Happy hurry Xmass to you all and I wish alot of love and happiness.
Narudi kwenye point wanawake msijidanganye kuwa eti kwa maana humuombi boyfriend/fiancee/mume pesa kisa wewe ni mwanamke wa...
Mke wangu alichukua simu yangu na kufuta namba ya mpenzi wangu mwingine, namba ya Magreth na kuhifadhi namba yake ya kuwa anaitwa Magreth.
Sikujua kuwa kuna mtu alimwambia mke wangu kuhusu...
Wakulungwa....
Japo joto kali, jua linawaka ila tabasamu halikauki usoni.....
Najua nimeshapokea mafao ya uzeeni ila hii furaha ya leo ni nje ya mafao....
Mahaba niache nipange mipango maisha...
Huyu mama wa binti mmoja tu, mchacharikaji anaemiliki guest house kama 20 katika miji tofauti. Yeye hakuwahi kuolewa na sexual life yake ni ya siri sana. Kumbe hupenda kuvinjari na vijana akiwa...
Ujumbe maridhawa kwa jukwaa linaloongoza kwa wasomaji na wachangiaji.
Haijalishi umepania namna gani, Think Twice. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote,
UMEME...
Jamaa alianza mahusiano na rafiki wa mke wake. Baada ya kuaga anasafiri, kaka wa mke aliamua kumpeleka dada yake kula nyama choma. Huko ndiyo wapenzi wapya wa siri waliamua kwenda kula nyama...
Kuna kisa nimekutana nacho, kisa hiki ni cha mwanaume aliyefanikiwa sana kimaisha. Kwa taaluma ni mhandisi anaefanya kazi na kampuni za kigeni. Mshahara wake kwa mwezi ni kama 12 million hivi...
Kuna kitu nataka kuongeya kuhusiana Na tukio hili ambalo lilitokea siku hizi la Jamaa fulani kumpiga mke wake risasi
Nimesoma comment nyingi watu wengi wanamlaumu mwanaume kuwa amefanya vibaya...
Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo.
Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto...
Mu hali gani? Sijajua huenda ni tatizo au la! Wanaume wengi hupenda wanawake wanaojishughulisha kwenye ku-do, wanaokatika, mbwembwe kama zote n.k
Pia kuna wale wanaopenda kutomaswa japokuwa ni...
Wadau, mnakumbuka nilileta uzi kuhusu binti aliyekwenda nchi za Kiarabu kufanya kazi? Sasa hivi, kuna jambo limetokea na nipo njia panda.
Kwa kifupi, mimi kwao sijulikani vizuri, wazazi wake...
Wajumbe sikieni hii.
Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro.
Kipindi hicho mimi nilienda ofisini kwao kufanya field, kwa sababu...
Leo ngoja nikusifie mtoto wa kipare, tulianza mahusiano nikiwa chuo mwaka wa mwisho nikiwa chembamba cheusi sivutii nani angenitamani kipindi kile mtoto wa watu kigori cheupe kifupi kinene...
Maisha is going fast kabisa
Yaani juzi juzi apa kanikataa na kunitukana kinoma eti kisa amepata mwanaume ambaye kwao Wana uwezo wa pesa.
Aka ni sau mimi ambaye nilikosa usingizi ili ale vizuri...
Vp guyz...
Nina tatizo ambalo sijui ni kwanini lina nikumba.. kila nikimuona manzi nahisi kama ana mtu yani najikuta muoga kuomba namba.. coz nipo kwnye process za kutafuta mchumba ila kujiamini...
Picha inajieleza yenyewe, hapo Dada huyo akisaidiwa na Msamaria mwema aliyemuokota kwenye mtaro baada ya mwanadada huyo kupiga Chupa za Kutosha na Kisha kuzidiwa na Pombe , Jamaa hawakucheza mbali...
Sitaki kujua ni nani aliyempa mimba na anakaa na nani kwa sasa, ila tu leo kama zari nimemtongoza mdada mmoja hivi mwenye mimba, kwa kuangalia inaweza kuwa na miezi tano au sita hivi maana ni...
Nimeshindwa kuvumilia akii tena. Nitawasalimia tu hata kesho wapendwa wangu,
Leo bwana nimejitokea zangu huko duniani kwenye mihangaiko, nikafika zangu kituoni, nikasubiri daladala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.