Jamani naombeni msaada kuna rafiki yangu sasa unakwenda mwezi wa saba amenyimwa unyumba na hajawahi kupewa papuchi hata angalau ya kuonja kama kuomba ameomba sana mpka amechoka mwanamke anamwambia...
Habari wataalam! ni sayansi gani inafanyika mpaka ukiwa hata na demu mmoja tu basi utavutia wengine hatakama ni first time mnaonana nao utawadaka fasta ila uwe singo sasa hata uwe hb vip hupat...
Ni July 2022 now, Bado Miezi mitano tu mwaka huu ukate.
Anyway, Nimekaa hapa sehemu moja kwenye viti virefu, warembo Wazuri kama wote kila nikigeuka, yani mambo ni mteremko.
Inasikitisha sana...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42 na mkaazi wa jijini Dar Es Salaam.
Mimi nimeoa na nimejaaliwa kupata watoto watatu, watoto wawili mimezaa na wanawake wawili...
Jana nilikuwa naongea na Mzee, maana ni mgonjwa. Maongezi yetu yalinirejeshea kumbukumbu fulani ambayo nimeamua kuiweka hapa.
***** ***** ***** ***** ***** *****
Maisha home yalikuwa tight sana...
Habari zenu wakuu,
Hope mko fresh Sana. Nimefanya huu utafiti kwa muda wa wiki Moja na Nimetumia sample size ya watu (wanaume) 50 na hatimaye nimegundua kwamba Urefu wa mtu in terms of feet...
Kuna watu wana vituko kabisa. Yaani Kuna Jamaa mmoja tulikutane naye hapa Hapa JF baada ya kuomba msaada jinsi gani Ninaweza kurudisha ex wangu. Jamaa alinifata inbox kunipa ushauri eti mwanamke...
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Haya maisha modes wa humu wapumbavu sana kweli wao ni wa kufuta uzi wa Dr. Mariposa uzi matamu kabisa kisa et sijui ni mapenzi ya jinsia moja kwanza hafundishi mtu wala hajasema waziwazi...
Wanawake ni watu wa hovyo sana zaidi ya sindano ya ncha kali jichoni ngoja nikupe mkasa niliokuwa nao hivi sasa
Nilikuwa na Ex wangu nilifanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja kipindi hicho ndo damu...
KISA CHA MUUAJI MJANJA
Uchunguzi wa kimaabara na matukio ya uhalifu.
Siku moja wakati wa ibada ya jioni, mtu mmoja aliyeitwa Steve A. Robards mwenye umri wa miaka 38 alianza kuhisi dosari mwilini...
Habari wakuu
Natumai wote mko wazima.
Naandika huu uzi nikiwa nishachefuka nnachotaka nijue leo kunabaadhi ya wanawake huwa mtaka nini kwenye maisha yenu misielewi.
Niko kwenye mahusiano na...
Wadada usithubutu kukutana na mwanaume ambaye mmeanza Naye mahusiano , at least chukua muda wa miezi zaidi ya mitatu au minne umsome kwanza kama Yuko serious au mpitaji
Yaani nimegundua ukiachana...
Ndugu zangu , ikiwa ni siku nyingine tena nina wasalimu kwa jina la mshikamano wetu kama wana Jf, na kwa wale wasio wana Jf basi wasikonde nao na wasalimu ila wajitahidi na wao kua miongoni mwao...
Hili suala ya confidence miongoni mwa wanawake nimelifanyia utafiti kwa muda wa miezi sita na nimekuja na conclusion kwamba confidence miongoni mwa wanawake inavary kutoka kwa mwanamke mmoja Hadi...
Nina mpenzi, huu ni mwaka wa pili sasa tupo kwenye mahusiano. Ila kwa bahati mbaya au nzuri, hatuishi pamoja kwa sasa mimi nipo Manyara kikazi na yeye yupo Songea kikazi. Kuna ugomvi ulitokea kati...
Salaaam ndugu zangu wa JF.
Nitaelezea kwa ufupi sababu ambayo, inanifanya hadi sasa niwe kwenye msongo wa mawazo.
Ilikua mwisho wa mwaka 2024 tarehe, 31..baada ya mishe mishe za kila siku ndipo...
Habarini jamvini?
Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi...
natumai mu wazima wa afya,
Nimekuja hapa kuwashauri wale jamaa wa KATAA NDOA FC nadhani watakuwa bado hawajafikia ile situation ya kushindwa kucontrol upweke, unaweza ukawa na kila kitu kwenye...
Tumekua tukiona nyuzi mbali mbali za watu wakisaidiana na kupeana bei elekezi za utelezi na maeneo husika unapopata telezi hizo, sasa mnaonaje tukawa na uzi wa kuelezea maeneo sahihi ya kuchinjia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.