Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Dah! Kweli mambo yanakwenda kasi sana yahani wanaume wa hiki kizazi hawana tofauti na wanawake. Wanaume hamujiamini kabisa, sijui tatizo ni nini? Yahani mtu unaona mpenzi wako amesimama tu na...
17 Reactions
33 Replies
1K Views
Wanajf habar gani? Mambo niaje pande hizo. Kazi iendelee na kwingine people powers. Kimsingi ni kwamba hii vita ni kali 1. WALIO NDANI YA NDOA na WALIOTOKA KWENYE Ndoa wanasema ukiona...
1 Reactions
6 Replies
517 Views
Wanaume sisi ni watu tulio wazi sana kwenye hisia zetu tunapopenda na kutamani kitu chochote,ninapokupenda mwanamke nitakufata nitaanza ukaribu nawe kisha nitatafuta siku nitaomba tukae sehemu...
3 Reactions
17 Replies
648 Views
Mwanaume huelewa zaidi pale unapoongea na si kulalamika. Najua wanawake wametengenezwa kwa namna ambayo akiongea kitu kwa kulalamika basi hujisikia huru, hupata nafuu na wakati mwingine hata...
7 Reactions
63 Replies
6K Views
Dah hii ni hatari nadhani hadi mwaka ukiisha ntakuwa nmebaki mifupa maana huyo singo maza anapenda huo mchezo hatari mnatoka kufanya saa 1 asubuhi ikifka saa 4 tu anaanza tena kutamani rungu...
14 Reactions
65 Replies
3K Views
Habari zenu wote ndugu jamaa ma rafiki Uzi huu ni maalum Kwa ajili ya kuwapongeza single mamas wote guniani kote. Ukweli kutoka moyoni hongera zenu ziwafikie Popote mlipo kwenye hili gunia...
2 Reactions
5 Replies
411 Views
Hii imenitokea mara kadhaa. Inakatisha sana tamaa, unakuta mdada mrembo tu mwanzo ulikuwa humjali sana. Mara anaanza mazoea , ukimpa tu attention anaondoka inakuwa kama zamani tena. Unaweza...
6 Reactions
20 Replies
549 Views
Je, Wajua Kuwa Haya Ndio Makabila Yenye Wanawake Wazuri (Warembo) Tanzania[emoji1241] ? 1.Wambulu (Manyara)[emoji1241] 2. Warangi (Kondoa)[emoji1241] 3.Wanyiramba (Singida)[emoji1241] 4...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Wamama na shangazi ukitaka wakutamkie kila Aina ya laana jaribu kuoa au kuwa na mahusiano na Single-Mother.
12 Reactions
47 Replies
1K Views
Ughonile.. Nina mpenzi wangu mmoja juzi katoka mkoa kuja kunitembelea ikabidi nilipie room hotelini tukaekae siku kadhaa then kila mtu aendelee na mambo mengine ya kujenga taifa. Mimi ni mtu wa...
3 Reactions
63 Replies
2K Views
Umezaliwa humfahamu baba yako mzazi. Mama yako anakwambia babaako alishakufa. Anakutajia jina ambalo silo unalotumia shuleni. Unaanza kujiita ubin kwa hilo jina. Baada ya miaka kadhaa, mama yako...
8 Reactions
29 Replies
980 Views
Habari ya Jumapili waungwana! Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi na wanasaikolojia wote wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa...
2 Reactions
149 Replies
10K Views
Habari za weekend wapendwa, I hope you are all doing great.Mimi ni single mum ambaye nalea mwanangu mwenyewe toka mjamzito.Babake alikataa mimba na kuomba niitoe but niligoma kuuwa kiumbe kisicho...
44 Reactions
144 Replies
8K Views
Wakuu, hii nimeikopi sehemu. MAELEZO YANGU: Wanaume tunahangaika kujipa ukamilifu ili tuweze kumdhibiti kiumbe anayeitwa mwanamke. Wasakatonge na wajanja kwa kuliona hili, wameamua kutumia mwanya...
1 Reactions
4 Replies
779 Views
Wakuu habarini za Jioni niko na Kademu bado ni ka bikra ka Chuo tatizo lililopo ni moja tumedumu zaidi ya miaka mitatu bila kuchakata mbususu though nishakavua nguo nikajaribu kutaka kuingiza...
9 Reactions
136 Replies
8K Views
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu...
29 Reactions
160 Replies
9K Views
Habari, Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother. Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum. Mtoto akishazaliwa then...
14 Reactions
154 Replies
13K Views
Tumeshuhudia wajane wakidhalilishwa Kwa sheria zetu mbovu K- Lyn na Dr Kamatwa ni wachache kati ya wengi. Ni wakati Sasa Sheria itungwe ili kuwalinda wajane baada ya Waume zao kufariki. Suala...
2 Reactions
54 Replies
3K Views
Mimi kwa mara ya kwanza namjua msichana, kwa mara ya kwanza natafuna mbususu nilikuwa na miaka 15 tu. Nakumbuka nilikuwa nipo form 2 na kulikuwa kuna mdada mmoja alikuwa form 4 yaani alikuwa...
11 Reactions
87 Replies
2K Views
Kama mkeo anafanya kazi... Majukumu ya ndani unaysimamia mwenyewe vizuri. Jukumu la kodi pia unalisimamia wewe mwenyewe vizuri. KUNA HAJA YA KUMPA HELA YA NAULI NA YA KULA AKIENDA KAZINI?
10 Reactions
57 Replies
2K Views
Back
Top Bottom