Wakuu , hawa Wanawake kutoka kanda ya ziwa sio Poa kabisa aisee wanaweza kukuvunja miguu hivi hivi Kama mwanaume Ukiwa dhaifu aisee hatari Sana hawa Wanawake kutoka kanda Hii Jana nusura nivunjwe...
Wakuu hii ndoa inaenda kunichosha aisee yaani mimi kila siku nikupigwa na kusemwa na mke wangu halafu ukizingatia mie ndiye natoa matumizi ya kila siku yeye mke wangu ni mama wa nyumbani yaani...
Wana jukwaa salaam?
Hapa home tupo wapangaji wa 3, wa 2 wanaume mmoja ni dada sasa huyu dada amekuwa shida karaha sana kwa sababu anachokitaka me sitaki kukifanya na nmeapia sitoweza.
Drama...
Ukiangalia bila kutafakari unaweza kuchukulia poa sana lakini ukweli ni kwamba mwanamke wa namna hii ukimuweka ndani lazima UTAIMBA WIMBO MPYA KABLA HUJAFIKA MBINGUNI.
Hapa unashindwa kuelewa...
Mim kiukwel sjawai kuwa single...yan toka nmejielewa..infwact...mim nilichelewa kdogo kuanza mapenz/kugonga..mim nilianza hayo mambo likizo ya kumaliza six.
Enewei ni hiv.kipind nmeanza .sikuwai...
A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe.
Then unakuwa attracted na this type of a guy na...
KUNUNUA MALAYA NI SAWA NA FISI KULA MIZOGA AU SIMBA ALÍYEZEEKA KULA VIBUDU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sio kila kiumbe kinapenda hekaheka, kutoana jasho, vipo viumbe hula mizoga kwa...
Wakuu kwema,
kama mada inavyojieleza, hapa nipo njia panda nakosa la kufanya,naamin ntapata maoni kupitia nyinyi.
Labda niwaeleze kisa na mkasa mpaka kufikia hatua ya kupandisha uzi usiku huu...
Habari zenu.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la whites hasa wazungu kuwa na dada zetu blacks motomoto.
Ukipita kwa mitaa, tiktok, fukweni na nchi mbalimbali duniani ni whites na...
Habari za muda huu marafiki,
Siku za hivi karibuni kumekuwa na hali ya kushangaza kustaajabisha kwenye jamii yetu na hasa huku mitandaoni.
Kumekuwa na wimbi la watu kuwasimanga, kuwakejeli na...
Habar zenu wanajukwaa
Kwasasa member wenu nipo kwenye kipindi kigumu sana nimenasa kwenye trap na siwez kutoka, huyu mke wa mtu mtarajiwa ananipa mawazo mengi kichwani nimejarib kila way but I...
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu.
Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
Vijana wengi wa siku hizi wanaona ni ujanja 'kukojoa' kila sehemu,mtu hawezi kukaa siku mbili bila kutoa manii,iwe kwa kusex au punyeto.
Kiafya na kiroho sio salama sana,sasa zifuatazo ni faida...
Ndugu wana jf.
Katika kipindi nimewaona malaika wakinipigania ni usiku wa kuamkia leo ndugu zangu.
Baada ya kuzinguliwa job kutokana na itilafu za mitambo za hapa na pale nikaona hakuna haja ya...
Habari jf?
Jamani mimi ni mwanamke ambaye nilikuwa na mpenzi wangu toka 2014 mpaka 2016 ambapo mwanzo tulipendana sana na kujaliana. Mwaka 2016 tuliachana tena aliniacha kwa kunichoka tu kwani...
Habari za wakati huu jamani. Mimi ninachangamoto moja ninapendwa na mwanamke ambae tayali kwao amesha tolewa posa na huyo mwanamke hataki kuniacha.
Naombeni ushauri wadau.
My dearest Palina,
I am writing this letter to express the depth of my love for you and to convey just how much you mean to me. From the moment I met you, my world has been brighter, my heart has...
Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,
Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya...
(1) Kusikiliza matatizo ya Marafiki zao na kuyabeba na wasiwasi. Una rafiki yako anafanyiwa vitu vya ajabu na mwanaume wake, kila siku anakuambia na wewe unaanza kujihisi kama unasalitiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.