Kuna wanaume kabla ya kuoa anauliza mwanamke anafanya kazi gani, " nataka mwanamke wa kusaidiana nae maisha"
Matokeo yake mmoja akihamishwa kazi mume yuko Iringa mume yuko Mwanza watoto mako...
Wadau heri ya Christmas. Last week nimejifungasha toka Iringa mpaka Tabora wilaya ya nzega kumuoa binti ambaye nimempenda sana.
Nilifurahia sana namna walivyotupokea na namna mchakato...
Ndugu zangu habiri nyingi sana hamjambo?
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Kiukweli nampenda MKE WANGU sana ila wakati mwingine shetani anapitaga tu na pisi kali kinoma basi najisemea...
nakupenda sana ila hautaki kutulia na mwanaume mmoja kwanini?
kwanini hauridhiki na mume mmoja?
mara ngapi nimekwambia kua unauharibu usichana wako kwa kuruhusu kila mtu akuonje?
baki na mimi...
Salaaam kwenu watu weny akili nyingi (akili mbili)
Sasa wadau swali langu lipo hivi mtoto wangu wa kike ama wa kiume endapo akiniona na mchepuko maeneo yangu ya kujidai anapaswa achukue maamuzi...
Merry Christmas Dears,
Ndugu zetu wa kiume mliooa, naombeni mnisaidie kunifahamisha kitu gani huwa kinafanya baadhi yenu mrudishe attention kwa kasi kwa washikaji zenu (hasa wa kike) miezi kadhaa...
Can you date a guy without asking him for money? Most girls will be laughing at this question,but am sure the guys would really want to know.
As long as I can remember and as many relationships I...
Juzi nlikuja na Uzi hapa kuelezea matatizo ya mahusiano yangu na mke wangu
Jana kaja home na watoto kwa ajili ya likizo fupi ya sikukuu
Kwanza wakati anaanza safari kaanza na gubu na...
Niko hapa pembeni mwa shemeji /wifi yenu tukiwa kwenye mapumziko ya sherehe za mwisho wa mwaka. Kinachonisikitisha zaidi muda huu, ni kuwa muda wote yupo bize na watoto tu; wakati na mimi mtoto...
Jana ilitakiwa wife aende Moshi, ila nikaiminya hiyo ratiba. Nilimuambia aende Masasi ila hajaenda bado, analia mpaka muda huu anataka nimruhusu aende kwa wazee wake.
Na kwao yameibuka mapya...
Kumuelewa mwanamke ingia kwenye mahusiano na wanawake wengi kadri uwezavyo, hii itakusaidia kukutana na maumivu ya kila aina yanayosababishwa na wanawake kwenye mahusiano na hivyo kuwa sugu na...
Siku ya jumamosi tarehe 5/6/2021 tutakuwa tunaazimisha miaka 15 ya mahusinano na mchepuko wangu. Kila mmoja ana ndoa yake ila tumebarikiwa kuishi kwa miaka 15 tukiwa kwenye mahusiano bila ya...
Ni leo tarehe 24/12/2021 mida ya saa Saba mchana napata hiyo meseji kutoka kwa mrembo mmoja makini Sana hapa mjini.
Bad side ni kwamba now days nimeamua kuwa mtu mwema tangu nipate majibu yangu...
Salaam ndg zangu rehma za mwenyezi mungu ziwe nanyi...
Kufupisha maneno mwaka 2017 kuna rafiki wa mke wangu automatically ni shemeji yangu tulikuwa tunapanga nyumba moja nitamuita XY. Sasa...
Wazazi wengi tunatofautiana katika kuwa na idadi ya watoto; wapo wanaopenda kuwa na watoto wengi na pia wapo wanaopenda kuwa na watoto wachache.
Kwa jamii yetu ya kiafrika kwa walio wengi, mtoto...
Ma lecturer
Katika elimu ya juu vyuoni huwa kuna mabinti wengi kuanzia miaka 18 hadi 24 hawana hatari kama wale wa sekondari mvua miaka 30 , wote hawa hatma yao kwa kiasi kikubwa huamuliwa na...
Kama kichwa cha thread kinavyosema..
Wanaume Mungu anawaona!!
Yani unakuta nguo za kike kwa mwanaume wako afu anakwambia eti ni za dada anaemsaidia kufanya usafi kwake!😥
Haya basi achana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.