyomaliza tu nikaenda nyumbani, nikakutana na...
23 Reactions
77 Replies
12K Views
habarini wadau na washauri wazuri wa jf hivi majuzi nilikuwa na uzi wa kuacha ni kweli nimechwa nimejua hilo na nimeona anamtuu mpyaa kabisaa tena kijana mdogo sana iwamesoma nae chuo mkoa x...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Wengine huita 'mood swing' Kwa watu wazima wote nadhani tayari tuna uzoefu wa kuishi Wawili chini ya paa moja kwa muda, kama wenza, Mke na Mume, huku wote mmekutana mkiwa na historia tofauti za...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Wazee wameachwa katika mazingira magumu huko vijijini, unakuta mzee mpaka mgongo umepinda analima shamba kubwa kwa jembe la mkono, anachunga mifugo, anapasua magogo ya kuni n.k Ukiwauliza kuhusu...
4 Reactions
15 Replies
930 Views
Habari zenu wakuu niende kwenye mada moja kwa moja siku mbili zilizopita ikiwa nipo bandarini mida ya saa tatu usiku baada ya kupakia mizigo kwenye ikiwa nasubiria maji ya usiku ili nisafiri...
17 Reactions
41 Replies
6K Views
Hii kauli nimeisikia jana akilalama mama mmoja katika mazungumzo na wenzie kibarazani. Anadai ametunza mtoto peke yake kwa mahangaiko makubwa, kamsomesha kwa tabu kwa pesa za kuokoteza kwenye...
5 Reactions
70 Replies
40K Views
Habari wana MMU, Ni tumaini langu kuwa mko poa sana, ngoja niende kwenye kiini cha uzi kama tittle inavyouliza. Binafsi ni mtu wa pilikapilika na movement za hapa na pale maeneo ya ma bar na...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari zenu za Mei Mosi na Tunaendelea kupambana na kuchukua Tahadhari Juu ya Corona. Kwa niaba ya wanawake wote wa JF hasa huku MMU tunaomba mtuulize swali lolote kwenye huu uzi na tutawajibu...
16 Reactions
335 Replies
37K Views
Baba yangu hamtaki mke wangu naomba pita hapa unipe ushauri.Ilikua ni mwaka wa 2020 ndo Kwanza natimiza umri wa miaka 21 wakati huo nikiwa Geita nikipambana na maisha, nilipokea simu kutoka Kwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wapendwa? Mfano, wewe na aliyekuwa mpenzi wako mmeachana, lakini cha ajabu huyo ex wako anakuwekea mashushushu(FBI) wakufuatilie nyendo zako, inakua na maana gani hii wakuu?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama umemkamata mwanamke wako ana mapichapicha akaanza kutoa chozi na kulia isiwe kigezo cha kusamehe. Mwanamke hata akitoa machozi jaba zima ni namna yao ya kuku"fool mwanaume umuonee huruma...
30 Reactions
92 Replies
8K Views
For many couples, falling in love is a pleasant and romantic experience they may enjoy together. Some couples engage in sexual activity solely for the purpose of having children, while others...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Guys nimepata safari, next week naelekea Msumbiji katika moja ya utimizaji wa majukumu yangu kikazi. Sasa nasikia kuna machotara hao wa kireno, naweza kuwapata angle gani pale Maputo? Nilihitaji...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Eid mubarak wana JF! Ni hivi, assume kuna mwanaume ulivutiwa nae sana muda mrefu mpaka ukatamani kuwa nae kimahusiano ila yeye hakukupa attention kiiivo kama unavotaka iwe kwa sababu zake...
4 Reactions
80 Replies
6K Views
Mimi ni mwanaume niliejaaliwa kuwa na watoto wawili wakike na wa kiume na mke wangu nimemuoa miaka kumi iliyopita huko mkoani iringa, shughuli zangu ni fundi seremala katika hizi kampuni za ujenzi...
6 Reactions
189 Replies
17K Views
Mwanaume usijivunge kuchepika huenda mkeo alisha chepuka na roho ya karma inataka kumjibu. Maana malipo ya dhambi ni hapahapa duniani. Ukiona roho imefura juu ya kuchepuka wala usijiulize mara...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom