Habari wadau wa jukwaa hili pendwa,
Naomba nienda moja kwa moja kwenye mada.
Mimi nimeoa na Mungu amenijalia watoto wawili. Nafanya kazi sekta binafsi na mke wangu sasa ni mama wa nyumbani. Mke...
Habari zenu wana ndoa na wenye ndoto za ndoa,
Yawezekana umewahi kusikia kauli maarufu sana inasema;
"Kosea yote usikosee ndoa"
Katika thread hii nitakupa maana halisi na siri iliyojificha nyuma...
Kuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!!
Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua...
Kuna baadhi ya madhehebu ya dini yameweka msimamo kwamba muumini haruhusiwi kuoa/olewa na mtu wa dhehebu lingine.
Binafsi nimeona watu wakipata matatizo yafuatayo kutokana na msimamo huo;
1...
Habari wakuu
Jana nilileta uzi wangu hapa ulikua unahusu hisia zangu kwa mpenzi wangu kuwa kanisaliti usiku wa kuamkia jana. Na zile dot nilizoleta (Screenshot) wote mliziunga mkono kwamba ni...
Habar mabibi na mababu....
Leo siku yangu imeenda vibaya sana, na vile sijawahi experience hili tukio bhasi daah naona dunia imenikalia vbaya leo.
Kufupisha stori ni kuwa kuna manzi angu mmoja...
Aliyesema mapenzi yamezaliwa Tanga akamatwe mara moja kwa uongo.
Mapenzi yamezaliwa Manyara (Babati) huku yaani kila mwanamke unayekutana naye unamtamani, Mama ntilie wanaouza supu wazurii yaani...
Sasa nimeongea na mke wangu kuhusu nyumba ambayo nimejenga kwenye kiwanja chake kuhusu umiliki kwasababu yeye alitaka kuandika jina lake tena kwa siri. Nimemuuliza kwanza kwamba tangu tuoane...
Kabla ya yote, Maisha ni Mahusiano
Dar es Salaam kama yalivyo majiji mengi kuna idadi kubwa ya watu.
Na sehemu kubwa ya hao watu ni vijana.
Kila mwaka kuna idadi kubwa ya vijana wa kike na...
Hii kitu imenishangaza sana kwa Hawa Viumbe.
Mshikaji ana muhudumia Demu kwa Kila Kitu, jioni anamfuata Kazini, na asubuhi anampeka Kazini (Privet Car).
Sasa Cha kushangaza Demu ananiambia "mi...
Inashangaza sana ndugu zanguni. Unakutana na fremu ina tisheti 2 na jinzi moja lenye mitatuko, pembeni kuna kepu imening'inizwa. Fremu lenyewe la kioo halafu full kiyoyozi. Mhuni aliyepanga fremu...
Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa...
Happy new years guys 2025!...
Mwak jana mwishon niliachan na mrembo wangu ambae kwaukweli tulizoean sana na kupendana.
Kumuacha ilibd kutoka na sababu zangu ambazo zili base kiakili (logic...
Habari za muda huu,
Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia.
Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year...
Mwanandani wangu wa kike amekuwa na tabia kuvutia mambo kwao mathalani kuwafundisha watoto tamaduni za kwao ikiwemo lugha na kusifia mambo mengi ya kwao. (kabila lake).
Sasa Jana ghafla akaanza...
Kwenye kuzurura kwangu duniani kutoka Africa, Ulaya, Asia na Marekani; nimeona watu wengi wakiwemo wanawake weusi, wazungu, waasia wanasema black men most are cheaters na malaya kuliko hata...
Nawakumbusha tu mabinti zangu,huu ni mwaka 2025 mwaka wa uchaguzi,SSH anaingia tena ikulu kwa miaka mitano mpaka 2030.
Huo mwaka 2030 ukifika na hujaolewa nikupe tu pole utakuwa sio binti tena...
Wanawake tuliowengi kwa sasa tunaendeshwa na hisia tu badala ya uhalisia
Kwa sasa tunaamini na kuhisi kwamba iwapo mmeo hakupi pesa ya matumizi ya kutosha au akakwambia hana pesa kwa muda huo...
Kwanini wanawake wenye tabia njema za kujenga familia imara huwa wanatelekezwa na watoto baada ya mwanaume kufanikiwa kusimama vizuri kiuchumi?
Kwanini mwanaume anakuwa mstaarabu sana kama hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.