Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mwaka 2015 kwenye harakati za kutafuta kazi, nikaingia ofisi moja hapa Jijini Dar es Salaam. Nilipewa connection na rafiki yangu kuwa niende kuonana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo. Mwamba...
5 Reactions
76 Replies
3K Views
Due to trend za thread this past week, this came in my mind. Je kwa walio experience hebu watueleze how was it? On my side hii siku siwezi isahau kamwe. And as much as I wish to forget ila...
13 Reactions
189 Replies
19K Views
Kufumaniwa na mke wa mtu ni jambo linaloweza kuleta madhara makubwa kijamii na kisheria. Katika jamii nyingi, kitendo hiki kinaweza kusababisha aibu, hasira, na hata ghasia. Kwa mfano, kuna visa...
11 Reactions
105 Replies
6K Views
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam. Yani mwanaume amebarikiwa jamani, ngozi nyeusi...
46 Reactions
663 Replies
102K Views
Sijui nisemaje lakini you people mmenishangaza sana, Always humu huwa nahisigi kuna watu flani hivi sijui nisemaje lakini mnisamehe nilivyokuwa nawawazia sivyo,. First of all mie ni mtu ambaye...
56 Reactions
128 Replies
3K Views
Mwaka 2008 niliingia Durban baada ya kuitwa na jamaa zangu waliokuwa huko. Hawa jamaa zangu tuna undugu pia. Kaka yao kaoa shangazi yetu, na pia kaka yetu kaoa dada yao, ni kama tumeoleana, wao...
85 Reactions
3K Replies
1M Views
Pale unakuwa naye kitandani halafu anasema 'naumia' ukisema tupumzike anasema 'hapana'. Ukiendelea anasema 'naumia'. Mkimaliza anasema sijawahi kuumia kama nilivyoumia leo. Yawning sijawahi...
15 Reactions
95 Replies
3K Views
Siongelei ule uchumba Sugu wa kila mtu kukaa kwake, naongelea uchumba sugu wa kugandana nyumba moja kwa hata miaka 5; yaani huyo mwanamke ataigiza kila script aliyotumia kwa wanaume kabla yako na...
3 Reactions
0 Replies
158 Views
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi...
18 Reactions
241 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu wa MMU 👋🏽 👋🏽 Kila mmoja wetu ana njia zake za kubaini jambo LILILOFANYIKA au LITAKALOFANYIKA kwa njia yake ya udadisi tu wa kibinadamu. Udadisi huo huja pale ambapo MMOJA wetu...
5 Reactions
14 Replies
395 Views
Tusaidiane Kuwainua Single Mothers! 💪🌟 Katika jamii zetu, kuna wimbi kubwa limeongezeka la single mothers kukumbana na changamoto nyingi mbalimbali katika jamii, changamoto hizo ni kama vile...
3 Reactions
58 Replies
917 Views
Habari... Nyie Wanaume ambao hamjaoa uwe umepanga au unaishi kwenu hasa wenye umri kuanzia 30-47 tabia ya kuwatembele marafiki zenu waliooa bila taarifa huku mmevaa pajama mnamuonesha shemeji...
9 Reactions
15 Replies
553 Views
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
22 Reactions
276 Replies
9K Views
Wadada wa mjini ndiyo zao, wanaku-approach eti tuzae tu (sperm donor) hasa wanaume walio kwenye ndoa na angalau unajiweza kiuchumi. So, anakuambia anaomba mzae tu eti hatakusumbua, haipogo hivyo...
33 Reactions
263 Replies
38K Views
Poleni sana, ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe. Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi. Jifunze kutumia...
9 Reactions
15 Replies
597 Views
KUTOKA KATIKA KITABU CHA MAFUNDISHO YA SIRI. ngono ni ibada takatifu ngono ni tendo la kubadilishana nishati na DNA. dna inashikilia habari zote kuhusu mtu huyo ikiwa ni pamoja na kiwewe...
3 Reactions
9 Replies
495 Views
Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni...
11 Reactions
129 Replies
2K Views
Huyo sio waifu ni mdau tu wa maendeleo. Wakuu chochote mtachosema mimi nitakuwa mtekelezaji mwaminifu. Mimi naliamini sana hili jukwaa halijawahi kuniangusha hata siku moja. Mnasemaje wakuu...
4 Reactions
40 Replies
961 Views
Tarehe kama ya Leo , Miaka 3 nyuma nilifanikiwa kumpata mwanangu wa kwanza (baby boy) lakini kwa kadari zake mungu hakuweza kuishi zaidi ya siku 1 pekee. Hakuna siku ambayo siyaacha kutamani...
6 Reactions
71 Replies
794 Views
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa. Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress? Hebu taja...
24 Reactions
182 Replies
3K Views
Back
Top Bottom