Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wana jukwaa habari zenu Mimi na mke wangu tumefunga ndoa miaka kadhaa iliyopita na tulikuwa tunaishi mikoa tofauti kuna kipindi aliniambia tununue kiwanja nikamwambia sawa basi wakati nipo mkoa...
17 Reactions
146 Replies
3K Views
Mi naona kama mke ndo anauma zaidi. Au wakuu nyie mnasemaje?
11 Reactions
63 Replies
2K Views
Habarini, Hili swali nimewauliza hasa hasa wadada wa humu watoe their honest opinions, ila hata wanaume wa humu mnaweza kujibu, Kwenye jamii imezoeleka kuwa wadada wanakua na thamani kwenye...
7 Reactions
59 Replies
2K Views
Heti wadau, nisaidieni mana kuna kakiburi kalikojificha kwenye ujauzito
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Chini ya Jua hamna mwanamke Anayejiamin iwe katika Uzuri wake wa sura na umbo, Upishi, Mavazi, ufanyi kazi wake uko kazin, majukum ya nyumban n.k .. Kwa haraka Ukimchukulia mwanamke kama kiumbe...
26 Reactions
194 Replies
19K Views
Sugar ray iliyopo Temeke mitaa ya kwa sokota imefungwa rasmi kwa madai kuwa sehemu hiyo imekuwa maarufu kwa wadada kuuza miili yao hivyo basi wazazi wa sehemu hiyo wakishirikiana na serikali...
1 Reactions
31 Replies
9K Views
Ivi umeshawah kutana na Jidada mmoja mwenye uchumi wake kukuzidi yaan wee unajiweza lkn yeye kakuzidi na umemuelewa kinoma yaan?? Au tu ni Mke wa mtu sema umemuelewa ?? Sasa leo nawapa siri...
15 Reactions
195 Replies
30K Views
Niiteni masikini ila hii "money trap" Hizi kweli sio njia za kutafuta pesa kimkakati..? Mtu una life lako, umeshakuwa mtu mzima, alafu unapitishia watu michango utafikiri ndio unaenda kuanza...
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Hapa wengi watabisha, kwakuwa Mila zetu za ki Africa zilipigwa teke Mwanamke aliyefundwa, aliyeenda unyagoni ni marufuku kunyoa sehemu zake za Siri bila ridhaa ya mmewe Kitendo cha mwanamke...
20 Reactions
154 Replies
4K Views
Nina miaka 30 sasa, cha kushangaza nimejichanganya sehemu masihara masihara nipenda kama mtoto wa rika balehe. Yaan sijiwezi, situliii, siambiwi na sipend pesa sana, navuruga ratiba, kutwa...
13 Reactions
101 Replies
2K Views
I will be short Any way very late 20s . Sina mtoto sina Mchumba , Ila na pisi Kama 3000 hivi . Any way nilijikubali kuwa furaha yangu is my own kitambo sana . Yani hata Dunia nzima mpotee...
3 Reactions
8 Replies
317 Views
Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nimekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe. Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi...
13 Reactions
197 Replies
16K Views
Ama kweli Dunia Haina huruma ..Kila siku kukicha kwangu ni afadhali ya jana..najitahidi kufanya kazi ila mwisho wa siku naangukia pua na hasara juu.nmechoka katika hili najihisi kukata tamaa. Nina...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
[emoji725][emoji725][emoji725][emoji725] Leo tuangukie Sita kwa sita !! ..ni ndefu ila maliza ,ikuongezee kitu, Huko nyuma niliwah andika uzi namna gani ya kua na uwezo wa kuhimili tendo zaidi...
87 Reactions
550 Replies
339K Views
Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu. Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu...
53 Reactions
210 Replies
9K Views
Kuna Jamaa wako kwa Mahusiano lakini Hawajui hata yanahusiana nanini mahusiano ambayo sio yenye Afya kwao. Leo nawasaidia kwa huu Uzi, hili liwafanye kabla hujajiruhusu kumfanya Mwanamke awe wa...
44 Reactions
180 Replies
16K Views
Suala la Kumpa Mwanamke Pesa au kumkopesha Pesa, ni Uamuzi wa Kiuchumi na sio Uamuzi wa Kihisia Ndiooo, Unajua huenda unampenda, au upo naye, lkn kiuchumi haupo vzuri, ndo umuache? Ndo akuumize...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Kijana upo na Maisha yako , una uchumi wako yaan sio mpaka uwe na uchumi mkuuuubwa , kwaufupi wee ni Binadamu !!!. Acheneni na Masuala ya Pesa sijui nn, acheni nayo hayooo yote HAYAWEZI MFANYA...
15 Reactions
94 Replies
22K Views
Unaweza ukashangaa hili, ila uhalisia nikwamba Ili Mwanamke Akupende kwa dhati Daima ni lazima huko mwanzo uhakikishe kwamba Ulimpitisha kwenye Mateso ya Kihisia. Mtu anaweza niuliza, kwahiyo...
22 Reactions
58 Replies
12K Views
Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya...
31 Reactions
55 Replies
9K Views
Back
Top Bottom