Namshukuru Mungu kwa ajili ya yako na yangu, kwa wasaa huu muhimu, ambao ni zawadi kutoka kwa Mungu kwetu sisi sote.
Tumeipewa zawadi hii bure na tuitumia bure, na kwahivyo yatupasa kuitumia...
Katika umri huo unaacha gambe ili iweje sasa?
Unataka kuhujumu uchumi?
Unataka kupunguza mapato ya taifa?
Unataka kupunguza ajira? Hivi unajua pombe moja unayokunywa inazalisha ajira zaidi ya 29...
Mimi ni kijana nimeajiriwa moja ya kampuni kubwa hapa Tanzania.Nafanya kazi na mwanamke mmoja hivi na Mume wake.Wote wamenipokea kazini.
Mume wa huyo dada ni kicheche balaa ni mtu wa totozi.Hizo...
Oumofia kwenu?
Ili nisiwachoshe, naingia kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 36, naishi Dar es Salaam. Siku za hivi karibuni nimepatwa na tatizo la kuishiwa nguvu za...
KWA KIZAZI CHA SASA. UKISHAKUWA SINGLE MOTHER TAFUTA TUU PESA. HAKUNA MWANAUME ATAKAYEHITAJI SINGLE MOTHER MASKINI ASIYE NA KAZI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mambo ya ûkipenda Boga penda...
Habari zenu wana JamiiForums.
Nimekuwa mfuatiliaji wa hili jukwaa kwa muda mrefu lakini kwa sasa nimeamua kujiunga kabisa ili niwe nachangia maoni mbalimbali,
Leo nahitaji maoni yenu kwa...
1. Akikupigia simu pokea alafu subiri aanze kuongea yeye maana labda aliekupigia ni mumewe, kenge wewe
_
2. Msizoee kuingia guest moja kila mnapokutana maana watu watawachora na kutoa taarifa...
Tafadhali naomba ushauri kwa jirani yangu huyu.
Kuna mwanamke anamtaka kimapenzi lakini yeye hana interest naye kabisa. Lakini mwanamke huyu anamsumbua sana mpaka imekuwa kero. Mchana na usiku...
Wasalam wakuu,
Kama mada inavojieleza. kwenye haya maisha inatokea kunamwanamke unampenda sana yani nawewe unatamani arudishe upendo kama unavompenda.
Cha ajabu sasa kadri siku zinavozidi...
Mwanangu rapcha umeimba hili goma leo ndo nimejua kuwa wanawake ni watu wa ajabu mno can you imagine leo ni siku ya 11 wife ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi.
Sasa leo nimeamua...
Habari za mda huu wakuu
Hili ni swala ambalo nimekuwa nikiliwaza Sana after breakup ila Kwa sasa naliona dhahiri kabisa
Ni mwaka mmoja na miezi Toka penzi liishe nilivyooachwa Yani ya uyu mdada...
Hivi mabroo huku jukwaani naombeni mnipe msaada kwa sababu jamii forum ni kisima cha maarifa hivi mwanamke anakuambia mimi nipo tayari au muda wake sahihi wa kufunga ndoa ni mwishoni mwa mwaka...
Ni jamaa zangu wawili wameingia katika SINTOFAHAMU kubwa sana kwasababu ya mwanamke,
Nmewaza hapa mpaka kichwa kinaniuma sahivi.
KWA KUANZIA,
Ni kwamba mimi pamoja na hao jamaa zangu wawili...
Kipindi nasoma advance nilikuwa mla bata sana, o-level nilisoma seminary, kwahiyo ile kuja dar ni kama fisi kaachiwa bucha.
Nilikuwa natoroka shule naingia sinza-africa sana kuna club ilikuwa...
Ni matumaini yangu nyote wazima wa Afya
Kama kuna mwenye changamoto na muombe kwa mungu ampe afya njema.
Moja kwa moja niingie kwenye, mada bila kupoteza muda
Kweli nime amini, mapenzi...
Hili sasa ni janga la kitaifa hapa nchini
Kuna jamaa yetu mmoja ambaye ni jirani yetu kabisa mimi namuona kama ndugu tu
Ana mazoea akija akikuta simu yangu anacheki music na video sasa jana...
Mtu ambaye hafanyi kazi yoyote,hafanyi usafi, lakini anapata mahitaji yake yote bure lazima ataanza kulala sana,kukesha kwenye tv,kuanza kunywa pombe,kucheza kamari,kutumia dawa za kulevya,kufanya...
Nimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe
Usiku wa jana ulikua mkubwa kwangu,ulikua mrefu,niliona masaa yamesimama
Niliteseka sana,nililia...
Katika karne hii ambayo wanawake wengi wamepigwa matukio ya kuachwa mpweke ghafla, fumanizi za mara kwa mara, kusalitiwa, kuibiwa, kudhulumiwa, kutapeliwa,kupokonywa mali, kudhalilishwa,kupigwa...
Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃
Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.