Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ndugu zangu kufuatia mwaka huu mpya mwanzoni kabisa ni bora kwa kifupi kuweka huu ukweli mchungu kabisa ili watu wajitafakari upya. Nikweli tunawachezea na kuwaacha na kwenda kuoa na kuolewa na...
5 Reactions
11 Replies
345 Views
1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya 2. My dia, kuna...
21 Reactions
528 Replies
8K Views
Niliwaambia miaka ile kuwa acheni uzinzi mkawa mnashupaza shingo. Mmchezea Sana watoto wa watu na kuwaharibia maisha n.k Sasa tazameni watoto wenu wa 15-18+ ni hatari Sana Hiyo ni karma hamna...
4 Reactions
2 Replies
179 Views
Mwaka 2024 lengo langu lilikua ni kitafuta mwenza hatimae tufunge ndoa lakini mambo yalikua tofauti kulingana na changamoto nilizokutana nazo katika mahusiano kutoka kwa wanawake mbalimbali...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Itakuwa ni ajabu sana mwanamke kushinda tukilia na kufanya maombi kwakusubiri eti mwanaume muovu aje abadilike😂😂, NEVER Hawa watu wakiamua kufanya vituko ndio wanazamia hukohuko itakauka koo...
12 Reactions
87 Replies
1K Views
Habari wanajamii, Ni muda mrefu sijaingia humu sababu ya pilikapilika zilizokuwepo pamoja na kuwepo kwa magroup ya whatsupp kumepunguza concentration ya kuchangia mada humu. Naomba tupeane...
2 Reactions
130 Replies
25K Views
Najua mtashangaa sana,lakini mwenza wako ambae ndio mtaishi nae kwa amani na furaha na hatimae mtazikana, ni yule ambae hamkubaliani kwa mengi, lakini mnakubaliana machache ambayo ndio msingi wa...
1 Reactions
2 Replies
207 Views
Hey people, Leo katika pita pita za hapa JF nimekutana na moja ya nyuzi nyingi za marehemu,mwanaJF mwenzetu Mpauko ambazo kwa namna moja ama nyingine alizianzisha kwa lengo la kupata msaada...
28 Reactions
74 Replies
1K Views
Nawahurumia hawa wanawake waliozaliwa 1980s na 1990s ambao mpaka leo hawajaolewa coz most of them by mwakani watakua wanahit 35yrs to 40yrs. Mungu awakumbuke tu katika ukuu wake kwa kweli maana...
23 Reactions
110 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Niende kwenye mada kabisa. Kuna ndugu yangu yeye ni mjasiriamali anaishi Dar es Salaam Katika pilika za maisha kakutana na binti wa Kindengereko kutoka Rufiji ila naye anaishi...
0 Reactions
30 Replies
15K Views
Nasema ni kiherehere tu kutokana na utafiti nilioufanya kwa zaidi ya miaka 10,baada ya kutoroka toka Tanga kwa yule shankupe aliyetaka kuniteka wakati nipo kwenye workshop now nipo Darisalama...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sio mpenzi sana wa kuanzisha mada za kikabila, ila ukiona kabila au jamii yako yoyote, iwe ukoo, kabila, nchi, au race inashmbuliwa unfairly lazima uweke mambo sawa Kuna mada imeanzishwa hapa...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Mimi binti wa miaka 24, sijaolewa ila nina mchumba wangu ambaye tuko kwenye mahusiano huu ni mwezi 9, ananipedna na mimi nampenda, shida inakuja hivi, wakati tunaanza mahusiano aliniambia kuwa...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Kati ya mwanaume na mwanamke nani mwenye hilo jukumu Hili jambo Linaniwazisha sana.. mmepanga out na rafiki/ mpenzi nani anaukuwa na jukumu la kumkumbusha mwenzake kwamba Leo ndio ile siku...
1 Reactions
20 Replies
373 Views
Natuamaini hamjambo wana JF? Niende kwenye mada sasa. SIGMA MALE NI NINI? Hawa ni wanaume Tiger. Wanafananishwa na Tiger sababu ya sifa zao kama: kujitegemea (hawana vizinga), hawana maneno...
9 Reactions
22 Replies
941 Views
Juzi nimempigia simu aje tusherehekee pamoja mwaka mpya amegoma mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti, cha ajabu Leo anasema yupo kwenye basi nakuja najiuliza kwa nini aje ghafla au kuna kitu nyuma...
2 Reactions
8 Replies
272 Views
Ila kuliko kufa maskini, ni heri tu kuishi na kiumbe huyu ndani kwa kweli Umaskini ni mbaya sana, bora kufa kiume
3 Reactions
9 Replies
742 Views
Kwa muda mrefu nimekua nikipita sehemu nyingi kila mtu anasema lake juu ya ingredients za kuboost wanaume kuhusu swala la kitandani. Hii imepelekea wengi kutapeliwa na wengine kulishwa na...
19 Reactions
239 Replies
17K Views
Wanaume tutafte pesa, wanawake wazuri wapo tu miaka yote ya maisha yako. Larry Ellison mmiliki wa kampuni ya mifumo ya Oracle ana miaka 80, ameoa kimwana wa miaka 33, tofauti ya umri wa miaka 47...
10 Reactions
46 Replies
1K Views
Hii habari nimekuwa nikiisikia tu, ila juzi kati imenitokea live bila chenga 😆 😆 😆 😆 😆 😆. Mnara ulikua kama upo ndani ya maji wazee, ile piss ikabidi tu inipe pole. na kuondoka zake Nilijisikia...
16 Reactions
49 Replies
2K Views
Back
Top Bottom