Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ulimwengu wa sasa starehe kubwa ni kujamiana, kwani huwa na faida zifuatazo; Kupunguza msongo wa mawazo kwa muda mfupi. Kulinda upendo kama mnapendana kweli na sio kwa wapita njia au mmoja...
24 Reactions
77 Replies
2K Views
Hiyo kichwa inahusika Watoto wa kike wakiolewa kaka zao wanakuja kama ndgu wengine. Cha ajabu tena katika umri mkubwa 30s wanajiachia kama mazombie. Hii kitu siielewi na nimeshuhudia vijana...
4 Reactions
1 Replies
193 Views
Kwa wasiomfahamu huyu ndiye mama mchungaji mke wa mchungaji Mc pilipili. Mtumishi amefunguka na kusema jambo kuhusu bifu lake na baba mchungaji. Amesema...... "Kupishana katika ndoa ni kitu cha...
22 Reactions
202 Replies
12K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Toka nizaliwe hadi sasa nishawachapa miti wadada wasiopungua 32 lakini kati ya hao 32 masikini walikua10 na...
14 Reactions
428 Replies
31K Views
Nina miaka 20 kwenye ndoa hivyo nina uzoefu wa kutosha na nimeona mengi kwenye maisha ya ndoa. Nimeona ndo zilizodumu na ambazo zimevunjika ndani ya muda mfupi. Katika maisha ya ndoa kuna mivutano...
73 Reactions
287 Replies
41K Views
Katika jamii yetu hivi sasa kuna namna wanawake huwa wanapotoshwa kwa kile huitwa wanawake wanaweza kufanya chochote sawasawa na Mwanaume. Ukweli mchungu ni kwamba Mwanamke hata akiwa...
4 Reactions
9 Replies
694 Views
Kwa wanaume walioa kanuni iko hivi: Kama mke hakupi sex ya kuridhisha, kusex mpaka alazimishwe. Asubuhi anakuchungulia tu haamki mpaka ahakikishe tayari umevaa suruali unataka kuondoka ndo...
14 Reactions
38 Replies
1K Views
Iko hivi, kwanza niweke kitu kimoja sawa. Mwanza nzima nadhani nipo kwenye 100 bora za wanaume wanaomiliki pisi kali mule mjini. Haya tuendelee na story Miaka imepita nilikutana na binti ndo...
49 Reactions
84 Replies
6K Views
1. Mwanamke ambaye ninamzidi miaka 3, ni mwanachuo wa Bachelor, ni Mhehe kwa kabila, anapenda kusifiwa ndo furaha yake, anaishi na wazazi wake wote wawili na ndugu wengine kama kaka zake, dada...
1 Reactions
29 Replies
804 Views
Sababu ya kwanza mpaka ya tatu 1.UNAKUBALIKI UKOSOLEWA/KUPONGEZWA BILA KUFANYA UCHUNGUZI Ni rahisi sana kukaribisha watu wenye nia mbaya ya kukudhuru na kukuangamiza kabisa katika maisha yako...
2 Reactions
17 Replies
913 Views
Binti mdogo wake na wife kaja kututembelea baada ya yeye kumaliza shule (kidato cha nne). Dogo alivyofika alikuwa mpole sana as days goes on naona anazidi kucharuka anaongea na simu mpka usiku...
8 Reactions
42 Replies
1K Views
Yaan hata kama umeoa Pisikali , wee hakikisha haiwi maarufu Kwa namna yoyote uwezavyo. Ukimkuta ni Maarufu tayari yaan Kwa siku akipost kitu mitandaoni anapata Likes kuanzia 2K na comments...
5 Reactions
8 Replies
300 Views
Nikikumbuka mpaka nilipost uzi humu nyie Aiseee siamini kama sasa hivi moyo wangu umekua na ganzi kiasi hiki. Nitajaribu kuhadithia kwa mafungu mafungu Ili kwa yoyote anaepitia changamoto ya...
46 Reactions
184 Replies
4K Views
Mahusiano yanapovunjika huwa kuna mabadiliko ambayo hujitokeza ndani ya mwili, Watu wengi hawajui kueleza maumivu hayo husema tu "mapenzi yanauma sana" lakini ukihoji yanauma vipi na sehemu gani...
2 Reactions
17 Replies
759 Views
Wakuu salaam. Hivi mke wa mtu aliyeolewa inawezekana vipi akawa na UTI kali? Mme wake haipigi. Nauliza haya maswali maana yamenikuta Juzi nimetoka shamba nikakutana na mke wa jirani yangu mwalimu...
17 Reactions
53 Replies
3K Views
Yani we muda wote mawazo yako ku.se.x tu, mi nmechoka siwezi Juzi nlikupa jana tumefanya na leo unataka tena? mi nimekuwa mashine? sitaki niache huko tena unikome. Tumbo linaniuma sitaweza...
2 Reactions
29 Replies
997 Views
Eti wakuu Mtu anayeuchuna mazima baada ya kuwa umempigia simu au kumtumia meseji ni kwamba yupo bize sana kiasi hana kabisa muda wa kuona simu au meseji zilizoingia? Au anaona simu na meseji...
2 Reactions
33 Replies
927 Views
Habari wadau ... Miaka inakwenda hairudi nyuma, kuna wale wenzangu walio na malengo ya kuoa / kuolewa kabla ya mwaka huu wa 2025 haujaisha. Hebu tupeane mikakati hatua tulizofikia, Inaweza kuwa...
1 Reactions
8 Replies
392 Views
Salamu wakuu, Ikiwa utaamua kuoa kwa lengo la kuishi na mwanamke hadi mauti yawatenganishe usipuuze huu ushauri. Ushauri huu nautowa kwa wale ambao tayari wameyapatia maisha kwa wewe kijana...
14 Reactions
49 Replies
2K Views
Back
Top Bottom