Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy...
33 Reactions
402 Replies
19K Views
Baada ya kuuaga mwaka 2024 mwaka uliokuwa na mafanikio makubwa Kwa Kila mtu ...kulingana na utafiti niliyoufanya Hawa ndio members walioupiga mwingi kwenye jukwaa la MMU based on several factors...
7 Reactions
28 Replies
657 Views
Heshima kwenu waungwana👊, Tushare visa tulivyowahi kufanyiwa na wanawake/mademu zetu na namna tulivyovikabili ili tuongeze maarifa ya kuishi na hawa viumbe waliotusengenya na shetani pale Edeni...
6 Reactions
18 Replies
532 Views
Kama mada inavyojieleza Nina mke wangu ambaye nina watoto nae. Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha...
11 Reactions
62 Replies
2K Views
Wakuu, Hawa watoto wa kike wanajua udhaifu wetu ni papuchi. Kuna wakati unakataza jambo fulani ila yeye hasikii anakiuka kwa makusudi. Au anafanya kosa fulani analojua kabisa ulishamkanya...
3 Reactions
8 Replies
371 Views
Madhumuni ya sex ni haya: 1.Kuburudisha mke na mume 2.Kuzaa watoto Nje ya hapo ni uovu na uasi kwa Mungu
12 Reactions
66 Replies
1K Views
Wakuu Nina miaka sasa 40 Ila mama mkwe Ana 36 na Baba mkwe Ana 38. Binti yao huyu Ana 20. Wakuu familia za kiafrica zimekaa kimkakati Sana. Asilimia kubwa ya watu ambao wamekulia kijijini na...
14 Reactions
47 Replies
1K Views
Kama ilivyo kawaida. Kwema ndugu zangu wa JF? Aisee, wanaume wenzangu wanalalamika sana humu ndani, kuhusiana na tatizo la nguvu za kiume, ikiwemo kushindwa kusimamisha uume kwa uimara, au...
3 Reactions
16 Replies
801 Views
Wakuu kuna manzi mmoja anafanya kazi kwenye duka karibu na langu nimemzimika ile laana. Uzuri wa huyu manzi ni ngumu kuuelezea kwa lugha za kibinadamu. Wanawake wote duniani wakichanga uzuri ndo...
12 Reactions
64 Replies
2K Views
Kadiri unavyokua na idadi kubwa ya wanawake kwenye circle yako iwe kimapenzi au kirafiki ndivyo unavyojiandalia maisha ya kuishia kwenye umasikini. For every 10 women you attract into your life...
118 Reactions
293 Replies
11K Views
Mimi binafsi niko addicted zaidi na wanawake walionizidi umri (mishangazi) kuliko hutu tutoto twa 2000, hii nahisi ipo kisaikolojia zaidi katika makuzi yangu. Mara yangu ya kwanza kufanya ngono...
36 Reactions
75 Replies
5K Views
Yani unapata daladala mademu wamevaa vinguo fulani hivi laini vimeingia kwenye ikweta halafu anakususia mzigo wote uangaike nao, uku akikupa sapoti kdogo ya kujiweka vzuri usawa wa abdala pale...
4 Reactions
18 Replies
742 Views
Katika pitapita zangu mitandaoni nilikutana utafiti umefanywa ya kwamba unazungumzia wanawake wa kilokole au walokole hawafai kabisa kuolewa na wengi wao sio wife material kiasi cha kwamba utadumu...
4 Reactions
24 Replies
6K Views
Kwanza ijulikane kuwa kuna aina mbili za wanawake, wanawake wanaojiheshimu, wanaojithamini na kutunza utu wao kwenye jamii (wife materials) na wanawake wengine wote waliobaki. Wanawake wengine...
10 Reactions
54 Replies
10K Views
Za asubuhi waungwana. Hiki kipindi kinahamasisha mgegedo walio kwenye ndoa kipindi hiki wanatupiga bao kwa maana wao mgegedo ni uhakika. Lakini kwa sisi kataa ndoa hali ni mbaya demu unampanga...
10 Reactions
55 Replies
996 Views
Habari wakuu. Iko hivi Kuna mchizi wangu yeye Ni msafiri wa nje ya Nchi kwajili ya hustle zake.Safari yake yeye Ni Italy Tu alianza kusafiri 2009 huyu jamaa.Miaka ikasogea akapa mchumba 2018 Na...
13 Reactions
101 Replies
4K Views
Na. Mwanaume Story Wakati naoa, nilikuwa na kazi yangu nzuri tu lakini kama unavyojua maisha yalinipiga, nikaondoka kipindi cha vyeti feki. Katika kuhangaika, niliamua kuhamia kwa kaka yangu...
17 Reactions
77 Replies
7K Views
Unakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia. Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake...
22 Reactions
117 Replies
2K Views
Iko ivi jana new year mm nilikuwa nimeamua tuu kutulia home nikikuwaxna mawazo ya kazi zangu sikupendq niende kokote mm ni kijana nina miaka 32 sasa na nina mke na mtoto wa 5 years mtoto wetu...
24 Reactions
121 Replies
4K Views
Back
Top Bottom