Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Yani nimepita mtandaoni nimeona mjadala wa watoto wanaodaiwa walikua wanafunzi wa shule fulani picha zao cha uchi zimevuja mtandaoni. Nimewaza sana hali ya wazazi wao sijui ikoje kwa sasa, imagine...
25 Reactions
115 Replies
4K Views
Kati ya jambo baya mwanaume unaweza fanya mi kutangaza habari za mwanamke ulisex nae au ulinae kwenye mahusiano hata kama unadhani ni wakupita tu au kukuondolea hisia na kuachana nae. Jamaa...
6 Reactions
13 Replies
758 Views
Ni kweli. Mwanamke yeyote ambaye ni feminine haombagi hela kwa mwanaume. Hela zinakuja tu zenyewe. Kama unataka kujua inakuwaje nicheki inbox. Angalizo: Nyie wanaume mnaomiliki wanawake...
5 Reactions
25 Replies
520 Views
Heri ya mwaka wanajf Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina...
14 Reactions
157 Replies
3K Views
Wakuu habari za jumapili, Nilikuwa ninaomba ushauri kidogo. nyinyi mahusiano yenu mnayaendeshaje sababu mimi kila mwanamke ninaedate nae huwa lazima aniambie mambo ya kujiongeza sijui mimi ni...
6 Reactions
14 Replies
392 Views
Hey folks, Mimi ni mwanaume mpole, mwenye hisia sana na ninaejali kupitiliza. Nimekuwa na tabia hii huwa nakereka sana na tabia ya mpenzi kurudia kosa moja mara kwa mara hali hii hupelekea...
10 Reactions
37 Replies
1K Views
Nina rafiki yangu tunapendana na ana mpenzi. alinisimulia kitu fulani amabcho hata mimi nimeexpirience. Ni kawaida mpenzi au mume wako anapotoka kazini au katika sehemu yoyote mwanamke unapaswa...
0 Reactions
48 Replies
12K Views
Siku ulipoachana na mpenzi wako ulimwambia Neno gani? 1:Sikupendi 2:Sikuhitaji 3:Tuachane 4:Nimepata mwingine Cc Zero IQ.
3 Reactions
72 Replies
10K Views
Kwa mimi nimeshawahi kukatisha safari baada ya kuona hili gari hili sitoboi nalo Kigoma, safari lazima iishie njiani tu maana sio kwa ma mushkeli haya. Nilipata mpenzi huko nyuma tukapendana...
31 Reactions
639 Replies
76K Views
Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu. Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa...
20 Reactions
2K Replies
246K Views
Daah!! Naandika kwa masikitiko makubwa hichi kilichonikuta. Week ilopita bhana uchumi uliyumba, nikasema ngoja nimcheki Ex wangu aniwezeshe kidogo, nikaamua nimtext. Mimi..." Dear X, kwema"...
5 Reactions
30 Replies
969 Views
Hii Story nimeipata mahali Baada ya kusoma mpaka Mwisho Kuna kitu nimejifunza Kwa Hawa Mapaster au wachungaji....soma tudiscuss Kwa Kina PART 1 TABIA ZA MUME WANGU ZILINICHOSHA ANAANZA...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu wangu habari za wakati huu.. Naombeni msaada wa haya madude. Hapa chini Nataka niwe na kunywa chai ya star anise na nimeenda sokoni kununua star anise. Cha kushangaza wakati na peruzi...
2 Reactions
32 Replies
615 Views
Heshima kwenu wana jf Msaada wenu mwenye copy ya Barua ya POSA anitumie tafadhari.. Muhimu sana
2 Reactions
59 Replies
16K Views
Niwatakie weekend njema! Najua hizi ndio zile tarehe pendwa... Tarehe za kuitwa majina yote matamu[emoji3] [emoji3] [emoji3] Nina hakika wengi wetu tumeshawahi kuchoma udi ama kuvukiza...
16 Reactions
206 Replies
55K Views
Mapenzi yanaumiza sana especially unapopenda pale usipopendwa. Just imagine upo kwenye mahusiano mapenzi yamenoga ajabu simu,meseji kila dakika. Kila siku mtoto anakuja kuifinyia kwa ndani miuno...
12 Reactions
68 Replies
2K Views
Wakuu kwema Moja kwa moja kwenye mada. Ikiwa kumpa ngono haimfanyi mwanaume kukuoa, wala kumzalia mwana pia haimfanyi mwanaume kukuoa je, nini hasa itapelekea mwanaume ulie nae akupe heshima ya...
6 Reactions
186 Replies
15K Views
Nawaambia vijana. katika kitu ambacho hutakiwi kabisa kukiwaza kwasasa nikuishi na mwanamke kabla yandoa Hii mitindo yamaisha imekua changamoto sana hasa kwanyakati hizi. Tafuta hela tafuta...
4 Reactions
15 Replies
386 Views
Heri ya X-mass in advance Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali...
51 Reactions
222 Replies
12K Views
Nianze Kwa kumshukuru mungu Kwa kutupa afya na kherii tele. Mimi ni kijana mwenye umri26 Kuna Binti nilikua na urafiki wa mda mrefu sana hata zaidi ya mwaka na nusu tulikua tunasaidiane kwenye...
10 Reactions
43 Replies
1K Views
Back
Top Bottom